If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1 |
AFYA BORA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Mazungumzo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua miktadha ya mawasiliano isiyo rasmi - Kutumia lugha ipasavyo katika miktadha isiyo rasmi - Kueleza umuhimu wa nidhamu ya lugha katika mazungumzo - Kuchangamkia matumizi ya lugha katika miktadha isiyo rasmi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha za watu wakizungumza - Kujadili maana ya mazungumzo yasiyo rasmi - Kutambua miktadha mbalimbali ya mazungumzo yasiyo rasmi - Kujadili kanuni za nidhamu ya lugha katika mazungumzo |
Je, watu huwasiliana vipi katika miktadha mbalimbali?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 130-131
- Picha za watu wakizungumza - Video za mazungumzo isiyo rasmi - Matini ya mwalimu |
Kutambua miktadha ya mazungumzo yasiyo rasmi
- Kueleza kanuni za lugha
- Kujibu maswali
|
|
| 2 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua matini mbalimbali za kusoma - Kuchagua matini zinazomvutia - Kusoma matini aliyochagua kwa ufasaha - Kufafanua ujumbe wa matini aliyosoma |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza maelezo ya mwalimu kuhusu kanuni za kusomea maktabani - Kutaja matini mbalimbali zilizo maktabani - Kuchagua matini ya kusoma kutoka maktabani - Kusoma matini hiyo akizingatia kanuni za maktabani - Kusimulia ujumbe kwenye matini aliyoisoma |
Kusoma matini mbalimbali kuna umuhimu gani?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 133-134
- Matini mbalimbali za kusoma - Kanuni za maktaba - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua aina mbalimbali za matini
- Kusoma matini kwa ufasaha
- Kutoa muhtasari wa matini
- Kufafanua ujumbe wa matini aliyosoma
|
|
| 2 | 3 |

| 2 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kuchagua matini inayomvutia - Kusoma matini kwa kuzingatia kanuni za usomaji - Kueleza ujumbe wa matini aliyosoma - Kuchangamkia usomaji wa matini mbalimbali |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama majalada ya matini - Kusoma anwani za majalada hayo - Kuchagua anwani iliyomvutia - Kusoma matini kuhusu anwani iliyomvutia - Kujadili na wenzake kuhusu matini hiyo - Kueleza ujumbe wa matini aliyosoma |
Ni aina gani za matini zinazokuvutia zaidi?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 134-135
- Majalada ya matini - Matini mbalimbali - Kamusi |
Kuchagua matini inayovutia
- Kusoma matini kwa ufasaha
- Kueleza ujumbe wa matini
- Kujibu maswali kuhusu matini
|
|
| 3 | 1 |
Sarufi
|
Vinyume vya Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kueleza maana ya kinyume cha nomino - Kutambua vinyume vya nomino katika matini - Kuunda sentensi kwa kutumia vinyume vya nomino - Kuchangamkia matumizi ya vinyume vya nomino katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha zenye hali kinyume kinyume - Kujadili maana ya kinyume cha nomino - Kutambua vinyume vya nomino kutoka kwenye kapu la maneno - Kuoainisha nomino na vinyume vyake - Kutambua vinyume vya nomino katika sentensi |
Matumizi ya vinyume vya nomino huchangia vipi katika ukuzaji wa lugha?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 138-139
- Picha zenye hali kinyume - Kapu la maneno - Kadi za nomino na vinyume vyake |
Kutambua vinyume vya nomino
- Kuoainisha nomino na vinyume vyake
- Kuandika vinyume vya nomino
- Kujaza pengo kwa vinyume vya nomino
|
|
| 3 | 2 |

