If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 3 | 1 |
LISHE BORA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Maneno ya Heshima na Adabu: Kutambua
Maneno ya Heshima na Adabu: Kutumia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua maneno ya heshima na adabu yanayotumiwa katika jamii -Kutumia ipasavyo maneno ya heshima na adabu katika mawasiliano akiambatanisha na hisia zifaazo -Kuthamini matumizi ya maneno ya heshima na adabu katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kutambua maneno ya heshima na adabu yanayotumiwa katika jamii -Kujadili ni lini maneno husika yanatumiwa katika mawasiliano -Kutazama michoro mbalimbali na kujadili neno linalofaa kutumiwa |
Maneno ya adabu huwa na sifa gani?
|
Stadi za Kiswahili ukur. 42
-Chati -Vifaa vya kidijitali -Mwongozo wa Mwalimu -Michoro -Kadi za maneno -Video za maigizo -Karatasi za kazi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Orodha za kukagua
|
|
| 3 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Maneno ya Heshima na Adabu: Kuwasiliana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua maneno ya heshima na adabu yanayotumiwa katika jamii -Kutumia ipasavyo maneno ya heshima na adabu katika mawasiliano akiambatanisha na hisia zifaazo -Kuthamini matumizi ya maneno ya heshima na adabu katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kuigiza vitendo vya heshima na adabu -Kutumia maneno ya heshima na adabu katika mazungumzo -Kuwasiliana na mzazi au mlezi kwa kutumia maneno ya adabu na heshima ifaavyo |
Maneno ya adabu huwa na sifa gani?
|
Stadi za Kiswahili ukur. 43
-Chati -Vifaa vya kidijitali -Mwongozo wa Mwalimu -Kadi za maigizo -Mazingira ya nyumbani |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maigizo
-Tathmini ya mzazi/mlezi
|
|
| 3 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu: Kutazama picha
Kusoma kwa Ufahamu: Kusoma kifungu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi -Kutabiri yatakayotokea katika kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia picha -Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha hadithi -Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha hadithi -Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kutazama picha kuhusu lishe bora -Kutambua vitu vinavyohusiana na lishe bora katika picha -Kujadili kuhusu vyakula mbalimbali kulingana na picha |
Je, unazingatia nini ili kupata ujumbe katika ufahamu?
|
Stadi za Kiswahili ukur. 44
-Picha za vyakula -Chati -Vifaa vya kidijitali -Mwongozo wa Mwalimu -Kadi za maneno -Kifungu cha ufahamu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Kazi ya kutambua
-Orodha za kukagua
|
|
| 3 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu: Kueleza mafunzo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi -Kutabiri yatakayotokea katika kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia picha -Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha hadithi -Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha hadithi -Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kuthibitisha utabiri wake kuhusu hadithi baada ya kuisoma -Kutumia msamiati wa suala lengwa ipasavyo katika mawasiliano -Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu -Kumsomea mzazi au mlezi kifungu chepesi kuhusu suala lengwa |
Je, unazingatia nini ili kupata ujumbe katika ufahamu?
|
Stadi za Kiswahili ukur. 44
-Kifungu cha ufahamu -Chati -Vifaa vya kidijitali -Mwongozo wa Mwalimu -Kadi za maneno |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Kazi ya ufahamu
-Tathmini ya mzazi/mlezi
|
|
| 4 | 1 |
Kuandika
|
Mpangilio wa Herufi Ndogo: Kutambua
Mpangilio wa Herufi Ndogo: Kunakili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua mpangilio ufaao wa herufi ndogo katika maandishi -Kuandika kifungu akizingatia mpangilio ufaao wa herufi ndogo -Kuchangamkia kuandika vifungu kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia mpangilio ufaao wa herufi ndogo ili kufanikisha mawasiliano |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kutambua mpangilio ufaao wa herufi ndogo katika maandishi -Kuwaonyesha wenzake mpangilio ufaao wa herufi ndogo -Kujadili kuhusu herufi ndogo na mpangilio wake ufaao |
Kwa nini ni vizuri kuandika herufi ndogo ipasavyo?
