If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1 |
MISIMU
Kusikiliza na Kuzungumza |
Heshima, Adabu na Vyeo: Maneno ya heshima na vyeo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua maneno ya heshima yanayotumiwa katika mawasiliano. -Kuonyesha uelewa wa maneno ya heshima kwa kuyatumia kwa usahihi katika mawasiliano. -Kuthamini kutumia maneno ya heshima katika mawasiliano ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua maneno ya heshima (k.v. shehe, kasisi, padre, mwadhini, mheshimiwa, rais, mtaw kwenye ubao, mti maneno, tarakilishi au kapu maneno. -Kueleza maana ya maneno lengwa kama yanavyotumiwa katika mahusiano ya kila siku kati ya watu. -Kutunga sentensi kwa kutumia maneno lengwa kwa usahihi. |
Ni maneno yapi ya heshima unayoyajua na unayoweza kutumia kurejelea watu tofauti?
|
KLB Top Scholar uk. 49
-Ubao -Mti maneno -Tarakilishi -Kapu maneno |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Mazoezi ya kuandika
-Tathmini ya wenza
|
|
| 2 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana - Matini za kidijitali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali anaposoma. -Kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma vyenye mada lengwa. -Kutumia vifaa ya kidijitali kwa urahisi ili kupata matini yanayolengwa. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadili na wenzake kuhusu hatua za kiusalama na maadili anayofaa kuzingatia anapotafuta na kusoma matini ya kidijitali. -Kujadili na wenzake kuhusu utunzaji wa vifaa vya kidijitali anavyotumia katika usomaji. -Kuzingatia hatua za kiusalama katika kutumia vifaa vya kidijitali (k.v. kufungua mitandao ifaayo). -Kutambua jina la faili lengwa kwenye tarakilishi na kufanya mazoezi ya kufungua na kufunga faili. |
Kusoma matini ya kidijitali kuna manufaa gani?
|
KLB Top Scholar uk. 52
-Vifaa vya kidijitali -Mtandao -Tarakilishi -Sampuli za faili |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Mazoezi ya matumizi ya vifaa vya kidijitali
-Tathmini ya wenza
|
|
| 2 | 3 |
Sarufi
|
Ngeli ya YA-YA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya YA-YA katika sentensi. -Kutambua nomino katika ngeli ya YA-YA kutokana na upatanisho wa kisarufi. -Kutumia nomino za ngeli ya YA-YA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua viambishi vya ngeli ya YA-YA katika sentensi kwa kuvipigia mstari au kuvikoleza rangi katika tarakilishi. -Kutambua nomino katika ngeli ya YA-YA kutokana na upatanisho wa kisarufi kwenye sentensi (k.m. maji, maziwa, mate, marashi na maskani). -Kuandika nomino katika ngeli ya YA-YA katika umoja na wingi akishirikiana na wenzake. |
Je, unajua majina gani ya vitu visivyohesabika?
|
KLB Top Scholar uk. 57
-Tarakilishi -Chati -Kadi za maneno -Kapu la maneno |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Mazoezi ya kuandika
-Tathmini ya wenza
|
|
| 2 | 4 |
Kuandika
|
Barua Rasmi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua barua rasmi kwa kuzingatia muundo wake. -Kutambua vipengele vya barua rasmi ili kuvizingatia katika uandishi. -Kuandika barua rasmi kwa kufuata kanuni zifaazo. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua barua rasmi kwenye kielelezo cha barua rasmi iliyochapishwa au kwenye tarakilishi. -Kujadili vipengele vya barua rasmi (k.v. anwani ya mwandishi [jina, sanduku la posta, tarehe], anwani ya mpokeaji [cheo, sanduku la posta], mtajo, mada ya barua, mwili, hitimisho, sahihi na jina la mwandishi). -Kuandika barua rasmi kwa mwalimu akiomba kujiunga na klabu shuleni (k.v. vile skauti, mazingira, kilimo na muziki), akishirikiana na wenzake darasani, kwa hati za mkono au kwa kutumia kifaa cha kidijitali akizingatia muundo wa uandishi wa barua rasmi. |
Barua rasmi ni barua ya aina gani?
|
KLB Top Scholar uk. 54
-Kielelezo cha barua rasmi -Tarakilishi -Vifaa vya kuandikia |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Mazoezi ya kuandika
-Tathmini ya wenza
|
|
| 3 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Heshima, Adabu na Vyeo: Maneno ya heshima na vyeo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kuonyesha uelewa wa maneno ya heshima kwa kuyatumia kwa usahihi katika mawasiliano. -Kuthamini kutumia maneno ya heshima katika mawasiliano ya kila siku. -Kuigiza mazungumzo akitumia maneno ya heshima. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutazama maigizo ya watu wakitumia maneno ya heshima kwenye tarakilishi na video. -Kuigiza mazungumzo mafupi akiwa na wenzake huku akitumia msamiati wa heshima. -Kutumia maneno ya heshima katika mawasiliano ya kila siku. |
Kutumia maneno ya heshima kuna umuhimu gani katika jamii?