| 3 | 3 |
Kuandika
|
Insha ya Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua insha ya maelezo katika matini - Kujadili muundo wa insha ya maelezo - Kusoma kielelezo cha insha ya maelezo - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya maelezo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili mambo ambayo yanafaa kuzingatiwa katika uandishi wa insha ya maelezo - Kujadili muundo wa insha ya maelezo - Kusoma vielelezo vya insha ya maelezo - Kutambua insha ya maelezo kati ya vielelezo vilivyotolewa - Kutoa sababu za utambuzi wake |
Je, ni vitu gani vinavyoweza kuandikiwa insha ya maelezo?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 135-137
- Vielelezo vya insha ya maelezo - Picha - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua insha ya maelezo
- Kueleza muundo wa insha ya maelezo
- Kujibu maswali kuhusu insha ya maelezo
|
|
| 3 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Mazungumzo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua mazungumzo yasiyo rasmi - Kuigiza mazungumzo yasiyo rasmi - Kutumia lugha ya upole katika mazungumzo - Kuchangamkia nidhamu ya lugha katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma mazungumzo ya Ana na Bella kuhusu usafi wa mikono - Kutambua muktadha wa mazungumzo hayo - Kujadili nidhamu ya lugha katika mazungumzo hayo - Kuigiza mazungumzo hayo - Kuigiza mazungumzo katika muktadha mwingine wa kuchagua |
Nidhamu ya lugha ina umuhimu gani katika mazungumzo?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 132-133
- Matini ya mazungumzo - Picha - Video za mazungumzo |
Kuigiza mazungumzo kwa lugha ya upole
- Kutambua muktadha wa mazungumzo
- Kutumia nidhamu ya lugha katika mazungumzo
|
|
| 4 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutafuta matini inayomvutia katika maktaba au mtandaoni - Kusoma matini kwa kuzingatia ujumbe - Kusimulia kwa ufasaha aliyojifunza kutokana na matini - Kujenga mazoea ya kusoma matini za kujichagulia |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutafuta matini inayomvutia maktabani au mtandaoni - Kusoma matini hiyo kwa ufasaha - Kueleza wenzake kuhusu matini aliyosoma - Kujadiliana na wenzake kuhusu matini walizozisoma |
Unazingatia mambo gani unapochagua matini ya kusoma?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 135
- Matini mbalimbali - Vifaa vya kidijitali - Kamusi |
Kutafuta na kuchagua matini inayovutia
- Kusoma matini hiyo kwa ufasaha
- Kueleza ujumbe wa matini
- Kusimulia kile alichojifunza
|
|
| 4 | 2 |

| 4 | 3 |
Sarufi
|
Vinyume vya Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua vinyume vya nomino katika kifungu - Kutumia vinyume vya nomino ipasavyo katika sentensi - Kutunga sentensi kwa kutumia vinyume vya nomino - Kuchangamkia matumizi ya vinyume vya nomino katika mahusiano na mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu kinachohusu biashara - Kutambua nomino na vinyume vyake kutoka kwenye kifungu - Kujaza nafasi kwa kutumia vinyume vya nomino - Kutunga sentensi kwa kutumia nomino na vinyume vyake - Kuunda orodha ya nomino zenye vinyume |
Vinyume vya nomino vina umuhimu gani katika mawasiliano?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 140
- Matini yenye vinyume vya nomino - Kapu la maneno - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua vinyume vya nomino katika kifungu
- Kujaza pengo kwa vinyume vya nomino
- Kutunga sentensi zenye vinyume vya nomino
- Kuorodhesha nomino na vinyume vyake
|
|
| 4 | 4 |
Kuandika
|
Insha ya Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kuandika insha ya maelezo kwa kuzingatia mada - Kufuata muundo ufaao wa insha ya maelezo - Kusoma insha yake mbele ya wenzake - Kufurahia uandishi wa insha ya maelezo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili anwani "Ugonjwa wa malaria" - Kuandaa vidokezo vya kuandikia insha - Kuandika insha ya maelezo kuhusu "Ugonjwa wa malaria" - Kusoma insha yake mbele ya wenzake - Kusikiliza maoni ya wenzake kuhusu insha aliyoandika |
Ni mambo gani unayostahili kuzingatia unapoandika insha ya maelezo?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 137-138
- Vidokezo vya uandishi wa insha - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
Kuandika insha ya maelezo
- Kufuata kanuni za uandishi wa insha
- Kusoma insha kwa ufasaha
- Kutoa na kupokea maoni
|
|
| 5 | 1 |
KUKABILIANA NA UHALIFU
Kusikiliza na Kuzungumza |
Tashbihi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kueleza maana ya tashbihi - Kutambua tashbihi za kimo na umbo - Kutumia tashbihi za kimo na umbo katika sentensi - Kufurahia matumizi ya tashbihi katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha za wanyama - Kueleza sifa za wanyama hao - Kujadili maana ya tashbihi - Kutambua tashbihi za kimo na umbo - Kusoma sentensi zenye tashbihi na kuzitambua |
Matumizi ya tashbihi yana umuhimu gani katika mawasiliano?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 142-143
- Picha za wanyama - Kadi za tashbihi - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua tashbihi
- Kutofautisha tashbihi za kimo na umbo
- Kutunga sentensi zenye tashbihi
- Kujaza pengo kwa tashbihi mwafaka
|
|
| 5 | 2 |

