Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA NNE
MWAKA WA 2026
MUHULA WA III

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
2 1
AFYA BORA

Kusikiliza na Kuzungumza
Mazungumzo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua miktadha ya mawasiliano isiyo rasmi
- Kutumia lugha ipasavyo katika miktadha isiyo rasmi
- Kueleza umuhimu wa nidhamu ya lugha katika mazungumzo
- Kuchangamkia matumizi ya lugha katika miktadha isiyo rasmi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha za watu wakizungumza
- Kujadili maana ya mazungumzo yasiyo rasmi
- Kutambua miktadha mbalimbali ya mazungumzo yasiyo rasmi
- Kujadili kanuni za nidhamu ya lugha katika mazungumzo
Je, watu huwasiliana vipi katika miktadha mbalimbali?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 130-131
- Picha za watu wakizungumza
- Video za mazungumzo isiyo rasmi
- Matini ya mwalimu
Kutambua miktadha ya mazungumzo yasiyo rasmi - Kueleza kanuni za lugha - Kujibu maswali
2 2
Kusoma
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua matini mbalimbali za kusoma
- Kuchagua matini zinazomvutia
- Kusoma matini aliyochagua kwa ufasaha
- Kufafanua ujumbe wa matini aliyosoma
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza maelezo ya mwalimu kuhusu kanuni za kusomea maktabani
- Kutaja matini mbalimbali zilizo maktabani
- Kuchagua matini ya kusoma kutoka maktabani
- Kusoma matini hiyo akizingatia kanuni za maktabani
- Kusimulia ujumbe kwenye matini aliyoisoma
Kusoma matini mbalimbali kuna umuhimu gani?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 133-134
- Matini mbalimbali za kusoma
- Kanuni za maktaba
- Vifaa vya kidijitali
Kutambua aina mbalimbali za matini - Kusoma matini kwa ufasaha - Kutoa muhtasari wa matini - Kufafanua ujumbe wa matini aliyosoma
2 3
Kusoma
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kuchagua matini inayomvutia
- Kusoma matini kwa kuzingatia kanuni za usomaji
- Kueleza ujumbe wa matini aliyosoma
- Kuchangamkia usomaji wa matini mbalimbali
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama majalada ya matini
- Kusoma anwani za majalada hayo
- Kuchagua anwani iliyomvutia
- Kusoma matini kuhusu anwani iliyomvutia
- Kujadili na wenzake kuhusu matini hiyo
- Kueleza ujumbe wa matini aliyosoma
Ni aina gani za matini zinazokuvutia zaidi?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 134-135
- Majalada ya matini
- Matini mbalimbali
- Kamusi
Kuchagua matini inayovutia - Kusoma matini kwa ufasaha - Kueleza ujumbe wa matini - Kujibu maswali kuhusu matini
2 4
Sarufi
Vinyume vya Nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kueleza maana ya kinyume cha nomino
- Kutambua vinyume vya nomino katika matini
- Kuunda sentensi kwa kutumia vinyume vya nomino
- Kuchangamkia matumizi ya vinyume vya nomino katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha zenye hali kinyume kinyume
- Kujadili maana ya kinyume cha nomino
- Kutambua vinyume vya nomino kutoka kwenye kapu la maneno
- Kuoainisha nomino na vinyume vyake
- Kutambua vinyume vya nomino katika sentensi
Matumizi ya vinyume vya nomino huchangia vipi katika ukuzaji wa lugha?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 138-139
- Picha zenye hali kinyume
- Kapu la maneno
- Kadi za nomino na vinyume vyake
Kutambua vinyume vya nomino - Kuoainisha nomino na vinyume vyake - Kuandika vinyume vya nomino - Kujaza pengo kwa vinyume vya nomino
3 1
Kuandika
Insha ya Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua insha ya maelezo katika matini
- Kujadili muundo wa insha ya maelezo
- Kusoma kielelezo cha insha ya maelezo
- Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya maelezo
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili mambo ambayo yanafaa kuzingatiwa katika uandishi wa insha ya maelezo
- Kujadili muundo wa insha ya maelezo
- Kusoma vielelezo vya insha ya maelezo
- Kutambua insha ya maelezo kati ya vielelezo vilivyotolewa
- Kutoa sababu za utambuzi wake
Je, ni vitu gani vinavyoweza kuandikiwa insha ya maelezo?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 135-137
- Vielelezo vya insha ya maelezo
- Picha
- Vifaa vya kidijitali
Kutambua insha ya maelezo - Kueleza muundo wa insha ya maelezo - Kujibu maswali kuhusu insha ya maelezo
3 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Mazungumzo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua mazungumzo yasiyo rasmi
- Kuigiza mazungumzo yasiyo rasmi
- Kutumia lugha ya upole katika mazungumzo