|
Stadi za Kiswahili ukur. 50
-Chati ya herufi -Vifaa vya kidijitali -Mwongozo wa Mwalimu -Kadi za maneno -Daftari -Kifungu cha lishe bora |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Kazi ya kutambua
-Orodha za kukagua
|
|
| 4 | 2 |
Kuandika
|
Mpangilio wa Herufi Ndogo: Kutunga
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua mpangilio ufaao wa herufi ndogo katika maandishi -Kuandika kifungu akizingatia mpangilio ufaao wa herufi ndogo -Kuchangamkia kuandika vifungu kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia mpangilio ufaao wa herufi ndogo ili kufanikisha mawasiliano |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kutunga kifungu kuhusu suala lengwa akizingatia mpangilio unaofaa -Kuandika kifungu kwenye kitabu chao akizingatia mpangilio ufaao wa herufi ndogo -Kuwaombe wenzake wasome kifungu chao na watoe maoni |
Kwa nini ni vizuri kuandika herufi ndogo ipasavyo?
|
Stadi za Kiswahili ukur. 50
-Chati ya herufi -Vifaa vya kidijitali -Mwongozo wa Mwalimu -Daftari -Picha za lishe bora |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Kazi ya kutunga
-Tathmini ya wenzao
|
|
| 4 | 3 |
Sarufi
|
Matumizi ya Huyo na Hao: Kutambua
Matumizi ya Huyo na Hao: Kutumia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua matumizi ya huyo na hao katika kifungu -Kutumia huyo na hao katika sentensi kwa usahihi -Kuchangamkia matumizi ya huyo na hao katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kutambua matumizi ya huyo na hao kwa kutumia nyenzo -Kusikiliza kifungu au wimbo kuhusu matumizi ya huyo na hao -Kumsomea mwenzako sentensi zilizopo chini ya picha |
Ni maneno gani yatatumiwa kuonyesha mwenzako akiwa mbali kidogo?
|
Stadi za Kiswahili ukur. 54
-Chati -Vifaa vya kidijitali -Mwongozo wa Mwalimu -Kadi za maneno -Picha za watu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Kazi ya kutambua
-Orodha za kukagua
|
|
| 4 | 4 |
Sarufi
|
Matumizi ya Huyo na Hao: Kuwasiliana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua matumizi ya huyo na hao katika kifungu -Kutumia huyo na hao katika sentensi kwa usahihi -Kuchangamkia matumizi ya huyo na hao katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kuandika sentensi zinazodhihirisha matumizi ya huyo na hao -Kujaza nafasi kwa kutumia huyo na hao akielekezwa na mwalimu -Kurejelea watu wa familia yao kwa kutumia huyo na hao |
Ni maneno gani yatatumiwa kuonyesha mwenzako akiwa mbali kidogo?
|
Stadi za Kiswahili ukur. 54
-Chati -Vifaa vya kidijitali -Mwongozo wa Mwalimu -Daftari -Picha za watu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Kazi ya maandishi
-Mazungumzo na wazazi
|
|
| 5 | 1 |
USAFIRI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora: Sauti /ch/
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua silabi za sauti lengwa katika maneno -Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha -Kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya sauti lengwa akizingatia matamshi bora -Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kutambua silabi za sauti lengwa /ch/ katika maneno -Kusikiliza maneno yenye silabi za sauti lengwa -Kutamka maneno aliyosikiliza pamoja na mwalimu -Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa |
Je, ni maneno gani unayojua yenye sauti /ch/?
|
Stadi za Kiswahili ukur. 59
-Chati -Vifaa vya kidijitali -Mwongozo wa Mwalimu -Kadi maneno -Mti maneno -Vifaa kwa kurekodi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Tathmini ya vihisika
-Orodha za kukagua
|
|
| 5 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora: Sauti /dh/
Matamshi Bora: Kujirekodi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua silabi za sauti lengwa katika maneno -Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha -Kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya sauti lengwa akizingatia matamshi bora -Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kutambua silabi za sauti lengwa /dh/ katika maneno -Kusikiliza maneno yenye silabi za sauti lengwa -Kutamka maneno aliyosikiliza pamoja na mwalimu -Kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya sauti /dh/ |
Je, ni maneno gani unayojua yenye sauti /dh/?