|
KLB Top Scholar uk. 49
-Tarakilishi -Video -Projekta |
Uchunguzi
-Maigizo
-Tathmini ya wenza
|
|
| 3 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana - Matini za kidijitali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutumia vifaa ya kidijitali kwa urahisi ili kupata matini yanayolengwa. -Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake. -Kusoma matini za kidijitali kwa uelewa. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua mitandao salama yenye matini inayoafiki kiwango na mahitaji yake. -Kutambua umuhimu wa kutoa habari kwa mwalimu, mzazi au mlezi wake endapo atapata ujumbe kutoka kwa watu asiowajua mtandaoni na kutowasiliana nao. -Kusoma matini yanayojumuisha msamiati wa misimu kwa kutumia vifaa vya kidijitali. -Kutafuta maana za maneno mapya kwenye kamusi mtandaoni. -Kusikiliza matamshi na maelezo kuhusu anachokisoma mtandaoni panapowezekana. -Kutoa habari kwa muhtasari kuhusu matini aliyosoma na kujibu maswali katika maandishi au mazungumzo na wenzake. |
Ni hatua gani za kiusalama unazozingatia unapotafuta habari mtandaoni?
|
KLB Top Scholar uk. 52
-Vifaa vya kidijitali -Mtandao -Kamusi mtandaoni |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Uwasilishaji wa muhtasari
-Tathmini ya wenza
|
|
| 3 | 3 |
Sarufi
|
Ngeli ya YA-YA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutumia nomino za ngeli ya YA-YA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi. -Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya YA-YA katika mawasiliano. -Kutunga sentensi akitumia nomino za ngeli ya YA-YA. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutunga sentensi sahihi kwa kutumia nomino za ngeli ya YA-YA kwa kushirikiana na wenzake. -Kujaza mapengo katika sentensi kwa kutumia viambishi vya ngeli ya YA-YA vifaavyo. -Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi na kinyume chake akizingatia upatanisho wa ngeli ya YA-YA. |
Je, unajua majina gani ya vitu visivyohesabika?
|
KLB Top Scholar uk. 57
-Daftari -Vifaa vya kuandikia -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Mazoezi ya kuandika
-Tathmini ya wenza
|
|
| 3 | 4 |
Kuandika
|
Barua Rasmi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kuandika barua rasmi kwa kufuata kanuni zifaazo. -Kuchangamkia umuhimu wa barua rasmi katika mawasiliano. -Kuwasilisha barua rasmi kwa mwalimu kwa usahihi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika barua rasmi katika daftari akiwa peke yake. -Kujadiliana na wenzake kuhusu umuhimu wa barua rasmi katika mawasiliano. -Kusahihisha barua rasmi aliyoandika kwa kuzingatia vipengele vyote vya barua rasmi. -Kuwasilisha barua rasmi kwa mwalimu. |
Unazingatia nini unapoandika barua rasmi?
|
KLB Top Scholar uk. 54
-Daftari -Vifaa vya kuandikia -Orodha hakiki |
Mazoezi ya kuandika
-Tathmini ya wenza
-Tathmini ya mwalimu
-Uwasilishaji barua
|
|
| 4 | 1 |
MSHIKAMANO WA KITAIFA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Methali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua methali zinazohusu umoja na ushirikiano katika matini, - kueleza maana na matumizi ya methali mbalimbali zinazohusu umoja na ushirikiano katika jamii, - kutumia methali zinazohusu umoja na ushirikiano katika mawasiliano, - kuchangamkia matumizi ya methali zinazohimiza umoja na ushirikiano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua methali zinazohusu umoja na ushirikiano (kama vile; umoja ni nguvu utengano ni udhaifu, jifya moja haliinjiki chungu, kidole kimoja hakivunji chawa, kinga na kinga ndio moto huwaka n.k.) katika chati, ubao na vyombo vya kidijitali, -kutoa mifano ya methali zinazohusu umoja na ushirikiano katika jamii, -kusikiliza methali za umoja na ushirikiano zikitumiwa kupitia vyombo vya kidijitali, -kujadili na wenzake maana na matumizi ya methali mbalimbali zinazohusu umoja na ushirikiano, -kulinganisha methali na maana yake -kukamilisha methali mbalimbali zinazohusu umoja na ushirikiano katika mazungumzo akishirikiana na wenzake, kwenye daftari au kwa kutumia vyombo vya kidijitali. |
1. Je, ni nini umuhimu wa methali katika jamii?
-2. Ni methali gani unazozijua kuhusu umoja na ushirikiano?