- Kuchangamkia nidhamu ya lugha katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma mazungumzo ya Ana na Bella kuhusu usafi wa mikono
- Kutambua muktadha wa mazungumzo hayo
- Kujadili nidhamu ya lugha katika mazungumzo hayo
- Kuigiza mazungumzo hayo
- Kuigiza mazungumzo katika muktadha mwingine wa kuchagua
Nidhamu ya lugha ina umuhimu gani katika mazungumzo?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 132-133
- Matini ya mazungumzo
- Picha
- Video za mazungumzo
Kuigiza mazungumzo kwa lugha ya upole - Kutambua muktadha wa mazungumzo - Kutumia nidhamu ya lugha katika mazungumzo
3 3
Kusoma
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutafuta matini inayomvutia katika maktaba au mtandaoni
- Kusoma matini kwa kuzingatia ujumbe
- Kusimulia kwa ufasaha aliyojifunza kutokana na matini
- Kujenga mazoea ya kusoma matini za kujichagulia
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutafuta matini inayomvutia maktabani au mtandaoni
- Kusoma matini hiyo kwa ufasaha
- Kueleza wenzake kuhusu matini aliyosoma
- Kujadiliana na wenzake kuhusu matini walizozisoma
Unazingatia mambo gani unapochagua matini ya kusoma?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 135
- Matini mbalimbali
- Vifaa vya kidijitali
- Kamusi
Kutafuta na kuchagua matini inayovutia - Kusoma matini hiyo kwa ufasaha - Kueleza ujumbe wa matini - Kusimulia kile alichojifunza
3 4
Sarufi
Vinyume vya Nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua vinyume vya nomino katika kifungu
- Kutumia vinyume vya nomino ipasavyo katika sentensi
- Kutunga sentensi kwa kutumia vinyume vya nomino
- Kuchangamkia matumizi ya vinyume vya nomino katika mahusiano na mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu kinachohusu biashara
- Kutambua nomino na vinyume vyake kutoka kwenye kifungu
- Kujaza nafasi kwa kutumia vinyume vya nomino
- Kutunga sentensi kwa kutumia nomino na vinyume vyake
- Kuunda orodha ya nomino zenye vinyume
Vinyume vya nomino vina umuhimu gani katika mawasiliano?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 140
- Matini yenye vinyume vya nomino
- Kapu la maneno
- Vifaa vya kidijitali
Kutambua vinyume vya nomino katika kifungu - Kujaza pengo kwa vinyume vya nomino - Kutunga sentensi zenye vinyume vya nomino - Kuorodhesha nomino na vinyume vyake
4 1
Kuandika
Insha ya Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kuandika insha ya maelezo kwa kuzingatia mada
- Kufuata muundo ufaao wa insha ya maelezo
- Kusoma insha yake mbele ya wenzake
- Kufurahia uandishi wa insha ya maelezo
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili anwani "Ugonjwa wa malaria"
- Kuandaa vidokezo vya kuandikia insha
- Kuandika insha ya maelezo kuhusu "Ugonjwa wa malaria"
- Kusoma insha yake mbele ya wenzake
- Kusikiliza maoni ya wenzake kuhusu insha aliyoandika
Ni mambo gani unayostahili kuzingatia unapoandika insha ya maelezo?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 137-138
- Vidokezo vya uandishi wa insha
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
Kuandika insha ya maelezo - Kufuata kanuni za uandishi wa insha - Kusoma insha kwa ufasaha - Kutoa na kupokea maoni
4 2
KUKABILIANA NA UHALIFU

Kusikiliza na Kuzungumza
Tashbihi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kueleza maana ya tashbihi
- Kutambua tashbihi za kimo na umbo
- Kutumia tashbihi za kimo na umbo katika sentensi
- Kufurahia matumizi ya tashbihi katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha za wanyama
- Kueleza sifa za wanyama hao
- Kujadili maana ya tashbihi
- Kutambua tashbihi za kimo na umbo
- Kusoma sentensi zenye tashbihi na kuzitambua
Matumizi ya tashbihi yana umuhimu gani katika mawasiliano?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 142-143
- Picha za wanyama
- Kadi za tashbihi
- Vifaa vya kidijitali
Kutambua tashbihi - Kutofautisha tashbihi za kimo na umbo - Kutunga sentensi zenye tashbihi - Kujaza pengo kwa tashbihi mwafaka
4 3
Kusoma
Kusoma kwa Mapana: Matini ya kidijitali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali
- Kutambua na kufungua faili iliyo na kifungu cha kusoma
- Kusakura matini kwenye tovuti salama
- Kujenga mazoea ya kutumia vifaa vya kidijitali kwa uangalifu
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali
- Kusikiliza na kufuata maelekezo ya mwalimu kuhusu hatua za kiusalama
- Kujadili jinsi ya kutambua faili na kuifungua
- Kufungua kifaa cha kidijitali na kutambua faili yenye anwani "Usituue, jamani!"
