Home







MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
KIDATO CHA PILI
MWAKA WA 2025
MUHULA WA III

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA MBINU VIFAA ASILIA MAONI
1 4-5
Kusoma ufahamu
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
urafiki
Utungaji wa kisanii-mchezo wa kuigiza
Matamshi bora
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
Kusoma ufahamu na kuelezeamtirirko wa matukio
Kujibu maswali kuhusu ufahamu
Kutambua na kueleza maana ya misamiati yaliyotumika katika ufahamu
kueleza maana ya urafiki na Madhumuni ya urafiki

somo ;
Kutaja na kutambua vipengele muhimu katika mchezo wa kuigiza
Kuandika mchezo wa kuigiza kuhusu jambo lolote
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Majadiliano
Kuandika
Maswali na majibu
Mazungumzo
Maelezo
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk3_5)
Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila)
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 12)
Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila)
1 6
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi
Magonjwa
Aina za maneno-nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kutabiri matukio katika ufahamu
Kutaja aina ya magonjwa
Kusoma ufahamu na kutambua misamiati yaliyotumika na maana
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk16-17)
2 1
Kusoma
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Matumizi ya kamusi
Utangaji wa kuamilifu
Matamshi bora-sauti tatanishi /g/ na /ng/
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kutambua sifa za kamusi
Kutumia kamusi kutoa maelezo ya maneno fiche
Maelezo
Majibu na maswali
kuandika
Mazungumzo
Kitabu Cha Mashairi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 20-21)
2 2
fasihi simulizi
Kusikiliza na na kuzungumza
vitendawili
Fasihi simulizi-hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kutaja vitendawili
Kutambua sifa na dhima za vitendawili
Kutambua matumizi ya vitendawili
Kueleza dhima, sifa na mifano ya chemsha bongo
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 24-26)
2 3
Kusikiliza na na kuzungumza
Kusikiliza na kuzungumza
Tanakali za sauti
Matamshi bora
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kutaja mifano za tanakali za sauti
Kueleza maana ya tanakali za sauti
Kueleza matumizi ya tanakali za sauti
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 49-50)
2 4-5
Kusoma
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Kajinga Acheza na Sensa
Lugha, utamaduni na katiba
Uandishi wa insha
Matamshi bora -vitate vya sauti /b/ na /p/
Isimu jamii
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kusoma ufahamu na kueleza mtiririko wa matukio
Kujibu maswali kuhusu ufahamu