| 5 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana: Matini ya kidijitali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali - Kutambua na kufungua faili iliyo na kifungu cha kusoma - Kusakura matini kwenye tovuti salama - Kujenga mazoea ya kutumia vifaa vya kidijitali kwa uangalifu |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali - Kusikiliza na kufuata maelekezo ya mwalimu kuhusu hatua za kiusalama - Kujadili jinsi ya kutambua faili na kuifungua - Kufungua kifaa cha kidijitali na kutambua faili yenye anwani "Usituue, jamani!" |
Ni hatua zipi za kiusalama unazofaa kuzingatia unapotumia mtandao?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 144-145
- Vifaa vya kidijitali - Orodha ya hatua za kiusalama - Matini ya mwalimu |
Kueleza hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali
- Kufungua faili kwenye kifaa cha kidijitali
- Kujibu maswali kuhusu hatua za kiusalama
|
|
| 5 | 4 |

| 6 | 1 |
Sarufi
|
Nyakati - Wakati Uliopo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kueleza maana ya nyakati katika lugha ya Kiswahili - Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopo - Kutumia vitenzi katika wakati uliopo ipasavyo - Kuchangamkia matumizi ya wakati uliopo katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zenye vitenzi katika nyakati tofauti - Kujadili tofauti za sentensi hizo - Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopo - Kutambua kiambishi cha wakati uliopo - Kusoma sentensi na kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopo |
Unawezaje kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopo?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 150-151
- Chati za nyakati mbalimbali - Kadi za maneno - Sentensi zenye vitenzi katika wakati uliopo |
Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopo
- Kujaza pengo kwa vitenzi katika wakati uliopo
- Kutunga sentensi zenye vitenzi katika wakati uliopo
|
|
| 6 | 2 |
Sarufi
|
Nyakati - Wakati Uliopita
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kueleza maana ya wakati uliopita - Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopita - Kutumia vitenzi katika wakati uliopita ipasavyo - Kuchangamkia matumizi ya wakati uliopita katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zenye vitenzi katika wakati uliopita - Kujadili tofauti kati ya sentensi zenye vitenzi katika wakati uliopo na wakati uliopita - Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopita kutoka kwenye kifungu - Kujaza nafasi kwa kutumia vitenzi katika wakati uliopita - Kubadilisha sentensi kutoka wakati uliopo hadi wakati uliopita |
Ni kiambishi gani hutumika kuonyesha wakati uliopita?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 152-153
- Kifungu kinachohusu "Mhalifu nyumbani" - Chati za nyakati - Kadi za maneno |
Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopita
- Kujaza pengo kwa vitenzi katika wakati uliopita
- Kubadilisha sentensi kutoka wakati uliopo hadi wakati uliopita
- Kutunga sentensi zenye vitenzi katika wakati uliopita
|
|
| 6 | 3 |
Kuandika
|
Insha ya Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo - Kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi - Kujadili muundo wa insha ya masimulizi - Kufurahia kusoma insha za masimulizi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi kuhusu "Mpango wa Sungura" - Kutambua insha ya masimulizi kwa kujadili sababu - Kueleza muundo wa insha ya masimulizi - Kujadili ujumbe wa insha hiyo |
Insha ya masimulizi inahusu nini?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 148-149
- Kielelezo cha insha ya masimulizi - Picha - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua insha ya masimulizi
- Kueleza muundo wa insha ya masimulizi
- Kujadili ujumbe katika insha ya masimulizi
|
|
| 6 | 4 |