|
KLB Top Scholar UK 63
-Kamusi -Chati ya methali -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
|
|
| 4 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kujadili dhana za ukwapi na utao katika shairi ili kuzibainisha, - kutambua mashairi ya tathnia, tathlitha na tarbia kwa kuzingatia muundo, - kusoma mashairi ya tathnia, tathlitha na tarbia ili kupata ujumbe, - kuchangamkia usomaji wa mashairi ili kuyathamini. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujadili ukwapi na utao katika shairi, -kutambua ukwapi na utao katika shairi kwenye ubao, chati, vitabu au vyombo vya kidijitali, -kusoma shairi akizingatia ukwapi na utao. |
Je, kuna tofauti gani kati ya mashairi mbalimbali?
|
KLB Top Scholar UK 65
-Kamusi -Chati ya mashairi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
|
|
| 4 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kujadili dhana za ukwapi na utao katika shairi ili kuzibainisha, - kutambua mashairi ya tathnia, tathlitha na tarbia kwa kuzingatia muundo, - kusoma mashairi ya tathnia, tathlitha na tarbia ili kupata ujumbe, - kuchangamkia usomaji wa mashairi ili kuyathamini. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujirekodi akisoma aina za mashairi lengwa akitumia vyombo vya kidijitali ili kuweza kujirekebisha anakokosea, -kutofautisha mashairi ya tathnia, tathlitha na tarbia kwenye ubao, chati, vitabu au vifaa vya kidijitali, -kutambua mashairi ya tathnia, tathlitha na tarbia katika matini mbalimbali. |
Je, kuna tofauti gani kati ya mashairi mbalimbali?
|
KLB Top Scholar UK 65
-Kamusi -Chati ya mashairi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
|
|
| 4 | 4 |
Sarufi
|
Ngeli ya U-U
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya U-U katika sentensi, - kutambua nomino za ngeli ya U-U kutokana na upatanisho wa kisarufi, - kuandika nomino za ngeli ya U-U katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi, - kutumia nomino za ngeli ya U-U kwa usahihi katika sentensi au vifungu vya maneno. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua viambishi vya ngeli ya U-U katika sentensi kwa kuvipigia mstari au kuvikoleza rangi katika tarakilishi, -kutambua nomino katika ngeli ya U-U kutokana na upatanisho wa kisarufi kwenye sentensi (k.v. ugali, ugonjwa, wino, umoja, umeme, uhuru), -kuandika nomino katika ngeli ya U-U katika umoja na wingi akishirikiana na wenzake. |
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya U-U?
|
KLB Top Scholar UK 70
-Kadi za maneno -Kamusi -Chati -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Michoro
|
|
| 5 | 1 |
Kuandika
|
Insha za Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua insha za maelezo katika matini mbalimbali, - kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo, - kuchangamkia utunzi bora maishani. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi, -kujadili vidokezo vya insha ya maelezo atakavyovitumia katika kuandika insha yake, -kuonyesha umilisi wa ubunifu kwa kuandika insha ya maelezo (k.v. Siku ya sherehe ya kitaifa, Siku ya michezo ya kitaifa, Nchi yetu, n.k) isiyopungua maneno 200 akizingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na lugha ya kiubunifu inayojumuisha methali na nahau alizojifunza awali ili kutoa picha dhahiri kuhusu anachokielezea. |
Insha ya maelezo ina sifa gani?
|
KLB Top Scholar UK 68
-Vifaa vya kidijitali -Kamusi -Chati |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Majadiliano ya vikundi
-Uwasilishaji
-Orodha hakiki
|
|
| 5 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Methali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua methali zinazohusu umoja na ushirikiano katika matini, - kueleza maana na matumizi ya methali mbalimbali zinazohusu umoja na ushirikiano katika jamii, - kutumia methali zinazohusu umoja na ushirikiano katika mawasiliano, - kuchangamkia matumizi ya methali zinazohimiza umoja na ushirikiano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusakura mtandaoni kwa kusaidiwa na mzazi au mlezi wake ili kupata methali zaidi zinazohusu umoja na ushirikiano na matumizi ya methali hizo, -kujadili na wenzake kuhusu methali alizozipata mtandaoni ili wajengane kimaarifa. |
1. Je, ni nini umuhimu wa methali katika jamii?
-2. Ni methali gani unazozijua kuhusu umoja na ushirikiano?