|
Stadi za Kiswahili ukur. 62
-Chati -Vifaa vya kidijitali -Mwongozo wa Mwalimu -Kadi maneno -Mti maneno -Vifaa kwa kurekodi Stadi za Kiswahili ukur. 65 -Kipande cha "Lori la chuma" |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Tathmini ya vihisika
-Orodha za kukagua
|
|
| 5 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha: Kutambua sauti
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua sauti lengwa katika matini mbalimbali -Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora -Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika -Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo -Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo -Kufurahia kusoma kifungu ipasavyo ili kufanikisha mawasiliano |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kutambua sauti /ch/ na /dh/ katika kadi maneno, mti maneno -Kusoma maneno yenye sauti lengwa -Kutambua maneno yenye sauti /ch/ na /dh/ katika sentensi |
Je, ni maneno gani unayojua yenye sauti /ch/ na /dh/?
|
Stadi za Kiswahili ukur. 66
-Kifungu cha hadithi -Vifaa vya kidijitali -Mwongozo wa Mwalimu -Kadi maneno -Daftari |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Majaribio ya kusoma
-Orodha za kukagua
|
|
| 5 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha: Kurakibia matamshi
Kusoma kwa Ufasaha: Kutumia ishara |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua sauti lengwa katika matini mbalimbali -Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora -Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika -Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo -Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo -Kufurahia kusoma kifungu ipasavyo ili kufanikisha mawasiliano |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora -Kusoma kifungu kwa sauti inayosikika -Kusoma kifungu kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno 36 kwa dakika) |
Je, ni mambo gani unazingatia kusoma kwa ufasaha?
|
Stadi za Kiswahili ukur. 66
-Kifungu cha "Safari yetu" -Vifaa vya kidijitali -Mwongozo wa Mwalimu -Daftari Stadi za Kiswahili ukur. 68 -Kifungu cha hadithi -Kadi maneno |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Majaribio ya kusoma
-Orodha za kukagua
|
|
| 6 | 1 |
Kuandika
|
Nafasi katika Maandishi: Kutambua
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua nafasi kati ya maneno katika sentensi -Kuandika sentensi akizingatia nafasi kati ya maneno katika sentensi kwa maandishi -Kufurahia kuandika akizingatia nafasi kati ya maneno katika sentensi |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kutambua nafasi kati ya maneno katika sentensi -Kuwaonyesha wenzake nafasi kati ya maneno katika sentensi -Kujadili kwa nini tunatumia nafasi kati ya maneno |
Je, kwa nini tunatumia nafasi kati ya maneno katika sentensi?
|
Stadi za Kiswahili ukur. 69
-Chati -Vifaa vya kidijitali -Mwongozo wa Mwalimu -Daftari -Picha za usafiri |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Kazi ya kutambua
-Orodha za kukagua
|
|
| 6 | 2 |
Kuandika
|
Nafasi katika Maandishi: Kuandika
Nafasi katika Maandishi: Kutumia dijitali |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua nafasi kati ya maneno katika sentensi -Kuandika sentensi akizingatia nafasi kati ya maneno katika sentensi kwa maandishi -Kufurahia kuandika akizingatia nafasi kati ya maneno katika sentensi |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kuandika sentensi kuhusu suala lengwa akizingatia nafasi kati ya maneno -Kuwaonyesha wenzake sentensi alizoziandika ili wazitolee maoni -Kurekebisha sentensi akizingatia nafasi inayofaa |
Je, kwa nini tunatumia nafasi kati ya maneno katika sentensi?
|
Stadi za Kiswahili ukur. 69
-Chati -Vifaa vya kidijitali -Mwongozo wa Mwalimu -Daftari -Picha za usafiri Stadi za Kiswahili ukur. 71 -Maneno ya usafiri |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Kazi ya maandishi
-Orodha za kukagua
|
|
| 6 | 3 |
Sarufi
|
Umoja na Wingi wa Vifungu: Kutambua
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua vifungu vya maneno katika umoja na wingi -Kusoma vifungu vya maneno katika umoja na wingi -Kuandika umoja na wingi wa vifungu vya maneno -Kuchangamkia kutumia vifungu vya maneno katika umoja na wingi |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kutambua vifungu vya maneno katika umoja na wingi -Kuzingatia moyo hili - mabasi haya, safari hii - safari hizi -Kusoma vifungu vya maneno kutoka kwenye chati au vifaa vya kidijitali |
Je, unapozungumzia umoja na wingi wa maneno au sentensi unamaanisha nini?
