If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1 |
MITAZAMO HASI YA KIJINSIA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Ufahamu wa Kusikiliza - Kanuni
Ufahamu wa Kusikiliza - Vipengele |
Kufika mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:
A. Kueleza maana ya ufahamu wa kusikiliza B.Kujadili kanuni za ufahamu wa kusikiliza C. Kuchangamkia kuzingatia kanuni za ufahamu wa kusikiliza |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama michoro inayoonyesha watu wakisomewa matini na kutambua shughuli inayoendelea - Kujadiliana na mwenzake kuhusu mambo ya kuzingatia katika ufahamu wa kusikiliza - Kujadili kanuni za ufahamu wa kusikiliza akishirikiana na wenzake |
Je, unafaa kuzingatia nini unaposhiriki katika ufahamu wa kusikiliza?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 67
- Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu - Michoro Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 69 - Rekodi ya ufahamu wa kusikiliza |
Kueleza kanuni za ufahamu wa kusikiliza
- Kujibu maswali
- Orodha hakiki
|
|
| 2 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu - Kifungu cha Ufahamu
|
Kufika mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:
A.Kueleza maana ya kusoma kwa ufahamu B. Kuondoa habari mahususi katika kifungu cha ufahamu C.Kuchangamkia kusoma kwa ufahamu ili kukuza uelewa |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na mwenzake kuhusu maana ya kusoma kwa ufahamu na mambo ya kuzingatia - Kusoma kifungu cha ufahamu kuhusu suala lengwa na kudondoa habari mahususi - Kujibu maswali ya ufahamu akishirikiana na wenzake katika kikundi |
Je, ni mambo gani tunayoyazingatia tunaposoma ufahamu?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 71
- Kifungu cha ufahamu - Picha - Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 74 - Kamusi |
Kusoma kwa ufahamu
- Kudondoa habari mahususi
- Kujibu maswali
|
|
| 2 | 3 |
Kuandika
|
Insha za Kiuamilifu - Shajara
|
Kufika mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:
A. Kueleza maana ya shajara B. Kujadili vipengele vya shajara C. Kuthamini matumizi ya shajara katika kurekodi matukio muhimu |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na mwenzake kuhusu maana ya shajara na sababu za kutumia shajara - Kujadili vipengele vya shajara akishirikiana na wenzake katika kikundi - Kusoma kielelezo cha insha ya shajara na kutambua vipengele vyake |
Je, kwa nini watu hutumia shajara?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 76
- Mifano ya shajara - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 78 |
Kutambua vipengele vya shajara
- Kuchora muundo wa shajara
- Kujibu maswali
|
|
| 2 | 4 |
Sarufi
|
Hali za Masharti - Hali ya -nge-
Hali za Masharti - Hali ya -ngali- |
Kufika mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:
A.Kueleza maana ya hali ya masharti B.Kutambua matumizi ya hali ya masharti ya -nge- katika matini C.Kuchangamkia matumizi ya hali ya -nge- katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama michoro na kusoma sentensi zinazoonyesha hali ya masharti ya -nge- - Kutambua vitenzi vinavyotegemeana katika sentensi zilizo na hali ya -nge- akishirikiana na mwenzake - Kutunga sentensi akitumia hali ya masharti ya -nge- ipasavyo kuhusu suala lengwa |
Je, kiambishi -nge- hutumika kuleta dhana gani katika sentensi?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 80
- Kadi za sentensi - Michoro - Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 82 - Matini ya mwalimu |
Kutambua hali ya -nge-
- Kutunga sentensi
- Kujaza pengo
- Orodha hakiki
|
|
| 3 | 1 |
USALAMA BARABARANI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza kwa Kufasiri - Msimamo na Mwelekeo
|
Kufika mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:
A. Kueleza maana ya kusikiliza kwa kufasiri B.Kutambua vipengele vinavyosaidia kuuelewa msimamo na mwelekeo wa mzungumzaji C.Kuchangamkia kusikiliza kwa kufasiri ili kupata uelewa wa kina |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama michoro inayoonyesha wasikilizaji na kutambua wale wanaozingatia kinachozungumziwa - Kujadiliana na mwenzake kuhusu maana ya kusikiliza kwa kufasiri - Kujadili vipengele vinavyosaidia kuuelewa msimamo na mwelekeo wa mzungumzaji akishirikiana na wenzake |