Ni hatua zipi za kiusalama unazofaa kuzingatia unapotumia mtandao?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 144-145
- Vifaa vya kidijitali
- Orodha ya hatua za kiusalama
- Matini ya mwalimu
Kueleza hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali - Kufungua faili kwenye kifaa cha kidijitali - Kujibu maswali kuhusu hatua za kiusalama
4 4
Sarufi
Nyakati - Wakati Uliopo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kueleza maana ya nyakati katika lugha ya Kiswahili
- Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopo
- Kutumia vitenzi katika wakati uliopo ipasavyo
- Kuchangamkia matumizi ya wakati uliopo katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zenye vitenzi katika nyakati tofauti
- Kujadili tofauti za sentensi hizo
- Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopo
- Kutambua kiambishi cha wakati uliopo
- Kusoma sentensi na kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopo
Unawezaje kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopo?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 150-151
- Chati za nyakati mbalimbali
- Kadi za maneno
- Sentensi zenye vitenzi katika wakati uliopo
Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopo - Kujaza pengo kwa vitenzi katika wakati uliopo - Kutunga sentensi zenye vitenzi katika wakati uliopo
5 1
Sarufi
Nyakati - Wakati Uliopita
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kueleza maana ya wakati uliopita
- Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopita
- Kutumia vitenzi katika wakati uliopita ipasavyo
- Kuchangamkia matumizi ya wakati uliopita katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zenye vitenzi katika wakati uliopita
- Kujadili tofauti kati ya sentensi zenye vitenzi katika wakati uliopo na wakati uliopita
- Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopita kutoka kwenye kifungu
- Kujaza nafasi kwa kutumia vitenzi katika wakati uliopita
- Kubadilisha sentensi kutoka wakati uliopo hadi wakati uliopita
Ni kiambishi gani hutumika kuonyesha wakati uliopita?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 152-153
- Kifungu kinachohusu "Mhalifu nyumbani"
- Chati za nyakati
- Kadi za maneno
Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopita - Kujaza pengo kwa vitenzi katika wakati uliopita - Kubadilisha sentensi kutoka wakati uliopo hadi wakati uliopita - Kutunga sentensi zenye vitenzi katika wakati uliopita
5 2
Kuandika
Insha ya Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo
- Kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi
- Kujadili muundo wa insha ya masimulizi
- Kufurahia kusoma insha za masimulizi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi kuhusu "Mpango wa Sungura"
- Kutambua insha ya masimulizi kwa kujadili sababu
- Kueleza muundo wa insha ya masimulizi
- Kujadili ujumbe wa insha hiyo
Insha ya masimulizi inahusu nini?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 148-149
- Kielelezo cha insha ya masimulizi
- Picha
- Vifaa vya kidijitali
Kutambua insha ya masimulizi - Kueleza muundo wa insha ya masimulizi - Kujadili ujumbe katika insha ya masimulizi
5 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Tashbihi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua tashbihi katika kifungu
- Kutofautisha tashbihi za umbo na za kimo
- Kutumia tashbihi mwafaka katika sentensi
- Kuchangamkia matumizi ya tashbihi katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza kifungu kinachohusu "Alice na Kiki"
- Kutambua tashbihi za kimo na umbo katika kifungu hicho
- Kutazama picha za wanyama na vifaa
- Kukamilisha tashbihi zinazohusiana na picha hizo
- Kutunga sentensi kwa kutumia tashbihi
Kutumia tashbihi za kimo na umbo kunachangia vipi katika kuelewa vitu?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 143
- Picha za wanyama
- Picha za vifaa
- Matini yenye tashbihi
Kutambua tashbihi katika kifungu - Kutofautisha tashbihi za kimo na za umbo - Kutunga sentensi zenye tashbihi - Kukamilisha tashbihi