|
Stadi za Kiswahili ukur. 72
-Chati -Vifaa vya kidijitali -Mwongozo wa Mwalimu -Kadi za maneno -Picha |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Kazi ya kutambua
-Orodha za kukagua
|
|
| 6 | 4 |
Sarufi
|
Umoja na Wingi wa Vifungu: Kutumia
Umoja na Wingi wa Vifungu: Kukamilisha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua vifungu vya maneno katika umoja na wingi -Kusoma vifungu vya maneno katika umoja na wingi -Kuandika umoja na wingi wa vifungu vya maneno -Kuchangamkia kutumia vifungu vya maneno katika umoja na wingi |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kuandika umoja na wingi wa vifungu vya maneno -Kujaza nafasi zilizo wazi ili kukamilisha vifungu vya maneno -Kushiriki katika mchezo wa kupanga kadi za vifungu vya maneno |
Je, unapozungumzia umoja na wingi wa maneno au sentensi unamaanisha nini?
|
Stadi za Kiswahili ukur. 72
-Chati -Vifaa vya kidijitali -Mwongozo wa Mwalimu -Kadi za maneno -Picha Stadi za Kiswahili ukur. 75 -Jedwali la umoja na wingi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Kazi ya kuandika
-Mchezo wa kadi
|
|
| 7 | 1 |
MNYAMA NIMPENDAYE
Kusikiliza na Kuzungumza |
Hadithi: Kutambua picha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua picha kuhusu suala lengwa -Kutambua msamiati wa suala lengwa uliotumiwa katika hadithi aliyoisikiliza -Kujibu maswali kuhusu hadithi aliyoisikiliza -Kueleza ujumbe wa hadithi aliyoisikiliza -Kufurahia ufahamu wa kusikiliza |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kutambua picha kutoka kwenye kitabu, chati -Kujadili picha kutoka kwenye vifaa vya kidijitali -Kutabiri kitakachotokea kwenye hadithi |
Kusikiliza hadithi kwa makini kuna umuhimu gani?
|
Stadi za Kiswahili ukur. 78
-Picha za wanyama -Vifaa vya kidijitali -Mwongozo wa Mwalimu -Chati -Kadi za maneno |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Orodha za kukagua
|
|
| 7 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Hadithi: Kusikiliza ufahamu
Hadithi: Kueleza maudhui |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua picha kuhusu suala lengwa -Kutambua msamiati wa suala lengwa uliotumiwa katika hadithi aliyoisikiliza -Kujibu maswali kuhusu hadithi aliyoisikiliza -Kueleza ujumbe wa hadithi aliyoisikiliza -Kufurahia ufahamu wa kusikiliza |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kusikiliza ufahamu kutoka kwa mwalimu au vyombo vya kidijitali -Kutambua msamiati uliotumika katika ufahamu aliousikiliza -Kujibu maswali yanayohusiana na ufahamu |
Kusikiliza hadithi kwa makini kuna umuhimu gani?
|
Stadi za Kiswahili ukur. 79
-Kifungu cha ufahamu -Vifaa vya kidijitali -Mwongozo wa Mwalimu -Kadi za maneno Stadi za Kiswahili ukur. 80 |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Kazi ya ufahamu
-Orodha za kukagua
|
|
| 7 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu: Kutazama picha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu -Kutabiri yatakayotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu kwa kuzingatia picha -Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu -Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu -Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kusikiliza au kutazama nyimbo kuhusu suala lengwa -Kutaja masuala ya suala lengwa -Kutabiri kitakachotokea katika hadithi akizingatia picha |
Je, ni mambo gani yanayokusaidia kupata ujumbe kwenye vifungu vya ufahamu?