|
KLB Top Scholar UK 63
-Kamusi -Chati ya methali -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
|
|
| 5 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kujadili dhana za ukwapi na utao katika shairi ili kuzibainisha, - kutambua mashairi ya tathnia, tathlitha na tarbia kwa kuzingatia muundo, - kusoma mashairi ya tathnia, tathlitha na tarbia ili kupata ujumbe, - kuchangamkia usomaji wa mashairi ili kuyathamini. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusoma mashairi ya tathnia, tathlitha na tarbia kwa mahadhi mbalimbali, -kujadili ujumbe kwenye shairi waliyoyasoma, -kujibu maswali yanayotokana na mashairi aliyoyasoma, -kuandika ujumbe alioupata katika mojawapo ya mashairi aliyoyasoma na kuujadili na wenzake darasani. |
Je, kuna tofauti gani kati ya mashairi mbalimbali?
|
KLB Top Scholar UK 65
-Kamusi -Chati ya mashairi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
|
|
| 5 | 4 |
Sarufi
|
Ngeli ya U-U
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya U-U katika sentensi, - kutambua nomino za ngeli ya U-U kutokana na upatanisho wa kisarufi, - kuandika nomino za ngeli ya U-U katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi, - kutumia nomino za ngeli ya U-U kwa usahihi katika sentensi au vifungu vya maneno. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutunga sentensi sahihi kwa kutumia nomino za ngeli ya U-U kwa kushirikiana na wenzake. |
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya U-U?
|
KLB Top Scholar UK 70
-Kadi za maneno -Kamusi -Chati -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Michoro
|
|
| 6 | 1 |
Kuandika
|
Insha za Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua insha za maelezo katika matini mbalimbali, - kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo, - kuchangamkia utunzi bora maishani. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kukuza umilisi wa ujuzi wa kidijitali kwa kuandika insha ya maelezo na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini. |
Insha ya maelezo ina sifa gani?
|
KLB Top Scholar UK 68
-Vifaa vya kidijitali -Kamusi -Chati |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Majadiliano ya vikundi
-Uwasilishaji
-Orodha hakiki
|
|
| 6 | 2 |
USAWA WA KIJINSIA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kukariri au kuimba shairi kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia, matamshi ya maneno yenye sauti lengwa na mahadhi mbalimbali ili kukuza matamshi bora, - kueleza maana ya maneno yenye sauti lengwa yaliyotumika katika shairi, - kutumia kwa usahihi msamiati uliotumiwa katika shairi kuboresha mawasiliano, - kuonyesha ufahamu wa ujumbe katika shairi kwa kujibu maswali kuchangamkia mahadhi mbalimbali katika ushairi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusikiliza shairi kuhusu suala lengwa na lenye maneno yenye sauti lengwa (d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng) likikaririwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kifaa cha kidijitali, -kukariri akishirikiana na wenzake, shairi kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia matamshi ya maneno yenye sauti lengwa na mahadhi mbalimbali, -kutamka maneno yaliyoundwa kutokana na sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng katika shairi. |
Kwa nini?
|
KLB Top Scholar UK 74
-Chati ya shairi -Vifaa vya kidijitali -Kamusi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Maigizo
|
|
| 6 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kujadili mambo ya kuzingatia katika kuchagua makala ya kusoma katika maktaba, - kutambua makala atakayosoma katika maktaba, - kusoma makala mbalimbali ili kupata ujumbe, - kufurahia kusoma makala mbalimbali ili kujenga ufasaha wa lugha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kueleza umuhimu wa kusoma kwa mapana, -kujadili mambo ya kuzingatia anapochagua matini za kusoma katika maktaba (k.v. makala yanayoambatana na umri, ukubwa wa maandishi, ujumbe anaotaka kuupata), -kuchagua makala mbalimbali kuhusu suala lengwa katika maktaba (makala yaliyochapishwa au katika kifaa cha kidijitali). |
1. Je, kwa nini ni muhimu kuwa na mazoea ya kusoma makala au hadithi?
-2. Kusoma makala kuhusu usawa wa kijinsia kuna umuhimu gani?
|
KLB Top Scholar UK 76
-Vitabu -Majarida -Magazeti -Vifaa vya kidijitali -Kamusi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Majadiliano ya vikundi
|
|
| 6 | 4 |
Sarufi
|
Ngeli ya I-I
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua nomino katika ngeli ya I-I katika sentensi ili kuzibainisha, - kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya I-I katika sentensi - kutumia nomino za ngeli ya I-I katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi, - kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-I katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua viambishi vya ngeli ya I-I katika sentensi kwa kuvipigia mstari au kuvikoleza rangi katika tarakilishi, -kutambua nomino katika ngeli ya I-I kutokana na upatanisho wa kisarufi kwenye sentensi (k.v. chumvi, miwani na sukari, chai, kahawa, mirathi, asali, sharubati). |
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya I-I?