Je, unafaa kuzingatia nini ili kuuelewa msimamo na mwelekeo wa mzungumzaji?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 86
- Vifaa vya kidijitali - Michoro - Matini ya mwalimu Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 88 - Rekodi za mazungumzo |
Kueleza maana ya kusikiliza kwa kufasiri
- Kutambua vipengele vya kufasiri
- Kujibu maswali
|
|
| 3 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina - Ushairi (Maudhui)
Kusoma kwa Kina - Ushairi (Dhamira) |
Kufika mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:
A.Kueleza maana ya maudhui katika kazi ya fasihi B.Kujadili maudhui katika shairi C.Kuchangamkia kusoma mashairi ili kupata maudhui yake |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama michoro na kueleza ujumbe unaopitishwa na kila mchoro akishirikiana na mwenzake - Kusoma shairi kuhusu suala lengwa na kutambua maudhui yanayoangaziwa - Kujadili maudhui aliyoyatambua katika shairi akishirikiana na wenzake katika kikundi |
Je, maudhui katika kazi ya fasihi ni nini?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 89
- Diwani ya mashairi iliyoteuliwa - Michoro - Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 91 - Matini ya mwalimu |
Kutambua maudhui katika shairi
- Kujadili maudhui
- Kuwasilisha majibu
|
|
| 3 | 3 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Methali
|
Kufika mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:
A.Kueleza maana ya insha ya methali B.Kujadili vigezo vya kuzingatia katika uandishi wa insha ya methali C. Kuthamini matumizi ya methali katika uandishi wa insha |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na mwenzake kuhusu maana ya methali na matumizi yake - Kujadili vigezo vya kuzingatia katika uandishi wa insha ya methali akishirikiana na wenzake katika kikundi - Kujadili vipengele vya muundo wa insha ya methali akishirikiana na wenzake |
Je, unahitaji kufanya nini unapoandika insha ya methali?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 93
- Mifano ya insha za methali - Chati ya vigezo - Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 94 - Matini ya mwalimu |
Kueleza vigezo vya insha ya methali
- Kutambua vipengele vya muundo
- Kujibu maswali
|
|
| 3 | 4 |
Sarufi
|
Vielezi vya Namna
Vielezi vya Wakati |
Kufika mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze: A. Kueleza maana ya vielezi vya namna. B.Kutambua vielezi vya namna katika matini
C.Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya namna katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha na kusoma sentensi zinazoonyesha vielezi vya namna - Kutambua vielezi vya namna katika chati ya maneno akishirikiana na mwenzake - Kutunga sentensi akitumia vielezi vya namna ipasavyo kuhusu suala lengwa |
Je, vielezi vya namna hujibu swali gani katika sentensi?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 97
- Kadi za vielezi vya namna - Michoro - Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 99 - Kadi za vielezi vya wakati - Matini ya mwalimu |
Kutambua vielezi vya namna
- Kutunga sentensi
- Kujaza pengo
- Orodha hakiki
|
|
| 4 | 1 |
HUDUMA KATIKA ASASI ZA KIJAMII
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza kwa Kutathmini - Vipengele
Kusikiliza kwa Kutathmini - Ujumbe na Mtazamo |
Kufika mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:
A.Kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini ili kuibainisha B.Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza kwa kutathmini C.Kuchangamkia kusikiliza kwa kutathmini katika mazungumzo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama mchoro wa watu wanaomsikiliza mzungumzaji na kujadili iwapo wanamakinikia kinachozungumzwa - Kuigiza kwa zamu tukio ambapo mtu mmoja anawatolea wenzake maagizo ya kuzingatia katika kutekeleza shughuli fulani - Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza kwa kutathmini akishirikiana na wenzake |
Je, unafaa kuzingatia nini ili kufanikisha kusikiliza kwa kutathmini?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 102
- Vifaa vya kidijitali - Michoro - Matini ya mwalimu Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 104 - Rekodi ya mazungumzo |
Kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini
- Kutambua vipengele vya kusikiliza kwa kutathmini
- Kujibu maswali
|
|
| 4 | 2 |
Kusoma
|
Ufupisho - Vipengele
Ufupisho - Kuandika |
Kufika mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:
A. Kueleza maana ya ufupisha. B. Kujadili vipengele vinavyozingatiwa katika kufupisha habari ya kifungu C.Kuchangamkia kufupisha habari kwa usahihi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na wenzake kuhusu maana ya ufupisho na vipengele vinavyozingatiwa katika kufupisha habari - Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa na kutambua habari muhimu - Kumweleza mwenzake kwa usahihi na kwa kifupi habari muhimu alizozitambua |
Je, ni vipengele vipi vinavyozingatiwa katika kufupisha habari?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 105
- Vifungu vya habari - Chati ya vipengele vya ufupisho - Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 107 - Matini ya mwalimu |
Kueleza vipengele vya ufupisho
- Kutambua habari muhimu
- Kujibu maswali
|
|
| 4 | 3 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Maelezo
|
Kufika mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:
A. Kueleza maana ya insha ya maelezo B.Kutambua lugha inayoathiri hisia mbalimbali katika insha ya maelezo C.Kuthamini matumizi ya lugha inayoathiri hisia katika insha ya maelezo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na mwenzake kuhusu maana ya insha ya maelezo na aina ya lugha inayotumiwa - Kusoma insha ya maelezo kuhusu suala lengwa na kutambua lugha inayoathiri hisia mbalimbali iliyotumiwa - Kujadili umuhimu wa kutumia lugha inayoathiri hisia katika insha ya maelezo akishirikiana na wenzake |
Je, ni nini kinafanya maelezo katika insha kudhihirika?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 108
- Mifano ya insha za maelezo - Picha - Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 110 - Matini ya mwalimu |
Kutambua lugha inayoathiri hisia
- Kujadili umuhimu wa lugha
- Kujibu maswali
|
|
| 4 | 4 |
Sarufi
|
Vielezi vya Mahali
Vielezi vya Idadi |
Kufika mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:
A. Kueleza maana ya vielezi vya mahali B.Kutambua vielezi vya mahali katika matini C.Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya mahali katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha na kusoma sentensi zinazoonyesha vielezi vya mahali - Kutambua vielezi vya mahali katika chati ya maneno na katika kifungu akishirikiana na mwenzake - Kutunga sentensi akitumia vielezi vya mahali ipasavyo kuhusu suala lengwa |
Je, vielezi vya mahali hujibu swali gani katika sentensi?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 111
- Kadi za vielezi vya mahali - Michoro - Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 113 - Kadi za vielezi vya idadi - Matini ya mwalimu |
Kutambua vielezi vya mahali
- Kutunga sentensi
- Kujaza pengo
- Orodha hakiki
|
|
| 5 | 1 |
MISUKOSUKO YA KIJAMII
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Uzungumzaji wa Kushawishi - Vipengele
Uzungumzaji wa Kushawishi - Uwasilishaji |
Kufika mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:
A.Kueleza maana ya uzungumzaji wa kushawishi B.Kujadili vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa kushawishi C.Kuchangamkia uzungumzaji wa kushawishi katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama michoro inayoonyesha wazungumzaji na kutambua wale wanaojaribu kuwashawishi watu kufanya jambo fulani - Kujadiliana na mwenzake kuhusu maana ya uzungumzaji wa kushawishi - Kujadili vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa kushawishi akishirikiana na wenzake katika kikundi |
Je, uzungumzaji wa kushawishi hutokea katika miktadha gani katika jamii?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 116
- Vifaa vya kidijitali - Michoro - Matini ya mwalimu Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 118 - Rekodi ya mazungumzo |
Kueleza maana ya uzungumzaji wa kushawishi
- Kutambua vipengele vya uzungumzaji wa kushawishi
- Kujibu maswali
|
|
| 5 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina - Ushairi (Mandhari)
Kusoma kwa Kina - Ushairi (Muundo) |
Kufika mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:
A.Kueleza maana ya mandhari katika kazi ya fasihi B.Kutambua mandhari mbalimbali katika shairi C.Kuchangamkia kusoma mashairi ili kupata mandhari yake |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha na kutaja maeneo na nyakati za siku zinazoonyeshwa akishirikiana na mwenzake - Kusoma shairi kuhusu suala lengwa na kutambua mandhari yanayojitokeza - Kueleza umuhimu wa mandhari aliyoyatambua katika kuuendeleza ujumbe wa shairi akishirikiana na wenzake |
Je, mandhari katika kazi ya fasihi ni nini?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 119
- Diwani ya mashairi iliyoteuliwa - Michoro - Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 121 - Matini ya mwalimu |
Kutambua mandhari katika shairi
- Kueleza umuhimu wa mandhari
- Kuwasilisha majibu
|
|
| 5 | 3 |
Kuandika
|
Viakifishi - Mabano
Viakifishi - Kistari Kifupi |
Kufika mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:
A.Kueleza matumizi ya mabano katika matini B.Kutambua matumizi ya mabano katika matini C.Kuthamini matumizi ya mabano katika maandishi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi na kutambua ile iliyotumia mabano akishirikiana na mwenzake - Kueleza matumizi ya mabano katika sentensi aliyoitambua akishirikiana na mwenzake - Kuandika matumizi ya mabano katika sentensi alizopewa |
Je, mabano hutumiwa vipi katika matini?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 124
- Mifano ya sentensi zenye mabano - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 126 - Mifano ya sentensi zenye kistari kifupi |
Kutambua matumizi ya mabano
- Kuandika sentensi zenye mabano
- Kujibu maswali
|
|
| 5 | 4 |
Sarufi
|
Ngeli ya U-ZI
Ngeli ya YA-YA |
Kufika mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:
A.Kutambua nomino katika ngeli ya U-ZI katika matini B.Kutumia nomino za ngeli ya U-ZI katika matini kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi C.Kuchangamkia matumizi ya ngeli ya U-ZI katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi na kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-ZI akishirikiana na mwenzake - Kunakili mafungu ya maneno na kupigia mstari viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-ZI - Kutunga sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-ZI kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi |
Je, nomino za ngeli ya U-ZI huchukua viambishi vipi katika upatanisho wa kisarufi?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 128
- Kadi za nomino za ngeli ya U-ZI - Chati - Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 131 - Kadi za nomino za ngeli ya YA-YA - Matini ya mwalimu |
Kutambua ngeli ya U-ZI
- Kutunga sentensi
- Kujaza pengo
- Orodha hakiki
|
|
| 6 | 1 |
MATUMIZI YA VIFAA VYA KIDIJITALI KATIKA BIASHARA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /j/ na /nj/
|
Kufika mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:
A. Kutambua sauti /j/ na /nj/ katika maneno B.Kutamka maneno yenye sauti /j/ na /nj/ ipasavyo C.Kuchangamkia kutamka sauti /j/ na /nj/ ipasavyo katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama michoro na kusoma sentensi zilizo chini yake akishirikiana na mwenzake - Kutambua maneno yenye sauti /j/ na /nj/ katika sentensi alizozisoma na kuyatamka - Kusoma kifungu chenye maneno yenye sauti /j/ na /nj/ na kuyatamkia mwenzake maneno hayo |
Je, sauti /j/ na /nj/ zinatofautianaje kimatamshi?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 136
- Vifaa vya kidijitali - Michoro - Matini ya mwalimu Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 137 - Rekodi ya vitanzandimi |
Kutambua sauti /j/ na /nj/
- Kutamka maneno ipasavyo
- Kujibu maswali
|
|
| 6 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu - Kifungu cha Kushawishi
|
Kufika mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:
A.Kueleza maana ya kifungu cha kushawishi B.Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha kushawishi C.Kuchangamkia kusoma vifungu vya kushawishi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na wenzake kuhusu maana ya kifungu cha kushawishi na jinsi ya kudondoa habari kutoka katika kifungu - Kusoma kifungu cha kushawishi kuhusu suala lengwa na kudondoa habari muhimu - Kujibu maswali kuhusu kifungu alichokisoma akishirikiana na wenzake |