|
Stadi za Kiswahili ukur. 81
-Picha za wanyama -Chati -Vifaa vya kidijitali -Mwongozo wa Mwalimu -Kadi za maneno |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Kazi ya kutambua
-Orodha za kukagua
|
|
| 7 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu: Kusoma kifungu
Kusoma kwa Ufahamu: Kueleza mafunzo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu -Kutabiri yatakayotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu kwa kuzingatia picha -Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu -Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu -Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kusoma kifungu chepesi cha maneno 39-42 -Kutambua msamiati wa suala lengwa -Kutumia msamiati wa suala lengwa ipasavyo katika mawasiliano -Kueleza ujumbe wa kifungu kwa kutazama picha |
Je, ni mambo gani yanayokusaidia kupata ujumbe kwenye vifungu vya ufahamu?
|
Stadi za Kiswahili ukur. 81
-Kifungu cha ufahamu -Chati -Vifaa vya kidijitali -Mwongozo wa Mwalimu -Kadi za maneno Stadi za Kiswahili ukur. 83 -Hadithi mbalimbali |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Majaribio ya kusoma
-Orodha za kukagua
|
|
| 8 |
Midterm |
||||||||
| 9 | 1 |
Kuandika
|
Uakifishi: Matumizi ya Kiulizi - Kutambua
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua kiulizi katika maandishi -Kuandika kiulizi ipasavyo akizingatia umbo lake -Kutumia kiulizi ipasavyo katika sentensi -Kufurahia kutumia kiulizi katika maandishi ya kila siku |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kutambua kiulizi katika maandishi kitabuni -Kuwaonyesha wenzake alama ya kiulizi katika sentensi -Kusikiliza maelezo ya mwalimu kuhusu alama ya kiulizi |
Je, alama ya kiulizi hutumika vipi?
|
Stadi za Kiswahili ukur. 84
-Chati -Vifaa vya kidijitali -Mwongozo wa Mwalimu -Kadi maneno -Mti maneno |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Kazi ya kutambua
-Orodha za kukagua
|
|
| 9 | 2 |
Kuandika
|
Uakifishi: Matumizi ya Kiulizi - Kuandika
Uakifishi: Matumizi ya Kiulizi - Kumsomea |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua kiulizi katika maandishi -Kuandika kiulizi ipasavyo akizingatia umbo lake -Kutumia kiulizi ipasavyo katika sentensi -Kufurahia kutumia kiulizi katika maandishi ya kila siku |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kuandika kiulizi ipasavyo akizingatia umbo lake -Kutumia kiulizi ipasavyo katika sentensi -Kuandika sentensi sahihi akitumia kiulizi ipasavyo |
Je, alama ya kiulizi hutumika vipi?
|
Stadi za Kiswahili ukur. 85
-Daftari -Vifaa vya kidijitali -Mwongozo wa Mwalimu -Sentensi za muundo Stadi za Kiswahili ukur. 87 -Maswali ya picha |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Kazi ya maandishi
-Orodha za kukagua
|
|
| 9 | 3 |
Sarufi
|
Matumizi ya -ako na -enu: Kutambua
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua matumizi yafaayo ya -ako na -enu katika kifungu -Kutumia -ako na -enu ipasavyo katika sentensi -Kuthamini matumizi ya -ako na -enu katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kutambua matumizi ya -ako na -enu katika kadi za maneno -Kusikiliza kifungu au wimbo unaohusu matumizi ya -ako na -enu -Kujadili kuhusu matumizi ya -ako na -enu |
Je, -ako na -enu hutumiwa wakati gani?
|
Stadi za Kiswahili ukur. 87
-Chati -Vifaa vya kidijitali -Mwongozo wa Mwalimu -Kadi maneno -Picha za wanyama |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Kazi ya kutambua
-Orodha za kukagua
|
|
| 9 | 4 |
Sarufi
|
Matumizi ya -ako na -enu: Kutumia
Matumizi ya -ako na -enu: Kuwasilisha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua matumizi yafaayo ya -ako na -enu katika kifungu -Kutumia -ako na -enu ipasavyo katika sentensi -Kuthamini matumizi ya -ako na -enu katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kumtungia mwenzake sentensi zenye matumizi ya -ako na -enu -Kuandika sentensi zenye -ako na -enu -Kujaza nafasi kwa kutumia -ako na -enu |
Je, -ako na -enu hutumiwa wakati gani?