somo ;
Kueleza maana ya vitate
Kutaja maneno yaliyo na vitate vya sauti /b/ na /p/
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu Cha Mashairi
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 75-78)
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(up 87-88)
Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila)
2 6
Kusoma
Kusoma kwa kina
Ripoti kuhusu ukimwi
ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya ripoti
Kufafanua ripoti
Kutambua vipengele muhimu katika uandishi wa ripoti
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu Cha Mashairi
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 89-91)
3 1
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Kusikiliza na kuzungumza
Utungaji wa kiuaminifu -barua simu
Matamshi bora; vitate /s/ na /sh/
Isimu jamii
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya barua simu
Kutaja mambo yanayozingatiwa katika uandishi wa barua simu
Kuandika barua simu
Majadiliano
Kuandika
Maswali na majibu
Mazungumzo
Maelezo
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 97-98)
Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila)
3 2
Kuandika
Utungaji wa kiuamilifu-matangazo
Dayolojia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kutambua madhumini ya matangazo
Kuandika matangazo
Kutaja mambo muhimu ya kuzingaitiwa katika uandishi wa matangazo
Kutaja njia za kupitisha matangazo
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 111-115)
Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila)
3 3
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu
Vitate vya sauti /s/ na /z/
Kusoma dondoo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kutambua vitate vya sauti /s/ na /z/ na kuvitumia vyema katika sentensi.
Kueleza maana ya vitanza ndimi.
Kutambua na kutamka vitanza ndimi vyema.
Kujibu maswali kutoka kwa Makala ya haki za Watoto kikamilifu
Majadiliano
Kuandika
Maswali na majibu
Mazungumzo
Maelezo
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk118-120)
Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila)
3 4-5
Kusoma kwa mapana
Kuandika
Sarufi
Janga la ukimwi
Ratiba
Vielezi
Hadithi fupi
Taarifa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kusoma kifungu lenye mada Janga la ukimwi.
Kujadili matukio katika kifunguu kicho.
Kujibu maswali kuhusu kifungu
somo ;
Kueleza maana ya hadithi fupi.
Kutaja na kujadili sifa za hadithi fupi.
Kutaja mambo muhumu katika uandishi wa hadithi fupi..
Kuandika hadithi fupi
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk130-132)
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk143)
3 6
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu
Fasihi simulizi-maigizo
Ushairi -mwanamke
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya maigizo.
Kutaja na kujadili aina tofauti za maigizo.
Kujadili sifa za maigizo.
Kueleza dhima ya maigizo
Majadiliano
Kuandika
Maswali na majibu
Mazungumzo
Maelezo
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk145-147)
Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila)
4 1
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu
Unadishi wa insha
Mjadala
Kusoma taarifa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kutambua vipengee muhimu vya kuzingatiwa katikauandishi wa insha.
Kuandika insha kuhusu mada aipendayo
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk151-152)
4 2
Kusoma kwa mapana
Kuandika
Mtambo wa ATM
Resipe
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya ATM
Kusoma taarifa kuhusu ATM.
Kueleza alichojifunza kuhusu ATM
Kueleza jinsi ya kutumia ATM
Kujibu maswali kutoka kwa taarifa ipasavyo
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk160-163)
4 3
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu
Sauti tatanishi /f/ na /v/ Fasihi simulizi-Visasili
Tarakilishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kutambua maneno yenye sauti tatanishi /f/ na /v/
Kutamka vitanza ndimi ipasavyo.
Kueleza maana ya visasili.
Kujadili dhima ya visasili
Kusoma kisa mfano ya kisasili kwenye kitabu cha mwanafunzi
Majadiliano
Kuandika
Maswali na majibu
Mazungumzo
Maelezo
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk166-170)
Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila)
4 4-5
Kusoma kwa mapana
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu
Kusoma kwa mapana
Ufisadi
Risala
Ushairi simulizi-nyimbo
Ushairi -Mrija
Jinsia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kusoma Makala katikakitabu cha mwanafunzi.
Kuipa kichwa mwafaka Makala hiyo.
Kujadili mabo muhimu yaliyoangaziwa katika kifungu
somo ;
Kueleza maana ya mrija.
Kujadili muundo wa shairi
Kukariri shairi lenye mada mrija
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk174-175)
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk182-183)
Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila)
4 6
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Utungaji wa kisanii
Fasihi simulizi-methali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kutambua na kujadili aina ya mashairi.
Kujadili sifa za shairi hizi.
Kutaja vitu muhimu vya kuzingatiwa katika uundaji wa shairi hizi
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 186)
5 1
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi
Kusoma kwa mapana
Ajira ya watoto
Nyakati-hali ya ukanushaji
Kusoma maktabani
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kutabiri matukio katika ufahamu.
Kusoma ufahamu katika kitabu cha mwanafunzi kuhusu ajira ya Watoto.
Kujibu maswali kuhusu ufahamu ipasavyo.
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 190-192)
Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila)
5 2
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Barua rasmi
Fasihi simulizi-Hekaya
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya barua rasmi.
Taja sehemu tofauti za barua rasmi.
Kutambua na kueleza miundo tofauti za barua rasmi.
Kuandika barua rasmi kwa kuzingatia miundo tofauti
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 200-204)
5 3
Kusoma kwa ufahamu
Kusoma kwa mapana
Lubigisa
Umoja wa kitaifa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kusoma kifungu kwenye kitabu cha mwanafunzi kichwa Lubigisa
Kueleza mtiririko wa matukio katika kisa hicho.
Kutambua misemo yaliyotumika katika kifungu,kueleza maana yao na kuyatumia vyema.
Kujibu maswali kuhusu ufahamu ipasavyo.
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk206-208)
Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila)
5 4-5
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu
Kusoma kwa mapana
Kuandika
Uandishi wa kawaida-Muhtasari
Ushairi simulizi
Taarifa
Afya
Utungaji wa kiuamilifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya muhtasari.
Kujadili vipengee muhimu katika uandishi wa muhtasari.
Kuandika muhtasari ya kisa cha Lubigisa.
somo ;
Kusoma taarifa katika kitabu cha mwanafunzi.
Kueleza mtiririko wa matukia katika taarifa.
Kujibu maswali kuhusu taarifa ipasavyo.
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk212)
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 217- 218)
5 6
Kusoma kwa mapana
Kuandika
Maadili
Uandishi wa Insha - Methali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya maadili.
Kusoma taarifa kwenye kitabu cha mwanafunzi kwa mapana.
Kutambua mambo muhimu yaliyozungumziwa katika taarifa.
Kujibu maswali kuhusu taarifa ipasavyo.
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 227-230)
6 1
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi
Redio/Kanda za kunasia sauti
Shairi-Njaa nipishe na kando
Usemi halisi na usemi wa taarifa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kutaja umuhimu wa redio.
Kutambua vipindi tofauti vya redio na runinga.
Kujadili ujumbe yanayojadiliwa katika vipindi hivi.
Majadiliano
Kuandika
Maswali na majibu
Mazungumzo
Maelezo
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 231)
Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila)
6 2
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Utungaji wa kiuamilifu-Barua ;mialiko
Maamkizi na mazungumzo;Hotuba
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya mualiko.
Kutambua sifa za mialiko.
Kutaja na kujadili aina tofauti ya mialiko.
Kuandika barua ya mualiko.
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 237-240)
6 3
Kusoma kwa ufahamu
Kusoma kwa mapana
Safari yenye hatari
Matumizi ya tarakilishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kusoma kifungu kwenye kitabu cha mwanafunzi kichwa Safari yenye hatari
Kueleza mtiririko wa matukio katika kisa hicho.
Kutambua misemo yaliyotumika katika kifungu,kueleza maana yao na kuyatumia vyema.
Kujibu maswali kuhusu ufahamu ipasavyo.
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 243-245)
Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila)
6 4-5
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi
Kusoma kwa mapana
Imla
Daktari na mgonjwa
Shairi-Kwaheri tunakuaga
Ukubwa na udogo
Matumizi ya kamusi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya Imla.
Kuandika kwa usahihi kifungu isomwayo na mwalimu.

somo ;
Kutambua umoja na wingi wa nomino.
Kutumia umoja na wingi vyema katika sentensi.
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 248)
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 251-256)
6 6
Kusikiliza na kuzungumza (Marudio0
Kusoma kwa ufahamu
Kusoma kwa mapana
Kuandika
Majadiliano
Nidhamu
Maadili
Uandishi wa Insha - Methali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya majadiliano.
Kusoma majadiliano katika kitabu cha mwanafunzi.
Kutaja sifa za majadiliano.
Kueleza maana ya muhtasari.
Kutambua umuhimu wa muhtasari.
Majadiliano
Kuandika
Maswali na majibu
Mazungumzo
Maelezo
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 221-224)
Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila)

Your Name Comes Here


Download

Feedback