Je, ni mambo gani unayoyazingatia unaposoma kifungu cha kushawishi?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 138
- Vifungu vya kushawishi - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 140 - Kamusi |
Kudondoa habari mahususi
- Kujibu maswali ya ufahamu
- Kuwasilisha majibu
|
|
| 6 | 3 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Masimulizi
|
Kufika mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:
A.Kueleza maana ya insha ya masimulizi B.Kutambua vipengele vya kukuza wazo katika aya za insha ya masimulizi C.Kuthamini uandishi wa insha za masimulizi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kukumbushana na mwenzake maana ya insha ya masimulizi na vipengele vinavyotumiwa kufafanulia ujumbe - Kusoma insha ya masimulizi kuhusu suala lengwa na kutambua vipengele vya kukuza wazo katika aya - Kueleza jinsi vipengele vya kukuza wazo vilivyotumiwa kufafanua ujumbe katika insha akishirikiana na wenzake |
Je, unawezaje kulikuza wazo baina ya aya za insha ya masimulizi?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 142
- Mifano ya insha za masimulizi - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 144 |
Kutambua vipengele vya ukuzaji wazo
- Kueleza jinsi vipengele vilivyotumiwa
- Kujibu maswali
|
|
| 6 | 4 |
Sarufi
|
Ngeli ya LI na KU
Ngeli ya PA-KU-MU |
Kufika mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze: A. Kutambua nomino katika ngeli ya LI na KU katika matini
B.Kutumia nomino za ngeli ya LI na KU katika matini kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi C.Kuchangamkia matumizi ya ngeli ya LI na KU katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi na kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI na KU akishirikiana na mwenzake - Kutambua nomino za ngeli ya LI na KU katika kadi za maneno na katika kifungu - Kutunga sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI na KU kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi |
Je, nomino za ngeli ya LI na KU zina sifa gani?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 145
- Kadi za nomino za ngeli ya LI na KU - Chati - Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 150 - Kadi za nomino za ngeli ya PA-KU-MU - Matini ya mwalimu |
Kutambua ngeli ya LI na KU
- Kutunga sentensi
- Kujaza pengo
- Orodha hakiki
|
|
| 7 | 1 |
KUKABILIANA NA MSONGO WA MAWAZO
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Mazungumzo - Malumbano ya Utani
|
Kufika mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:
A.Kueleza maana ya malumbano ya utani B.Kutambua sifa za malumbano ya utani C.Kuchangamkia malumbano ya utani katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama mchoro unaoonyesha wanafunzi wakishiriki malumbano ya utani na kujadili kinachoendelea - Kujadiliana na wenzake kuhusu maana ya malumbano ya utani - Kujadili sifa za malumbano ya utani zilizoorodheshwa na kutaja sifa nyingine akishirikiana na wenzake katika kikundi |
Je, malumbano ya utani hutokea katika miktadha gani katika jamii?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 154
- Vifaa vya kidijitali - Michoro - Matini ya mwalimu Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 156 - Rekodi ya malumbano ya utani |
Kueleza maana ya malumbano ya utani
- Kutambua sifa za malumbano ya utani
- Kujibu maswali
|
|
| 7 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina - Ushairi (Wahusika)
|
Kufika mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya wahusika katika ushairi - Kutambua wahusika katika shairi - Kuchangamkia kusoma mashairi ili kutambua wahusika |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na mwenzake kuhusu maana ya wahusika katika fasihi na jinsi ya kuwatambua - Kusoma ubeti wa shairi na kutambua anayezungumza na anayezungumziwa - Kusoma shairi kuhusu suala lengwa na kutambua wahusika waliomo akishirikiana na wenzake katika kikundi |
Je, wahusika katika shairi ni kina nani?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 157
- Diwani ya mashairi iliyoteuliwa - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 159 |
Kutambua wahusika katika shairi
- Kutaja sifa za wahusika
- Kuwasilisha majibu
|
|
| 7 | 3 |
Kuandika
|