|
KLB Top Scholar UK 79
-Kadi za maneno -Kamusi -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Majadiliano ya vikundi
|
|
| 7 | 1 |
Sarufi
|
Ngeli ya I-I
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua nomino katika ngeli ya I-I katika sentensi ili kuzibainisha, - kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya I-I katika sentensi - kutumia nomino za ngeli ya I-I katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi, - kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-I katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kuandika nomino katika ngeli ya I-I katika umoja na wingi akishirikiana na wenzake, -kutunga sentensi sahihi kwa kutumia nomino za ngeli ya I-I kwa kushirikiana na wenzake. |
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya I-I?
|
KLB Top Scholar UK 79
-Kadi za maneno -Kamusi -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Majadiliano ya vikundi
|
|
| 7 | 2 |

| 7 | 3 |
Kuandika
|
Insha ya Wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua vipengele vya kimuundo vya insha za wasifu ili kuibainisha, - kuandika insha ya wasifu kwa kuzingatia sifa zake, - kufurahia uandishi wa insha za wasifu kwa kueleza sifa za mtu, kitu, mnyama au mahali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kukuza hamu ya ujifunzaji kwa kutazama nakala za insha ya wasifu kwenye chapa au kwenye tarakilishi, -kutambua vipengele muhimu vya kimuundo (k.v. kichwa, mwili, hitimisho) katika uandishi wa insha ya wasifu, -kukuza umilisi wa mawasiliano na ushirikiano kwa kujadili na wenzake kuhusu mada mbalimbali zinazoweza kutungiwa insha za wasifu. |
Insha ya wasifu ina sifa gani?
|
KLB Top Scholar UK 77
-Chati -Vifaa vya kidijitali -Kamusi |
Uchunguzi
-Majadiliano ya vikundi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Orodha hakiki
|
|
| 7 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kukariri au kuimba shairi kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia, matamshi ya maneno yenye sauti lengwa na mahadhi mbalimbali ili kukuza matamshi bora, - kueleza maana ya maneno yenye sauti lengwa yaliyotumika katika shairi, - kutumia kwa usahihi msamiati uliotumiwa katika shairi kuboresha mawasiliano, - kuonyesha ufahamu wa ujumbe katika shairi kwa kujibu maswali kuchangamkia mahadhi mbalimbali katika ushairi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua msamiati uliotumika katika ushairi kuhusu usawa wa kijinsia (k.m. jinsia, ubaguzi, mtoto wa kiume, mtoto wa kike, usawa, heshima na uwajibikaji), -kutumia msamiati uliotumika katika shairi kutunga sentensi sahihi akishirikiana na wenzake, -kusakura mtandaoni, akishirikiana na wenzake, ili kukariri au kuimba shairi kwa mahadhi mbalimbali, -kujadili ujumbe katika shairi waliloliimba, -kujibu maswali yanayotokana na shairi alilosikiliza, aliloimba au kukariri, -kusoma mashairi katika vitabu na mtandaoni ili kukuza hamu ya ujifunzaji. |
Kwa nini?
|
KLB Top Scholar UK 74
-Chati ya shairi -Vifaa vya kidijitali -Kamusi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Maigizo
|
|
| 8 |
Mid term |
||||||||
| 9 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kujadili mambo ya kuzingatia katika kuchagua makala ya kusoma katika maktaba, - kutambua makala atakayosoma katika maktaba, - kusoma makala mbalimbali ili kupata ujumbe, - kufurahia kusoma makala mbalimbali ili kujenga ufasaha wa lugha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusoma makala ya aina mbalimbali aliyoyachagua, -kujadiliana kwa heshima na wenzake kuhusu ujumbe alioupata katika makala aliyoyasoma -kutumia kamusi kupata maana za msamiati uliotumika katika makala. |
1. Je, kwa nini ni muhimu kuwa na mazoea ya kusoma makala au hadithi?
-2. Kusoma makala kuhusu usawa wa kijinsia kuna umuhimu gani?
|
KLB Top Scholar UK 76
-Vitabu -Majarida -Magazeti -Vifaa vya kidijitali -Kamusi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Majadiliano ya vikundi
|
|
| 9 | 2 |
Sarufi
|
Ngeli ya I-I
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua nomino katika ngeli ya I-I katika sentensi ili kuzibainisha, - kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya I-I katika sentensi - kutumia nomino za ngeli ya I-I katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi, - kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-I katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kuandika nomino katika ngeli ya I-I katika umoja na wingi akishirikiana na wenzake, -kutunga sentensi sahihi kwa kutumia nomino za ngeli ya I-I kwa kushirikiana na wenzake. |
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya I-I?