| 7 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Tashbihi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua tashbihi katika kifungu - Kutofautisha tashbihi za umbo na za kimo - Kutumia tashbihi mwafaka katika sentensi - Kuchangamkia matumizi ya tashbihi katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza kifungu kinachohusu "Alice na Kiki" - Kutambua tashbihi za kimo na umbo katika kifungu hicho - Kutazama picha za wanyama na vifaa - Kukamilisha tashbihi zinazohusiana na picha hizo - Kutunga sentensi kwa kutumia tashbihi |
Kutumia tashbihi za kimo na umbo kunachangia vipi katika kuelewa vitu?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 143
- Picha za wanyama - Picha za vifaa - Matini yenye tashbihi |
Kutambua tashbihi katika kifungu
- Kutofautisha tashbihi za kimo na za umbo
- Kutunga sentensi zenye tashbihi
- Kukamilisha tashbihi
|
|
| 7 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana: Matini ya kidijitali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kusoma kifungu kwenye vifaa vya kidijitali - Kujibu maswali yanayotokana na kifungu - Kueleza ujumbe kutoka kwenye kifungu - Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali kwa usomaji |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu "Mhalifu kijijini" kwenye kifaa cha kidijitali - Kujibu maswali yanayotokana na kifungu hicho - Kujadili hatari za kukosa kufuata hatua za kiusalama - Kujadili umuhimu wa kutoa habari kwa mzazi au mwalimu ukipata ujumbe kutoka kwa watu usiowajua - Kutafuta maana ya maneno magumu kwa kutumia kamusi ya mtandaoni |
Je, unafanya nini ili kujiepusha na wahalifu wanaotumia mtandao kulaghai watu?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 145-147
- Vifaa vya kidijitali - Matini yenye kifungu "Mhalifu kijijini" - Kamusi ya mtandaoni |
Kusoma kifungu kwa ufasaha
- Kujibu maswali kuhusu kifungu
- Kueleza ujumbe wa kifungu
- Kutafuta maana ya maneno magumu
|
|
| 7 | 3 |

| 7 | 4 |
Sarufi
|
Nyakati - Wakati Ujao
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kueleza maana ya wakati ujao - Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati ujao - Kutumia vitenzi katika wakati ujao ipasavyo - Kuchangamkia matumizi ya wakati ujao katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zenye vitenzi katika wakati ujao - Kujadili tofauti kati ya sentenzi zenye vitenzi katika wakati uliopita na wakati ujao - Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati ujao kutoka kwenye kifungu - Kujaza nafasi kwa kutumia vitenzi katika wakati ujao - Kubadilisha sentensi kutoka wakati uliopita hadi wakati ujao |
Ni kiambishi gani hutumika kuonyesha wakati ujao?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 154-156
- Kifungu kinachohusu "Tuwalinde wanyama" - Chati za nyakati - Kadi za maneno |
Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati ujao
- Kujaza pengo kwa vitenzi katika wakati ujao
- Kubadilisha sentensi kutoka wakati uliopita hadi wakati ujao
- Kutunga sentensi zenye vitenzi katika wakati ujao
|
|
| 8 | 1 |
Kuandika
|
Insha ya Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kuandaa vidokezo vya kuandika insha ya masimulizi - Kuandika insha ya masimulizi inayozingatia mada - Kusoma insha ya masimulizi mbele ya wenzake - Kuchangamkia uandishi wa insha ya masimulizi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha ya watu na wezi - Kujadili anwani "Mwizi kijijini" - Kuandaa vidokezo vya uandishi wa insha - Kuandika insha ya masimulizi kuhusu "Mwizi kijijini" - Kusoma insha yake mbele ya wenzake |
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 149-150
- Picha za watu na wezi - Vidokezo vya uandishi wa insha - Matini ya mwalimu |
Kuandika insha ya masimulizi
- Kufuata kanuni za uandishi wa insha
- Kusoma insha kwa ufasaha
- Kutoa na kupokea maoni
|
|
| 8 | 2 |