Barua Rasmi - Kuomba Kazi
|
Kufika mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya barua rasmi ya kuomba kazi - Kutambua vipengele vya kimuundo vya barua rasmi ya kuomba kazi - Kuthamini umuhimu wa barua rasmi ya kuomba kazi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kukumbushana na wenzake maana ya barua rasmi na vipengele vinavyojumuisha muundo wake - Kusoma kielelezo cha barua rasmi ya kuomba kazi na kutambua ujumbe uliomo - Kutambua vipengele vya kimuundo vya barua rasmi ya kuomba kazi vinavyojitokeza katika kielelezo akishirikiana na wenzake |
Je, barua rasmi ya kuomba kazi ina vipengele vipi vya kimuundo?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 160
- Mifano ya barua rasmi za kuomba kazi - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 162 |
Kutambua vipengele vya kimuundo
- Kueleza ujumbe wa barua
- Kujibu maswali
|
|
| 7 | 4 |
Sarufi
|
Vinyume vya Vihusishi
|
Kufika mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya vinyume vya vihusishi - Kutambua vinyume vya vihusishi katika matini - Kuchangamkia matumizi ya vinyume vya vihusishi katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama michoro na kusoma sentensi zinazoandamana nazo ili kutambua vihusishi na vinyume vyake - Kutambua vihusishi na vinyume vya vihusishi hivyo katika chati ya maneno akishirikiana na wenzake - Kunakili sentensi na kupigia mstari zile zenye vihusishi na vinyume vya vihusishi hivyo |
Je, vinyume vya vihusishi ni nini?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 164
- Kadi za vihusishi na vinyume vyake - Michoro - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua vinyume vya vihusishi
- Kunakili sentensi
- Kujibu maswali
- Orodha hakiki
|
|
| 8-9 |
TATHMINI YA MWISHO WA MUHULA WA PILI |
||||||||
| 10 | 1 |
Sarufi
|
Vinyume vya Vihusishi
|
Kufika mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:
- Kutumia vinyume vya vihusishi ipasavyo katika matini - Kutunga sentensi akitumia vihusishi na vinyume vya vihusishi hivyo - Kuchangamkia matumizi ya vinyume vya vihusishi katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kunakili vihusishi na vinyume vya vihusishi hivyo kutoka kwenye kifungu - Kuandika upya sentensi akitumia vinyume vya vihusishi vilivyopigiwa mstari - Kutunga sentensi akitumia vinyume vya vihusishi na kushiriki mchezo wa vinyume vya vihusishi akishirikiana na wenzake |
Je, vihusishi na vinyume vyake vinatofautianaje kimatumizi?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 166
- Kadi za vihusishi na vinyume vyake - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
Kutunga sentensi
- Kushiriki mchezo wa vinyume vya vihusishi
- Kufanyiana tathmini
|
|
| 10 | 2 |

| 10 | 3 |

| 10 | 4 |

| 11 | 1 |
HAKI ZA KIBINADAMU
Kusikiliza na Kuzungumza |
Uzungumzaji katika Sherehe - Vipengele
|
Kufika mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya uzungumzaji katika sherehe - Kutambua miktadha tofauti katika jamii ambapo uzungumzaji katika sherehe hufanywa - Kuchangamkia uzungumzaji katika sherehe |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha zinazoonyesha shughuli za sherehe na kujadili kinachoendelea akishirikiana na mwenzake - Kusikiliza kwa makini rekodi za mazungumzo kwenye kifaa cha kidijitali na kutambua ile inayohusu muktadha wa sherehe - Kujadili vipengele vya kuzingatia wakati wa kuzungumza katika sherehe akishirikiana na wenzake |
Je, mzungumzaji anastahili kuzingatia nini anapozungumza katika sherehe?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 168
- Vifaa vya kidijitali - Picha za sherehe - Rekodi za mazungumzo |
Kueleza maana ya uzungumzaji katika sherehe
- Kutambua miktadha ya sherehe
- Kujibu maswali
|
|
| 11 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Uzungumzaji katika Sherehe - Uwasilishaji
|
Kufika mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:
- Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kuzungumza katika muktadha wa sherehe - Kutoa mazungumzo katika muktadha wa sherehe kwa kutumia vipengele vifaavyo - Kuthamini uzungumzaji katika sherehe katika kukuza mshikamano wa kijamii |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili vipengele vya kuzingatia wakati wa uzungumzaji katika sherehe akishirikiana na wenzake katika kikundi - Kutambua muktadha wa sherehe na kuandaa mazungumzo ya kuwasilisha - Kuwasilisha mazungumzo katika sherehe akizingatia vipengele vya kimsingi vya uwasilishaji |