|
KLB Top Scholar UK 79
-Kadi za maneno -Kamusi -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Majadiliano ya vikundi
|
|
| 9 | 3 |
Kuandika
|
Insha ya Wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua vipengele vya kimuundo vya insha za wasifu ili kuibainisha, - kuandika insha ya wasifu kwa kuzingatia sifa zake, - kufurahia uandishi wa insha za wasifu kwa kueleza sifa za mtu, kitu, mnyama au mahali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kuandika kwenye kitabu chake au kwenye tarakilishi insha ya wasifu isiyopungua maneno 200 kwa kuzingatia msamiati na ujumbe unaohusu suala lengwa. Pia azingatie ujumbe, tahajia, anwani, muundo na mtindo, -kuwawasilishia wenzake insha aliyoiandika ili wampe maoni yao. |
Insha ya wasifu ina sifa gani?
|
KLB Top Scholar UK 77
-Chati -Vifaa vya kidijitali -Kamusi |
Uchunguzi
-Majadiliano ya vikundi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Orodha hakiki
|
|
| 9 | 4 |
MAJANGA NA JINSI YA KUYAZUIA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Nahau
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua nahau za kazi na ushirikiano katika matini mbalimbali, - kujadili maana ya nahau mbalimbali za kazi na ushirikiano ili kuzitofautisha, - kutumia nahau za kazi na ushirikiano katika mawasiliano, - kuthamini matumizi ya nahau za kazi na ushirikiano katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua nahau za kazi na ushirikiano (k.v. chapa kazi, kunja jamvi, changa bia, sema kwa sauti moja, fanya itifaki) katika chati, michoro, picha, vikapu maneno, mti maneno, chati, kamusi na katika vyombo vya kidijitali, -kujadili na wenzake maana za nahau za kazi na ushirikiano kwa kutoa mifano, -kuambatanisha nahau na maana yake. |
Je, ni nahau zipi zinazohimiza watu kufanya mambo mbalimbali?
|
KLB Top Scholar UK 83
-Chati -Kamusi -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Majadiliano ya vikundi
-Maigizo
|
|
| 10 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua matini anazotaka kusoma kwenye maktaba, - kuchagua matini anazotaka kusoma kwenye maktaba, - kusoma matini ili kufaidika na ujumbe na lugha inayotumiwa, - kufurahia usomaji wa matini za aina mbalimbali ili kujenga utamaduni wa kusoma. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua aina mbalimbali za matini (k.v. vitabu, magazeti, na majarid kwenye tarakilishi au kadi za katalogi, -kuchagua matini atakayoisoma, -kusoma matini kimyakimya ili kupata ujumbe uliopo na kufaidi matumizi ya lugha. |
1. Unapenda kusoma matini ya aina gani?
-2. Ni vipi unavyoweza kupata matini ya kusoma?
|
KLB Top Scholar UK 84
-Magazeti -Majarida -Vitabu -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Majadiliano ya vikundi
|
|
| 10 | 2 |
Sarufi
|
Ngeli ya PA-KU-MU
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua nomino katika ngeli ya PA-KU-MU ili kuzibainisha, - kuandika nomino za ngeli ya PA-KU-MU katika umoja na wingi, - kuandika sentensi akitumia nomino za ngeli ya PA-KU-MU katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi, - kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya PA-KU-MU katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua nomino katika ngeli ya PA-KU-MU kwenye kadi, mti wa maneno, tarakilishi au kapu la maneno (k.v: huku, humu, hapa, hapo, huko, humo, pale, kule, mle), -kuandika nomino katika ngeli ya PA-KU-MU katika umoja na wingi akishirikiana na wenzake, -kubadilisha sentensi zenye nomino za ngeli ya PA-KU-MU katika umoja na wingi, -kutunga sentensi kwa kutumia nomino ya ngeli ya PA-KU-MU akiwa peke yake au kwa kwa kushirikiana na wenzake, -kujaza mapengo kwa kutumia viambishi vya ngeli ya PA-KU-MU kwa maandishi ya mkono au kwa tarakilishi. |
Nonimo katika ngeli ya PA-KU-MU ni gani?
|
KLB Top Scholar UK 88
-Kadi za maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali -Kamusi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Majadiliano ya vikundi
|
|
| 10 | 3 |
Kuandika
|
Insha za Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kujadili maudhui ya insha ya maelezo ili kukuza ubunifu, - kuandika insha ya maelezo kwa kuzingatia mada, mtiririko, sarufi, muundo na mtindo ufaao, - kuchangamkia utungaji wa insha za maelezo ili kukuza hali ya kujiamini. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua vifungu vya insha za maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi (k.v. maelezo kuhusu kuzuia mmomonyoko wa udongo, mafuriko, mitetemeko ya ardhi, mkurupuko wa magonjwa kama vile kipindupindu), -kujadili mada na vidokezo vya insha insha atakayoiandika. |
Unazingatia nini unapoandika insha ya maelezo?