5 4
Kusoma
Kusoma kwa Mapana: Matini ya kidijitali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kusoma kifungu kwenye vifaa vya kidijitali
- Kujibu maswali yanayotokana na kifungu
- Kueleza ujumbe kutoka kwenye kifungu
- Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali kwa usomaji
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu "Mhalifu kijijini" kwenye kifaa cha kidijitali
- Kujibu maswali yanayotokana na kifungu hicho
- Kujadili hatari za kukosa kufuata hatua za kiusalama
- Kujadili umuhimu wa kutoa habari kwa mzazi au mwalimu ukipata ujumbe kutoka kwa watu usiowajua
- Kutafuta maana ya maneno magumu kwa kutumia kamusi ya mtandaoni
Je, unafanya nini ili kujiepusha na wahalifu wanaotumia mtandao kulaghai watu?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 145-147
- Vifaa vya kidijitali
- Matini yenye kifungu "Mhalifu kijijini"
- Kamusi ya mtandaoni
Kusoma kifungu kwa ufasaha - Kujibu maswali kuhusu kifungu - Kueleza ujumbe wa kifungu - Kutafuta maana ya maneno magumu
6 1
Sarufi
Nyakati - Wakati Ujao
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kueleza maana ya wakati ujao
- Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati ujao
- Kutumia vitenzi katika wakati ujao ipasavyo
- Kuchangamkia matumizi ya wakati ujao katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zenye vitenzi katika wakati ujao
- Kujadili tofauti kati ya sentenzi zenye vitenzi katika wakati uliopita na wakati ujao
- Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati ujao kutoka kwenye kifungu
- Kujaza nafasi kwa kutumia vitenzi katika wakati ujao
- Kubadilisha sentensi kutoka wakati uliopita hadi wakati ujao
Ni kiambishi gani hutumika kuonyesha wakati ujao?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 154-156
- Kifungu kinachohusu "Tuwalinde wanyama"
- Chati za nyakati
- Kadi za maneno
Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati ujao - Kujaza pengo kwa vitenzi katika wakati ujao - Kubadilisha sentensi kutoka wakati uliopita hadi wakati ujao - Kutunga sentensi zenye vitenzi katika wakati ujao
6 2
Sarufi
Nyakati - Wakati Ujao
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kueleza maana ya wakati ujao
- Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati ujao
- Kutumia vitenzi katika wakati ujao ipasavyo
- Kuchangamkia matumizi ya wakati ujao katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zenye vitenzi katika wakati ujao
- Kujadili tofauti kati ya sentenzi zenye vitenzi katika wakati uliopita na wakati ujao
- Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati ujao kutoka kwenye kifungu
- Kujaza nafasi kwa kutumia vitenzi katika wakati ujao
- Kubadilisha sentensi kutoka wakati uliopita hadi wakati ujao
Ni kiambishi gani hutumika kuonyesha wakati ujao?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 154-156
- Kifungu kinachohusu "Tuwalinde wanyama"
- Chati za nyakati
- Kadi za maneno
Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati ujao - Kujaza pengo kwa vitenzi katika wakati ujao - Kubadilisha sentensi kutoka wakati uliopita hadi wakati ujao - Kutunga sentensi zenye vitenzi katika wakati ujao
6 3
Kuandika
Insha ya Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kuandaa vidokezo vya kuandika insha ya masimulizi
- Kuandika insha ya masimulizi inayozingatia mada
- Kusoma insha ya masimulizi mbele ya wenzake
- Kuchangamkia uandishi wa insha ya masimulizi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha ya watu na wezi
- Kujadili anwani "Mwizi kijijini"
- Kuandaa vidokezo vya uandishi wa insha
- Kuandika insha ya masimulizi kuhusu "Mwizi kijijini"
- Kusoma insha yake mbele ya wenzake
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 149-150
- Picha za watu na wezi
- Vidokezo vya uandishi wa insha
- Matini ya mwalimu
Kuandika insha ya masimulizi - Kufuata kanuni za uandishi wa insha - Kusoma insha kwa ufasaha - Kutoa na kupokea maoni
6 4
MAPATO

Kusikiliza na Kuzungumza