Je, ujumbe unaozungumziwa katika sherehe unapaswa kuwa wa aina gani?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 170
- Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
Kujadili vipengele vya uzungumzaji
- Kuandaa mazungumzo
- Kuwasilisha mazungumzo katika sherehe
|
|
| 11 | 3 |

| 11 | 4 |

| 12 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana - Matini ya Kujichagulia
|
Kufika mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya matini ya kujichagulia - Kujichagulia matini ya kusoma kuhusu mada inayompendeza - Kuchangamkia kusoma matini za kujichagulia |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na mwenzake kuhusu mambo ya kuzingatia wakati wa kuchagua matini ya kusoma - Kwenda maktabani au kusakura mtandaoni na kujichagulia matini ya kusoma kuhusu mada inayompendeza - Kusoma matini aliyojichagulia na kuweleza wenzake ujumbe unaojitokeza |
Je, unazingatia nini unapochagua matini ya kusoma?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 171
- Vitabu maktabani - Vifaa vya kidijitali - Kamusi |
Kueleza ujumbe wa matini
- Kutambua msamiati mpya
- Kuwasilisha majibu
|
|
| 12 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana - Matini ya Kujichagulia
|
Kufika mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:
- Kutambua msamiati mpya katika matini aliyojichagulia - Kueleza maana za msamiati kama ulivyotumiwa katika matini - Kuthamini kusoma matini za kujichagulia katika kupanua maarifa |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua maneno na mafungu ya maneno ambayo haelewi maana katika matini aliyojichagulia - Kueleza maana za msamiati kama ulivyotumiwa katika matini akitumia kamusi pale anapohitaji - Kutunga sentensi akitumia msamiati aliouelezea maana na kuweka rekodi ya msamiati aliojifunza |
Je, kusoma matini ya kujichagulia kuna umuhimu gani?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 171
- Vitabu maktabani - Vifaa vya kidijitali - Kamusi |
Kueleza maana za msamiati
- Kutunga sentensi
- Kuweka rekodi ya msamiati
- Kufanya tathmini
|
|
| 12 | 3 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Maelezo
|
Kufika mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya insha ya maelezo - Kujadili mitazamo mbalimbali katika insha za maelezo - Kuthamini uandishi wa insha za maelezo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kukumbushana na wenzake maana ya insha ya kubuni na insha ya maelezo - Kusoma kielelezo cha insha ya maelezo kuhusu suala lengwa na kubainisha mtazamo wa kimaelezo unaojitokeza - Kujadili mtazamo wa kimaelezo alioutambua katika kielelezo akishirikiana na wenzake katika kikundi |
Je, ni mitazamo ipi ya kimaelezo katika insha za maelezo unayoijua?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 172
- Mifano ya insha za maelezo - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 174 |
Kubainisha mtazamo wa kimaelezo
- Kujadili mtazamo
- Kujibu maswali
|
|
| 12 | 4 |
Sarufi
|
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kutendana na Kutendeana
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kutendesha |
Kufika mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya kauli ya kutendana na kutendeana - Kutambua viambishi vya kauli ya kutendana na kutendeana katika vitenzi - Kuchangamkia matumizi ya kauli ya kutendana na kutendeana katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha na kusoma sentensi zinazoandamana nazo ili kutambua vitenzi katika kauli ya kutendana - Kuteua vitenzi vilivyo katika kauli ya kutendana na kutendeana katika chati ya maneno na kuonyesha viambishi vyake - Kunakili sentensi na kupigia mstari viambishi vya kauli ya kutendana na kutendeana |
Je, kauli ya kutendana na kutendeana zinaleta maana gani?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 175
- Kadi za vitenzi - Michoro - Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 180 - Matini ya mwalimu |
Kutambua viambishi vya kauli ya kutendana na kutendeana
- Kunakili sentensi
- Kujibu maswali
- Orodha hakiki
|
|
Your Name Comes Here