|
Stadi za Kiswahili ukur. 89
-Chati -Vifaa vya kidijitali -Mwongozo wa Mwalimu -Daftari -Picha za wanyama Stadi za Kiswahili ukur. 91 -Hadithi ya Sifa na sungura wake |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Kazi ya maandishi
-Orodha za kukagua
|
|
| 10 | 1 |
UKOO
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora: Sauti /ny/
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua silabi za sauti lengwa ipasavyo katika maneno na sentensi -Kutamka maneno na sentensi zenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha -Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kutambua silabi za sauti lengwa /ny/ katika matini mbalimbali -Kusikiliza maneno yenye silabi za sauti lengwa -Kutamka maneno aliyosikiliza pamoja na mwalimu -Kutamka maneno yenye silabi za sauti /ny/ |
Unajua kutamka maneno gani yenye sauti /ny/?
|
Stadi za Kiswahili ukur. 92
-Chati -Vifaa vya kidijitali -Mwongozo wa Mwalimu -Kadi maneno -Mti maneno -Jedwali ya silabi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Tathmini ya vihisika
-Orodha za kukagua
|
|
| 10 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora: Sauti /ng/
Matamshi Bora: Kujirekodi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua silabi za sauti lengwa ipasavyo katika maneno na sentensi -Kutamka maneno na sentensi zenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha -Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kutambua silabi za sauti lengwa /ng/ katika matini mbalimbali -Kusikiliza maneno yenye silabi za sauti lengwa -Kutamka maneno aliyosikiliza pamoja na mwalimu -Kutamka maneno yenye silabi za sauti /ng/ |
Unajua kutamka maneno gani yenye sauti /ng/?
|
Stadi za Kiswahili ukur. 96
-Chati -Vifaa vya kidijitali -Mwongozo wa Mwalimu -Kadi maneno -Mti maneno -Jedwali ya silabi Stadi za Kiswahili ukur. 99 -Sentensi za ukoo -Vifaa kwa kurekodi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Tathmini ya vihisika
-Orodha za kukagua
|
|
| 10 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha: Kutambua sauti
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi -Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora -Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika -Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo -Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo -Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kutambua sauti lengwa /ny/ na /ng/ katika kifungu -Kusoma hadithi ya Ukoo wetu -Kutambua maneno yenye silabi za sauti lengwa katika hadithi |
Unajua maneno gani yaliyo na silabi za sauti /ny/ na /ng/?
|
Stadi za Kiswahili ukur. 99
-Kifungu cha hadithi -Vifaa vya kidijitali -Mwongozo wa Mwalimu -Hati ya Ukoo wetu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Majaribio ya kusoma
-Orodha za kukagua
|
|
| 10 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha: Kusoma kwa matamshi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi -Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora -Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika -Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo -Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo -Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora -Kusoma kifungu kwa sauti inayosikika -Kusoma kifungu kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno 39 kwa dakika) |
Unajua maneno gani yaliyo na silabi za sauti /ny/ na /ng/?
|
Stadi za Kiswahili ukur. 99
-Kifungu cha hadithi -Vifaa vya kidijitali -Mwongozo wa Mwalimu -Hati ya Ukoo wetu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Majaribio ya kusoma
-Orodha za kukagua
|
|
| 11 | 1 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Ufasaha: Kutoa maoni
Tahajia Imla: Kutambua maneno |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi -Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora -Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika -Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo -Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo -Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kusoma kifungu kwa kuzingatia ishara zifaazo -Kumsomea mzazi au mlezi kifungu chepesi chenye sauti lengwa -Kutoa maoni kuhusu matamshi, sauti inayosikika, kasi na ishara |
Unajua maneno gani yaliyo na silabi za sauti /ny/ na /ng/?