Kujieleza kwa Ufasaha: Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kusimulia tungo kwa kuzingatia mada
- Kutumia ishara za mwili kwa usahihi
- Kujieleza kwa ufasaha akiwa mbele ya wenzake
- Kuchangamkia kusimulia tungo kwa ufasaha
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili kuhusu masimulizi aliyowahi kutoa
- Kusikiliza mgeni anayetoa masimulizi kuhusu mapato
- Kutazama picha inayohusiana na masimulizi
- Kusikiliza kisa kinachosimuliwa na mwalimu
- Kujibu maswali yanayohusiana na kisa hicho
Je, unafanya nini ili kujieleza kwa ufasaha?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 157-158
- Picha za watu wanaojieleza
- Mgeni mwalikwa
- Matini ya kisa cha mwalimu
Kujieleza kwa ufasaha - Kutumia ishara za mwili ipasavyo - Kujibu maswali kwa usahihi - Kusimulia tungo -
7 1
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha
- Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora
- Kusoma kifungu kwa kuzingatia kiwango kifaacho cha sauti
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama na kusikiliza video ya usomaji wa taarifa ya habari
- Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha
- Kusoma kifungu cha "Bidhaa bandia" kwa kuzingatia matamshi bora, kasi ifaayo na kiwango kifaacho cha sauti
- Kushirikisha wenzake ili watoe maoni kuhusu usomaji wake
Unazingatia nini unaposoma matini ya kidijitali?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 160-161
- Video ya usomaji wa taarifa ya habari
- Matini yenye kifungu cha "Bidhaa bandia"
- Vifaa vya kidijitali
Kusoma kifungu kwa ufasaha - Kuzingatia matamshi bora - Kuzingatia kasi ifaayo - Kuzingatia kiwango kifaacho cha sauti
7 2
Sarufi
Ukanushaji - Nafsi ya Kwanza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kueleza maana ya ukanushaji
- Kutambua viambishi vya kukanushia katika nafsi ya kwanza
- Kukanusha sentensi zenye nafsi ya kwanza
- Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili maana ya ukanushaji
- Kurejelea viambishi vya nafsi ya kwanza (umoja na wingi)
- Kutambua maneno yaliyokanushwa kutoka kwenye orodha
- Kutambua viambishi vya ukanushaji katika sentensi
- Kukanusha sentensi zenye nafsi ya kwanza
Je, vikanushi "si", "ha" na "hu" hutumika vipi?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 164-165
- Chati ya ukanushaji
- Kapu la maneno
- Sentensi zenye nafsi ya kwanza
Kutambua maneno yaliyokanushwa - Kukanusha sentensi - Kubadilisha sentensi zenye ukanushaji ziwe katika hali ya kawaida - Kujaza pengo kwa kutumia ukanushaji
7 3
Sarufi
Ukanushaji - Nafsi ya Pili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua viambishi vya kukanushia katika nafsi ya pili
- Kukanusha sentensi zenye nafsi ya pili
- Kubadilisha sentensi zenye ukanushaji ziwe katika hali ya kawaida
- Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zenye nafsi ya pili
- Kutambua tofauti kati ya sentensi za kawaida na zenye ukanushaji
- Kujadili viambishi vya nafsi ya pili (umoja na wingi)
- Kutambua maneno yaliyokanushwa kutoka kwenye orodha
- Kukanusha sentensi zenye nafsi ya pili
Je, kihusishi "hu" kinatumika vipi kukanusha nafsi ya pili umoja?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 166-167
- Chati ya ukanushaji
- Kapu la maneno
- Sentensi zenye nafsi ya pili
Kutambua maneno yaliyokanushwa - Kukanusha sentensi - Kubadilisha sentensi zenye ukanushaji ziwe katika hali ya kawaida - Kujaza pengo kwa kutumia ukanushaji
7 4
Sarufi
Ukanushaji - Nafsi ya Tatu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua viambishi vya kukanushia katika nafsi ya tatu
- Kukanusha sentensi zenye nafsi ya tatu
- Kubadilisha sentensi zenye ukanushaji ziwe katika hali ya kawaida
- Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zenye nafsi ya tatu
- Kutambua tofauti kati ya sentensi za kawaida na zenye ukanushaji
- Kujadili viambishi vya nafsi ya tatu (umoja na wingi)
- Kutambua maneno yaliyokanushwa kutoka kwenye orodha
- Kukanusha sentensi zenye nafsi ya tatu
Unazingatia nini unapokanusha sentensi zenye nafsi ya tatu?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 167-169