|
KLB Top Scholar UK 85
-Chati -Vifaa vya kidijitali -Kamusi |
Uchunguzi
-Majadiliano ya vikundi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Orodha hakiki
|
|
| 10 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Nahau
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua nahau za kazi na ushirikiano katika matini mbalimbali, - kujadili maana ya nahau mbalimbali za kazi na ushirikiano ili kuzitofautisha, - kutumia nahau za kazi na ushirikiano katika mawasiliano, - kuthamini matumizi ya nahau za kazi na ushirikiano katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutumia nahau za kazi na ushirikiano katika sentensi akiwa pekee au kwa kushirikiana na wenzake, -kusakura mtandaoni ili kupata nahau zaidi za kazi na ushirikiano na maana zake na kuziandika, -kujadili na wenzake nahau alizozipata ili kuelimishana. |
Je, ni nahau zipi zinazohimiza watu kufanya mambo mbalimbali?
|
KLB Top Scholar UK 83
-Chati -Kamusi -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Majadiliano ya vikundi
-Maigizo
|
|
| 11 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua matini anazotaka kusoma kwenye maktaba, - kuchagua matini anazotaka kusoma kwenye maktaba, - kusoma matini ili kufaidika na ujumbe na lugha inayotumiwa, - kufurahia usomaji wa matini za aina mbalimbali ili kujenga utamaduni wa kusoma. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusimulia ujumbe kutokana na matini alizosoma kwa wenzake, -kujadiliana na wenzake matini alizosoma ili kuchochea hamu ya usomaji wa mapana miongoni mwao. |
1. Unapenda kusoma matini ya aina gani?
-2. Ni vipi unavyoweza kupata matini ya kusoma?
|
KLB Top Scholar UK 84
-Magazeti -Majarida -Vitabu -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Majadiliano ya vikundi
|
|
| 11 | 2 |
Sarufi
|
Ngeli ya PA-KU-MU
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua nomino katika ngeli ya PA-KU-MU ili kuzibainisha, - kuandika nomino za ngeli ya PA-KU-MU katika umoja na wingi, - kuandika sentensi akitumia nomino za ngeli ya PA-KU-MU katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi, - kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya PA-KU-MU katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua nomino katika ngeli ya PA-KU-MU kwenye kadi, mti wa maneno, tarakilishi au kapu la maneno (k.v: huku, humu, hapa, hapo, huko, humo, pale, kule, mle), -kuandika nomino katika ngeli ya PA-KU-MU katika umoja na wingi akishirikiana na wenzake, -kubadilisha sentensi zenye nomino za ngeli ya PA-KU-MU katika umoja na wingi, -kutunga sentensi kwa kutumia nomino ya ngeli ya PA-KU-MU akiwa peke yake au kwa kwa kushirikiana na wenzake, -kujaza mapengo kwa kutumia viambishi vya ngeli ya PA-KU-MU kwa maandishi ya mkono au kwa tarakilishi. |
Nonimo katika ngeli ya PA-KU-MU ni gani?
|
KLB Top Scholar UK 88
-Kadi za maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali -Kamusi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Majadiliano ya vikundi
|
|
| 11 | 3 |
Kuandika
|
Insha za Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kujadili maudhui ya insha ya maelezo ili kukuza ubunifu, - kuandika insha ya maelezo kwa kuzingatia mada, mtiririko, sarufi, muundo na mtindo ufaao, - kuchangamkia utungaji wa insha za maelezo ili kukuza hali ya kujiamini. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kuandika insha ya maelezo isiyopungua maneno 200 akizingatia kategoria za maneno kama vile aina mbalimbali za viwakilishi ifaavyo ili kuuwasilisha ujumbe lengwa, anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha yakiubunifu unaojumuisha methali na nahau alizojifunza awali, -kutunga insha ya maelezo mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini, -kuwawasilishia wenzake insha aliyoandika ili waitathmini. |
Unazingatia nini unapoandika insha ya maelezo?