|
Stadi za Kiswahili ukur. 101
-Kifungu cha hadithi -Vifaa vya kidijitali -Mwongozo wa Mwalimu -Hati ya Ukoo wetu Stadi za Kiswahili ukur. 102 -Daftari -Maneno ya ukoo -Kadi za maneno |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Majaribio ya kusoma
-Tathmini ya mzazi/mlezi
|
|
| 11 | 2 |
Kuandika
|
Tahajia Imla: Kuandika maneno
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua maneno mepesi ya silabi tatu kwenye maandishi kwa kuzingatia sauti lengwa -Kuandika maneno mepesi ya imla ya silabi tatu kwa kuzingatia silabi za sauti lengwa -Kuandika sentensi sahili kwa kuzingatia silabi za sauti lengwa -Kufurahia kuandika ipasavyo maneno na sentensi kutokana na imla |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kusikiliza mwalimu akisomea maneno ya imla -Kuandika maneno mepesi ya silabi tatu kwenye kifaa cha kidijitali -Kushirikiana na wenzake kuandika maneno -Kusikiliza mwenzako akitamka maneno na kuyaandika |
Je, kwa nini tunahitaji kusikiliza kwa makini tunaposomewa maneno ya kuandika?
|
Stadi za Kiswahili ukur. 102
-Daftari -Vifaa vya kidijitali -Mwongozo wa Mwalimu -Maneno ya imla -Kadi za maneno |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Kazi ya kuandika
-Orodha za kukagua
|
|
| 11 | 3 |
Kuandika
Sarufi |
Tahajia Imla: Kuandika sentensi
Matumizi ya: (-refu, -kubwa, -tamu): Kutambua |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua maneno mepesi ya silabi tatu kwenye maandishi kwa kuzingatia sauti lengwa -Kuandika maneno mepesi ya imla ya silabi tatu kwa kuzingatia silabi za sauti lengwa -Kuandika sentensi sahili kwa kuzingatia silabi za sauti lengwa -Kufurahia kuandika ipasavyo maneno na sentensi kutokana na imla |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kuandika daftarini sentensi za imla -Kushirikiana na wenzake kutunga sentensi kutokana na maneno waliyoandika -Kuandika sentensi walizotunga na kumpa mwenzake ili azitolee maoni |
Je, kwa nini tunahitaji kusikiliza kwa makini tunaposomewa maneno ya kuandika?
|
Stadi za Kiswahili ukur. 104
-Daftari -Vifaa vya kidijitali -Mwongozo wa Mwalimu -Sentensi za imla -Picha za ukoo Stadi za Kiswahili ukur. 105 -Chati -Picha za vitu -Kadi maneno |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Kazi ya maandishi
-Tathmini ya wenzao
|
|
| 11 | 4 |
Sarufi
|
Matumizi ya: (-refu, -kubwa, -tamu): Kutumia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua matumizi ya -refu, -kubwa, -tamu -Kutumia -refu, -kubwa, -tamu katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano -Kufurahia kutumia -refu, -kubwa, -tamu katika sentensi |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kusoma sentensi zinazotumia maneno -refu, -kubwa, -tamu -Kutumia -refu, -kubwa, -tamu akiwa na wenzake katika kikundi -Kuwaelezea vitu vilivyo karibu nao kwa kutumia -refu, -kubwa na -tamu |
Je, ni maneno gani unayoweza kutumia kuelezea sifa za kitu?
|
Stadi za Kiswahili ukur. 106
-Chati -Vifaa vya kidijitali -Mwongozo wa Mwalimu -Picha za vitu -Daftari |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Kazi ya maandishi
-Orodha za kukagua
|
|
| 12 | 1 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matumizi ya: (-refu, -kubwa, -tamu): Kuwasiliana
Maagizo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua matumizi ya -refu, -kubwa, -tamu -Kutumia -refu, -kubwa, -tamu katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano -Kufurahia kutumia -refu, -kubwa, -tamu katika sentensi |
Mwanafunzi aongozwe:
-Kujaza nafasi zilizo wazi kwa kutumia -refu, -kubwa, -tamu -Kuwasiliana na mlezi au mzazi kwa kutumia -refu, -kubwa, -tamu -Kutunga sentensi ukitumia -refu, -kubwa, na -tamu |
Je, ni maneno gani unayoweza kutumia kuelezea sifa za kitu?