- Chati ya ukanushaji
- Kapu la maneno
- Sentensi zenye nafsi ya tatu
Kutambua maneno yaliyokanushwa - Kukanusha sentensi - Kubadilisha sentensi zenye ukanushaji ziwe katika hali ya kawaida - Kujaza pengo kwa kutumia ukanushaji
8 1
Sarufi
Ukubwa wa nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kueleza maana ya ukubwa wa nomino
- Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja
- Kubadilisha nomino katika hali ya wastani kuwa katika hali ya ukubwa
- Kuchangamkia matumizi ya nomino katika hali ya ukubwa
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha zinazoonesha udogo, wastani na ukubwa wa nomino
- Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja
- Kushiriki katika mchezo wa kutaja nomino katika hali ya udogo, wastani na ukubwa
- Kuambatanisha nomino zilizo katika hali ya wastani na ukubwa wake
Kutaja nomino katika ukubwa wake kuna umuhimu gani?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 169-170
- Picha za nomino katika ukubwa, udogo na wastani
- Kadi za maneno
- Vifaa vya kidijitali
Kutambua nomino katika hali ya ukubwa - Kuambatanisha nomino zilizo katika hali ya wastani na ukubwa wake - Kujaza pengo kwa nomino zenye ukubwa - Kutunga sentensi zenye nomino katika hali ya ukubwa
8 2
Kuandika
Barua ya Kirafiki
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua vipengele vya barua ya kirafiki
- Kujadili muundo wa barua ya kirafiki
- Kusoma kielelezo cha barua ya kirafiki
- Kuchangamkia uandishi wa barua ya kirafiki
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili mambo anayokumbuka kuhusu barua ya kirafiki
- Kujadili muundo wa barua ya kirafiki
- Kutambua barua ya kirafiki kutoka kwenye vielelezo alivyopewa
- Kusoma kielelezo cha barua ya kirafiki
- Kutambua muundo wa barua ya kirafiki
Je, unazingatia nini unapoandika barua ya kirafiki?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 161-163
- Vielelezo vya barua
- Kielelezo cha barua ya kirafiki
- Vifaa vya kidijitali
Kutambua barua ya kirafiki - Kueleza muundo wa barua ya kirafiki - Kujibu maswali kuhusu barua ya kirafiki
8 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Kujieleza kwa Ufasaha: Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kusimulia visa vinavyohusu kazi mbalimbali
- Kutumia ishara za uso na mikono zinazofaa
- Kusimulia kisa kwa mtiririko unaoeleweka
- Kufurahia kusimulia visa vinavyohusu mapato
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha za watu wakifanya kazi
- Kujadili sababu za watu kufanya kazi
- Kusimulia kuhusu kazi ambazo huwa anazifanya
- Kutazama picha za watu wakifanya kazi mbalimbali
- Kusimulia kisa kuhusu mmoja wa picha hizo
- Kutumia ishara za mwili zinazofaa
Kwa nini ni muhimu kujieleza kwa ufasaha?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 159
- Picha za watu wakifanya kazi
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
Kusimulia kisa kwa ufasaha - Kutumia ishara za mwili ipasavyo - Kufuata mtiririko unaoeleweka - Kujibu maswali kuhusu masimulizi
8 4
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kusoma kifungu kwa kuzingatia kasi ifaayo
- Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo
- Kusoma maneno sahihi yasiyopungua 65 kwa dakika moja
- Kujenga mazoea ya kusoma kwa ufasaha
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma tena kifungu cha "Bidhaa bandia" ukizingatia vipengele vya usomaji kwa ufasaha
- Kuhesabu idadi ya maneno aliyosoma kwa dakika moja
- Kutafuta hadithi yoyote kuhusu mapato kwenye vitabu au kwenye mitandao salama
- Kusoma hadithi hiyo ukizingatia matamshi bora, kasi ifaayo, kiwango kifaacho cha sauti na ishara zifaazo
Kusoma kwa ufasaha kuna umuhimu gani?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 161
- Matini yenye kifungu cha "Bidhaa bandia"
- Saa ya kupimia muda
- Vitabu vya hadithi
- Vifaa vya kidijitali
Kusoma kifungu kwa ufasaha - Kusoma maneno 65 au zaidi kwa dakika moja - Kuhesabu idadi ya maneno aliyosoma - Kusoma hadithi kwa ufasaha