| 8 | 3 |
MAPATO
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kujieleza kwa Ufasaha: Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kusimulia tungo kwa kuzingatia mada - Kutumia ishara za mwili kwa usahihi - Kujieleza kwa ufasaha akiwa mbele ya wenzake - Kuchangamkia kusimulia tungo kwa ufasaha |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili kuhusu masimulizi aliyowahi kutoa - Kusikiliza mgeni anayetoa masimulizi kuhusu mapato - Kutazama picha inayohusiana na masimulizi - Kusikiliza kisa kinachosimuliwa na mwalimu - Kujibu maswali yanayohusiana na kisa hicho |
Je, unafanya nini ili kujieleza kwa ufasaha?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 157-158
- Picha za watu wanaojieleza - Mgeni mwalikwa - Matini ya kisa cha mwalimu |
Kujieleza kwa ufasaha
- Kutumia ishara za mwili ipasavyo
- Kujibu maswali kwa usahihi
- Kusimulia tungo
-
|
|
| 8 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha - Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu kwa kuzingatia kiwango kifaacho cha sauti - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama na kusikiliza video ya usomaji wa taarifa ya habari - Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha - Kusoma kifungu cha "Bidhaa bandia" kwa kuzingatia matamshi bora, kasi ifaayo na kiwango kifaacho cha sauti - Kushirikisha wenzake ili watoe maoni kuhusu usomaji wake |
Unazingatia nini unaposoma matini ya kidijitali?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 160-161
- Video ya usomaji wa taarifa ya habari - Matini yenye kifungu cha "Bidhaa bandia" - Vifaa vya kidijitali |
Kusoma kifungu kwa ufasaha
- Kuzingatia matamshi bora
- Kuzingatia kasi ifaayo
- Kuzingatia kiwango kifaacho cha sauti
|
|
| 9 | 1 |
Sarufi
|
Ukanushaji - Nafsi ya Kwanza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kueleza maana ya ukanushaji - Kutambua viambishi vya kukanushia katika nafsi ya kwanza - Kukanusha sentensi zenye nafsi ya kwanza - Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili maana ya ukanushaji - Kurejelea viambishi vya nafsi ya kwanza (umoja na wingi) - Kutambua maneno yaliyokanushwa kutoka kwenye orodha - Kutambua viambishi vya ukanushaji katika sentensi - Kukanusha sentensi zenye nafsi ya kwanza |
Je, vikanushi "si", "ha" na "hu" hutumika vipi?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 164-165
- Chati ya ukanushaji - Kapu la maneno - Sentensi zenye nafsi ya kwanza |
Kutambua maneno yaliyokanushwa
- Kukanusha sentensi
- Kubadilisha sentensi zenye ukanushaji ziwe katika hali ya kawaida
- Kujaza pengo kwa kutumia ukanushaji
|
|
| 9 | 2 |

| 9 | 3 |
Sarufi
|
Ukanushaji - Nafsi ya Pili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua viambishi vya kukanushia katika nafsi ya pili - Kukanusha sentensi zenye nafsi ya pili - Kubadilisha sentensi zenye ukanushaji ziwe katika hali ya kawaida - Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zenye nafsi ya pili - Kutambua tofauti kati ya sentensi za kawaida na zenye ukanushaji - Kujadili viambishi vya nafsi ya pili (umoja na wingi) - Kutambua maneno yaliyokanushwa kutoka kwenye orodha - Kukanusha sentensi zenye nafsi ya pili |
Je, kihusishi "hu" kinatumika vipi kukanusha nafsi ya pili umoja?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 166-167
- Chati ya ukanushaji - Kapu la maneno - Sentensi zenye nafsi ya pili |
Kutambua maneno yaliyokanushwa
- Kukanusha sentensi
- Kubadilisha sentensi zenye ukanushaji ziwe katika hali ya kawaida
- Kujaza pengo kwa kutumia ukanushaji
|
|
| 9 | 4 |
Sarufi
|
Ukanushaji - Nafsi ya Tatu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua viambishi vya kukanushia katika nafsi ya tatu - Kukanusha sentensi zenye nafsi ya tatu - Kubadilisha sentensi zenye ukanushaji ziwe katika hali ya kawaida - Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zenye nafsi ya tatu - Kutambua tofauti kati ya sentensi za kawaida na zenye ukanushaji - Kujadili viambishi vya nafsi ya tatu (umoja na wingi) - Kutambua maneno yaliyokanushwa kutoka kwenye orodha - Kukanusha sentensi zenye nafsi ya tatu |
Unazingatia nini unapokanusha sentensi zenye nafsi ya tatu?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 167-169
- Chati ya ukanushaji - Kapu la maneno - Sentensi zenye nafsi ya tatu |
Kutambua maneno yaliyokanushwa
- Kukanusha sentensi
- Kubadilisha sentensi zenye ukanushaji ziwe katika hali ya kawaida
- Kujaza pengo kwa kutumia ukanushaji
|
|
| 10 | 1 |
Sarufi
|
Ukubwa wa nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kueleza maana ya ukubwa wa nomino - Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja - Kubadilisha nomino katika hali ya wastani kuwa katika hali ya ukubwa - Kuchangamkia matumizi ya nomino katika hali ya ukubwa |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha zinazoonesha udogo, wastani na ukubwa wa nomino - Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja - Kushiriki katika mchezo wa kutaja nomino katika hali ya udogo, wastani na ukubwa - Kuambatanisha nomino zilizo katika hali ya wastani na ukubwa wake |
Kutaja nomino katika ukubwa wake kuna umuhimu gani?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 169-170
- Picha za nomino katika ukubwa, udogo na wastani - Kadi za maneno - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua nomino katika hali ya ukubwa
- Kuambatanisha nomino zilizo katika hali ya wastani na ukubwa wake
- Kujaza pengo kwa nomino zenye ukubwa
- Kutunga sentensi zenye nomino katika hali ya ukubwa
|
|
| 10 | 2 |