|
Stadi za Kiswahili ukur. 108
-Chati -Vifaa vya kidijitali -Mwongozo wa Mwalimu -Sentensi za kurekebisha -Makazi ya nyumbani Mwalimu Kipande Stadi za Kiswahili uk. 111 -Picha za maagizo -Vifaa vya kuigiza -Orodha za maagizo |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Kazi ya maandishi
-Mazungumzo na wazazi
|
|
| 12 | 2 |
SEBULENI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Mazungumzo ya Papo kwa Hapo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwishoni mwa somo, mwanafunzi awe na uwezo wa: -Kujifunza majina ya vifaa vya sebule kwa kutumia mazungumzo ya papo kwa hapo. -Kutunga mazungumzo mafupi kuhusu sebule. -Kuzungumza kwa urahisi kuhusu mazingira ya sebule. |
Mwanafunzi anaongozwa:
-Kusikiliza wimbo kuhusu sebuleni katika kifaa cha kidijiti. -Kutaja majina ya vifaa vya sebuleni wataziona katika wimbo. -Kuongeza kwa kuimba wimbo kuhusu sebuleni. -Kutunga mazungumzo mafupi kuhusu vifaa vya sebuleni. |
Ni vifaa gani muhimu vinavyopatikana sebuleni na ni kwa nini?
|
Mwalimu Kipande Stadi za Kiswahili uk. 112
-Faili za wimbo za kidijiti -Picha za vifaa vya sebule -Mwongozo wa mazungumzo |
Uchunguzi
-Uimbaji
-Mazungumzo ya wenzao
-Tathmini ya mazungumzo
|
|
| 12 | 3 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Ufahamu
Uhariri |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwishoni mwa somo, mwanafunzi awe na uwezo wa: -Kutabiri maudhui ya kifungu kulingana na picha ya mwanzo. -Kusoma na kuelewa hadithi fupi kuhusu sebuleni. -Kujibu maswali ya ufahamu kuhusu hadithi waliyoisoma. -Kutambua tukio dogo katika hadithi. |
Mwanafunzi anaongozwa:
-Kutazama picha na kutabiri yatakayotokea katika hadithi. -Kusoma hadithi "Furaha na watu wa familia". -Kutaja vifaa vya sebuleni vinavyotajwa katika hadithi. -Kujibu maswali kuhusu hadithi. -Kujifunza kutoka hadithi walizoisoma. |
Ni mafunzo gani tunayaweza kupata kutoka hadithi za familia?
|
Mwalimu Kipande Stadi za Kiswahili uk. 115-116
-Hadithi za ufahamu -Maswali ya ufahamu -Vifaa vya kutabiri Mwalimu Kipande Stadi za Kiswahili uk. 119-121 -Maelezo ya uhariri -Sentensi za mazoezi -Orodha ya kukagua |
Majibu ya maswali
-Mjadala wa kundi
-Tathmini ya ufahamu
-Ufupisho wa hadithi
|
|
| 12 | 4 |
Sarufi
|
Ukanusho wa Nafsi ya Pili - Umoja na Wingi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwishoni mwa somo, mwanafunzi awe na uwezo wa: -Kutofautisha kati ya umoja na wingi katika nafsi ya pili. -Kufanya ukanusho wa nafsi ya pili umoja na wingi. -Kutunga sentensi za ukanusho katika nafsi ya pili. -Kutumia "wewe", "nyinyi", "huyu" na "wao" kwa usahihi. |
Mwanafunzi anaongozwa:
-Kutambua tofauti baina ya umoja na wingi katika picha. -Kusikiliza maelezo ya mwalimu kuhusu ukanusho wa nafsi ya pili. -Kutambua sentensi zilizokanusha na zisizokanusha. -Kufanya mazoezi ya kukanisha sentensi katika nafsi ya pili. -Kutumia makini "huyu", "hayu", "hamyu" na "hawayu". |
Ni maana gani ya kutumia ukanusho katika nafsi ya pili?
|
Mwalimu Kipande Stadi za Kiswahili uk. 122-124
-Maelezo ya sarufi -Sentensi za mazoezi -Mpangilio wa ukanusho |
Mazoezi ya kuandika
-Tathmini ya sarufi
-Mazungumzo ya utambuzi
-Utumiaji wa vifaa vya kidijiti
|
|
| 13-14 |
Endterm exam and closing week |
||||||||
Your Name Comes Here