|
KLB Top Scholar UK 85
-Chati -Vifaa vya kidijitali -Kamusi |
Uchunguzi
-Majadiliano ya vikundi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Orodha hakiki
|
|
| 11 | 4 |
WANYAMA WA MAJINI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Visawe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua maneno zaidi ya matatu yenye maana sawa katika kundi la maneno, - kutumia visawe ifaavyo katika mawasiliano, - kuthamini matumizi ya maneno zaidi ya matatu yenye maana sawa katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua maneno zaidi ya matatu yenye maana sawa (k.v. mwizi-luja, mkupuzi, pwagu, pwaguzi, mkwepuzi; hongo, rushwa, chai, kadhongo, mvugulio; pesa - njenje, ngwenje, fedha, hela; lengo - dhamira, nia, azma, kusudi; maskini, mlalahoi, fukara, mkata, fakiri) kwa kutumia kapu la maneno, kadi za maneno, mti wa maneno, tarakilishi, n.k., -kueleza maana ya maneno zaidi ya matatu yenye maana sawa kwa kujadiliana na wenzake. |
Unajua maneno gani ya Kiswahili yaliyo na maana sawa?
|
KLB Top Scholar UK 91
-Kadi za maneno -Chati -Kamusi -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Majadiliano ya vikundi
-Maigizo
|
|
| 12 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kujadili sifa za mchezo wa kuigiza ili kuzibainisha, - kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe na msamiati wa suala lengwa, - kuonyesha ufahamu wa mchezo wa kuigiza kwa kujibu maswali na kutoa muhtasari, - kuonea fahari nafasi ya mchezo wa kuigiza katika jamii. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kueleza maana ya mchezo wa kuigiza akishirikiana na wenzake, -kujadili na wenzake sifa za mchezo wa kuigiza (k.v. huwa na wahusika, kuna mazungumzo, maelekezo), -kusoma mchezo wa kuigiza akizingatia wahusika, maelekezo na ujumbe. |
1. Je, mchezo wa kuigiza una sifa gani?
-2. Umewahi kushiriki katika mchezo gani wa kuigiza?
|
KLB Top Scholar UK 93
-Nakala ya mchezo wa kuigiza -Vifaa vya kidijitali -Kamusi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Maigizo
|
|
| 12 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kujadili sifa za mchezo wa kuigiza ili kuzibainisha, - kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe na msamiati wa suala lengwa, - kuonyesha ufahamu wa mchezo wa kuigiza kwa kujibu maswali na kutoa muhtasari, - kuonea fahari nafasi ya mchezo wa kuigiza katika jamii. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua msamiati wa suala lengwa uliotumiwa katika mchezo wa kuigiza (k.v. kiboko, samaki, mamba, chura, kasa), -kushiriki katika majadiliano kuhusu msamiati uliotumiwa katika mchezo wa kuigiza. |
1. Je, mchezo wa kuigiza una sifa gani?
-2. Umewahi kushiriki katika mchezo gani wa kuigiza?
|
KLB Top Scholar UK 93
-Nakala ya mchezo wa kuigiza -Vifaa vya kidijitali -Kamusi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Maigizo
|
|
| 12 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Visawe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua maneno zaidi ya matatu yenye maana sawa katika kundi la maneno, - kutumia visawe ifaavyo katika mawasiliano, - kuthamini matumizi ya maneno zaidi ya matatu yenye maana sawa katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kuambatanisha maneno zaidi ya matatu yaliyo na maana sawa katika kapu la maneno, mti wa maneno, ubao, chati, vyombo vya kidijitali, kadi za maneno n.k., -kuhusisha visawe na vifaa halisi, picha, michoro kwenye chati, kitabu au katika vyombo vya kidijitali, -kujadili visawe mbalimbali akiwa na wenzake -kutumia kisawe kimoja kuchukua nafasi ya kingine katika sentensi. |
Unajua maneno gani ya Kiswahili yaliyo na maana sawa?
|
KLB Top Scholar UK 91
-Kadi za maneno -Chati -Kamusi -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Majadiliano ya vikundi
-Maigizo
|
|
| 12 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kujadili sifa za mchezo wa kuigiza ili kuzibainisha, - kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe na msamiati wa suala lengwa, - kuonyesha ufahamu wa mchezo wa kuigiza kwa kujibu maswali na kutoa muhtasari, - kuonea fahari nafasi ya mchezo wa kuigiza katika jamii. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujibu maswali kutokana na mchezo aliousoma, -kutoa muhtasari wa ujumbe ulio katika mchezo wa kuigiza, -kutazama mchezo mfupi wa kuigiza shuleni au kwenye vifaa vya kidijitali, -kushiriki katika mjadala kuhusu ujumbe unaojitokeza kwenye mchezo wa kuigiza. |
1. Je, mchezo wa kuigiza una sifa gani?
-2. Umewahi kushiriki katika mchezo gani wa kuigiza?
|
KLB Top Scholar UK 93
-Nakala ya mchezo wa kuigiza -Vifaa vya kidijitali -Kamusi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Maigizo
|
|
Your Name Comes Here