| 10 | 3 |
Kuandika
|
Barua ya Kirafiki
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua vipengele vya barua ya kirafiki - Kujadili muundo wa barua ya kirafiki - Kusoma kielelezo cha barua ya kirafiki - Kuchangamkia uandishi wa barua ya kirafiki |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili mambo anayokumbuka kuhusu barua ya kirafiki - Kujadili muundo wa barua ya kirafiki - Kutambua barua ya kirafiki kutoka kwenye vielelezo alivyopewa - Kusoma kielelezo cha barua ya kirafiki - Kutambua muundo wa barua ya kirafiki |
Je, unazingatia nini unapoandika barua ya kirafiki?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 161-163
- Vielelezo vya barua - Kielelezo cha barua ya kirafiki - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua barua ya kirafiki
- Kueleza muundo wa barua ya kirafiki
- Kujibu maswali kuhusu barua ya kirafiki
|
|
| 10 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Kujieleza kwa Ufasaha: Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kusimulia visa vinavyohusu kazi mbalimbali - Kutumia ishara za uso na mikono zinazofaa - Kusimulia kisa kwa mtiririko unaoeleweka - Kufurahia kusimulia visa vinavyohusu mapato |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha za watu wakifanya kazi - Kujadili sababu za watu kufanya kazi - Kusimulia kuhusu kazi ambazo huwa anazifanya - Kutazama picha za watu wakifanya kazi mbalimbali - Kusimulia kisa kuhusu mmoja wa picha hizo - Kutumia ishara za mwili zinazofaa |
Kwa nini ni muhimu kujieleza kwa ufasaha?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 159
- Picha za watu wakifanya kazi - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
Kusimulia kisa kwa ufasaha
- Kutumia ishara za mwili ipasavyo
- Kufuata mtiririko unaoeleweka
- Kujibu maswali kuhusu masimulizi
|
|
| 11 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kusoma kifungu kwa kuzingatia kasi ifaayo - Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo - Kusoma maneno sahihi yasiyopungua 65 kwa dakika moja - Kujenga mazoea ya kusoma kwa ufasaha |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma tena kifungu cha "Bidhaa bandia" ukizingatia vipengele vya usomaji kwa ufasaha - Kuhesabu idadi ya maneno aliyosoma kwa dakika moja - Kutafuta hadithi yoyote kuhusu mapato kwenye vitabu au kwenye mitandao salama - Kusoma hadithi hiyo ukizingatia matamshi bora, kasi ifaayo, kiwango kifaacho cha sauti na ishara zifaazo |
Kusoma kwa ufasaha kuna umuhimu gani?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 161
- Matini yenye kifungu cha "Bidhaa bandia" - Saa ya kupimia muda - Vitabu vya hadithi - Vifaa vya kidijitali |
Kusoma kifungu kwa ufasaha
- Kusoma maneno 65 au zaidi kwa dakika moja
- Kuhesabu idadi ya maneno aliyosoma
- Kusoma hadithi kwa ufasaha
|
|
| 11 | 2 |