9 1
Sarufi
Ukubwa wa nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua nomino katika hali ya ukubwa kutoka kwenye sentensi
- Kutumia nomino katika hali ya ukubwa kwenye sentensi
- Kutofautisha kati ya nomino zenye udogo, wastani na ukubwa
- Kufurahia kutumia nomino katika hali ya ukubwa kwa usahihi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zenye nomino katika hali ya wastani
- Kubadilisha nomino hizo ziwe katika hali ya ukubwa
- Kutunga sentensi akitumia nomino katika hali ya ukubwa
- Kusoma shairi lenye nomino katika hali ya ukubwa na udogo
- Kutambua nomino zilizo katika hali ya ukubwa kutoka kwenye shairi
Ni nomino zipi zinaanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 171
- Shairi lenye nomino katika hali ya ukubwa na udogo
- Picha
- Kadi za maneno
Kutambua nomino zilizo katika hali ya ukubwa - Kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani hadi ukubwa - Kutunga sentensi zenye nomino katika hali ya ukubwa
9 2
Sarufi
Udogo wa nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kueleza maana ya udogo wa nomino
- Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja
- Kubadilisha nomino katika hali ya wastani kuwa katika hali ya udogo
- Kuchangamkia matumizi ya nomino katika hali ya udogo
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutaja nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye silabi mbili katika hali ya wastani
- Kubadilisha nomino hizo ziwe katika hali ya udogo
- Kushiriki katika mchezo wa kikundi wa kutaja nomino katika hali ya udogo
- Kuambatanisha nomino na hali za udogo zake kwa kutumia tarakilishi
Kutaja nomino katika udogo wake kuna umuhimu gani?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 172-173
- Picha za nomino katika ukubwa, udogo na wastani
- Kadi za maneno
- Vifaa vya kidijitali
Kutambua nomino katika hali ya udogo - Kuambatanisha nomino zilizo katika hali ya wastani na udogo wake - Kujaza pengo kwa nomino zenye udogo - Kutunga sentensi zenye nomino katika hali ya udogo
9 3
Sarufi
Udogo wa nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua nomino katika hali ya udogo kutoka kwenye sentensi
- Kutumia nomino katika hali ya udogo kwenye sentensi
- Kutofautisha kati ya nomino zenye udogo, wastani na ukubwa
- Kufurahia kutumia nomino katika hali ya udogo kwa usahihi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zenye nomino katika hali ya wastani
- Kubadilisha nomino hizo ziwe katika hali ya udogo
- Kutunga sentensi akitumia nomino katika hali ya udogo
- Kusoma shairi lenye nomino katika hali ya ukubwa na udogo
- Kutambua nomino zilizo katika hali ya udogo kutoka kwenye shairi
Unawezaje kutofautisha nomino katika hali ya udogo na zile zilizo katika hali ya ukubwa?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 174
- Shairi lenye nomino katika hali ya ukubwa na udogo
- Picha
- Kadi za maneno
Kutambua nomino zilizo katika hali ya udogo - Kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani hadi udogo - Kutunga sentensi zenye nomino katika hali ya udogo
9 4
Kuandika
Barua ya Kirafiki
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kuandaa vidokezo vya kuandika barua ya kirafiki
- Kuandika barua ya kirafiki inayozingatia kanuni zifaazo
- Kuwasilisha barua ya kirafiki aliyoandika
- Kufurahia kuandika barua ya kirafiki
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili kuhusu mada "Kazi ambayo ningependa kufanya"
- Kuandaa vidokezo vya kuandika barua
- Kumwandikia rafiki yake barua akimweleza kuhusu kazi ambayo angependa kufanya
- Kuwasomea wenzake barua aliyoandika
- Kujadili umuhimu wa barua za kirafiki katika mawasiliano
Barua za kirafiki zina umuhimu gani?
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 163-164
- Vidokezo vya uandishi wa barua
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
Kuandika barua ya kirafiki - Kufuata muundo wa barua ya kirafiki - Kusoma barua kwa ufasaha - Kutoa na kupokea maoni

Your Name Comes Here


Download

Feedback