| 11 | 3 |
Sarufi
|
Ukubwa wa nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua nomino katika hali ya ukubwa kutoka kwenye sentensi - Kutumia nomino katika hali ya ukubwa kwenye sentensi - Kutofautisha kati ya nomino zenye udogo, wastani na ukubwa - Kufurahia kutumia nomino katika hali ya ukubwa kwa usahihi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zenye nomino katika hali ya wastani - Kubadilisha nomino hizo ziwe katika hali ya ukubwa - Kutunga sentensi akitumia nomino katika hali ya ukubwa - Kusoma shairi lenye nomino katika hali ya ukubwa na udogo - Kutambua nomino zilizo katika hali ya ukubwa kutoka kwenye shairi |
Ni nomino zipi zinaanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 171
- Shairi lenye nomino katika hali ya ukubwa na udogo - Picha - Kadi za maneno |
Kutambua nomino zilizo katika hali ya ukubwa
- Kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani hadi ukubwa
- Kutunga sentensi zenye nomino katika hali ya ukubwa
|
|
| 11 | 4 |

| 12 | 1 |
Sarufi
|
Udogo wa nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kueleza maana ya udogo wa nomino - Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja - Kubadilisha nomino katika hali ya wastani kuwa katika hali ya udogo - Kuchangamkia matumizi ya nomino katika hali ya udogo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutaja nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye silabi mbili katika hali ya wastani - Kubadilisha nomino hizo ziwe katika hali ya udogo - Kushiriki katika mchezo wa kikundi wa kutaja nomino katika hali ya udogo - Kuambatanisha nomino na hali za udogo zake kwa kutumia tarakilishi |
Kutaja nomino katika udogo wake kuna umuhimu gani?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 172-173
- Picha za nomino katika ukubwa, udogo na wastani - Kadi za maneno - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua nomino katika hali ya udogo
- Kuambatanisha nomino zilizo katika hali ya wastani na udogo wake
- Kujaza pengo kwa nomino zenye udogo
- Kutunga sentensi zenye nomino katika hali ya udogo
|
|
| 12 | 2 |
Sarufi
|
Udogo wa nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua nomino katika hali ya udogo kutoka kwenye sentensi - Kutumia nomino katika hali ya udogo kwenye sentensi - Kutofautisha kati ya nomino zenye udogo, wastani na ukubwa - Kufurahia kutumia nomino katika hali ya udogo kwa usahihi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zenye nomino katika hali ya wastani - Kubadilisha nomino hizo ziwe katika hali ya udogo - Kutunga sentensi akitumia nomino katika hali ya udogo - Kusoma shairi lenye nomino katika hali ya ukubwa na udogo - Kutambua nomino zilizo katika hali ya udogo kutoka kwenye shairi |
Unawezaje kutofautisha nomino katika hali ya udogo na zile zilizo katika hali ya ukubwa?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 174
- Shairi lenye nomino katika hali ya ukubwa na udogo - Picha - Kadi za maneno |
Kutambua nomino zilizo katika hali ya udogo
- Kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani hadi udogo
- Kutunga sentensi zenye nomino katika hali ya udogo
|
|
| 12 | 3 |

| 12 | 4 |
Kuandika
|
Barua ya Kirafiki
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kuandaa vidokezo vya kuandika barua ya kirafiki - Kuandika barua ya kirafiki inayozingatia kanuni zifaazo - Kuwasilisha barua ya kirafiki aliyoandika - Kufurahia kuandika barua ya kirafiki |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili kuhusu mada "Kazi ambayo ningependa kufanya" - Kuandaa vidokezo vya kuandika barua - Kumwandikia rafiki yake barua akimweleza kuhusu kazi ambayo angependa kufanya - Kuwasomea wenzake barua aliyoandika - Kujadili umuhimu wa barua za kirafiki katika mawasiliano |
Barua za kirafiki zina umuhimu gani?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 163-164
- Vidokezo vya uandishi wa barua - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
Kuandika barua ya kirafiki
- Kufuata muundo wa barua ya kirafiki
- Kusoma barua kwa ufasaha
- Kutoa na kupokea maoni
|
Your Name Comes Here