If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI_ZA_UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | 1 |
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
|
Kusikiliza kwa Makini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO, kueleza habari katika matini ya kusikiliza kukadiria maana ya msamiatimahususi na vifungu katika matini ya kusikiliza kuziwasilisha hoja muhimu katika habari aliyosikilizakwa kufuata mpangilio ufaao kujenga mazoea ya kufurahia kusikiliza vifungu vya kusikiliza ili kuimarisha uwezo wa kusikiliza |
Mwanafunzi aelekezwe:
kutambua hoja muhimu katika habari aliyosikiliza kuhusu suala lengwa kutoka kwa mwalimu, kifaa cha kidijitali, mgeni mwalikwa au wenzake akiwa peke yake kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini aliyosikiliza kuelezea mwenzakemaana ya msamiati katika matini ya kusikiliza kueleza hoja muhimualiyotambua kutoka matini aliyosikilizakwa maneno machache kuwawasilishia wenzake hoja muhimu katika habari aliyosikilizakwa kufuata mpangilio ufaao |
Je, kwa nini ni muhimu kuwa na mpangilio ufaao wa hojakutoka habari uliyosikiliza?
|
?Chati ?Michoro na picha
?Mgeni mwalikwa ?Vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi/vipakatalishi, kinasasauti, rununu, projekta, video) ?Mti maneno ?Kapu maneno ?Vitabu mbalimbali OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.74 |
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno na majibu
Mijadala Mazungumzo Matumizi ya ishara za mwili k.v ishara za uso, za mikono na mabega kuimarisha masimulizi yake
Wanafunzi kufanyiana tathmini
|
|
1 | 2 |

1 | 3 |
KUSOMA
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO, kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora kusoma kifungu kwa kasi ifaayo kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo kuridhia kusoma makala kwa kuzingatia vipengele vinavyofanikisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha (matamshi bora, kasi ifaayo, sauti ifaayo, ishara zifaazo) kutazama vielelezo vya video za watu wanaosoma kwa ufasaha makala (k.v hotuba, taarifa ya habari, n.k.) akiwana wenzake kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali akizingatia matamshi bora kusoma kifungu cha habari kwa kasi ifaayo kuhusu suala lengwa kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo (k.v kiwango cha sauti na kiimbo)akiwa katika kikundi kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa (k.v ishara za uso na mikono) akiwa na wenzake katika kikundi kusoma mbele ya wenzake kazi yake ili wamtolee maoni |
Je, unaposoma kifungu unazingatia mambo gani ili kufanikisha usomaji?
|
Tarakilishi/vipakatalish
Kinasasauti Rununu Projekta Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti Rununu Kamusi mbalimbali OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.75 |
Kutunga sentensi k.m. kwa
kutumia msamiati lengwa Kujibu maswali k.m. katika ufahamu Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa Kusoma kwa sauti
|
|
1 | 4 |

2 | 1 |
KUSOMA
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
|
|
|
|
|
|
2 | 2 |
KUSOMA
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
|
|
|
|
|
|
2 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora, kasi ifaayo, sauti ipasavyo kisha kuambatanisha ishara zifaazo. Kujadiliana kuhusu usomaji wao wa kifungu kuhusu |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora, kasi ifaayo, sauti ipasavyo kisha kuambatanisha ishara zifaazo.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kujadiliana kuhusu usomaji wao wa kifungu kuhusu |
Unazingatia nini ili kusoma Makala kwa ufasaha?
|
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
2 | 4 |
Kuandika
|
Insha ya Kiukamilifu - Hotuba
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutaja watu ambao wamewahii kusikia au kuona wakizungumzia watu katika mikutano. Kutambua hotuba ya kupasha habari katika matini. Kusoma kifungu. Kutathmini umuhimu wa hotuba. |
Mwanafunzi aweze kutaja watu ambao wamewahii kusikia au kuona wakizungumzia watu katika mikutano.
Mwanafunzi aweze kutambua hotuba ya kupasha habari katika matini. Mwanafunzi aweze Kusoma kifungu, Uk. 137 |
Je, hotuba ni nini?
|
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
3 | 1 |
Kuandika
|
Insha ya Kiukamilifu - Hotuba
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vigezo atakavyozingatia wakati wa kuandika hotuba. Kuandika insha ya hotuba ya kupasha habari. Kuchangamkia kuandika hotuba. |
Mwanafunzi aweze kutambua vigezo atakavyozingatia wakati wa kuandika hotuba.
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya hotuba ya kupasha habari |
Kwa nini hotuba hutolewa?
|
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
3 | 2 |
Sarufi
|
Aina za sentensi; Sentensi changamano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya sentensi changamano. Kutambua sentensi changamano kutoka kwenye orodha iliyo katika kitabu cha mwanafunzi. Kuchangamkia matumizi ya sentensi changamano. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya sentensi changamano.
Mwanafunzi aweze kutambua sentensi changamano kutoka kwenye orodha iliyo katika kitabu cha mwanafunzi. Mwanafunzi aweze kutunga sentensi changamano kuhusu magonjwa yasiyoambukizwa. |
Ni aina gani za sentensi unazojua?
Sentensi changamano ni gani?
|
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
3 | 3 |

3 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Wahusika katika hadithi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusikiliza hadithi itakayosimuliwa na mwalimu au iliyorekodiwa. Kueleza sifa za wahusika kutokana na matendo na tabia zao. Kufurahi kusikiliza hadithi. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kuimba wimbo,
|
Umewahi kusimuliwa hadithi?
Je, hadithi hiyo ilikuwa na wahusika gani?
|
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
4 | 1 |
Kusoma kwa kina
|
Mbinu za lugha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya mbinu za lugha katika fasihi. Kutambua umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika tamthilia. Kutathmini umuhimu wa mbinu za lugha. |
Wanafunzi kueleza maana ya mbinu za lugha katika fasihi.
Wanafunzi waweze kutaja mbinu mbalimbali za lugha katika tamthilia. Wanafunzi waweze kutambua umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika tamthilia. |
Mbinu za lugha zina umuhimu gani zinapotumiwa katika tamthilia?
|
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
4 | 2 |
Kuandika;
|
Insha za kubuni-Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya insha ya maelezo. Kuandika insha ya maelezo. Kuchangamkia kuandika insha ya maelezo. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kueleza
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze vigezo vinavyotumika katika kuandika insha ya maelezo. Wanafunzi kuandika insha ya maelezo. |
Je, insha ya maelezo inahusu nini?
Je, ni vigezo vipi vinavyotumika katika kuandika insha ya maelezo?
|
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
4 | 3 |
Sarufi
|
Ukanushaji kwa kuzingatia hali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya ukanushaji. Kuorodhesha maneno ambayo yanaonyesha hali tofauti katika kifungu alichokisoma. Kutathmini umuhimu wa ukanushaji. |
Wanafunzi kueleza maana ya ukanushaji.
Wanafunzi waweze kuorodhesha maneno ambayo yanaonyesha hali tofauti katika kifungu alichokisoma. |
Kwa nini huwa tunakanusha Kauli?
|
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
4 | 4 |
Sarufi
|
Ukanushaji kwa kuzingatia nyakati
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kukanusha sentensi ziwe katika hali timilifu. Kutunga sentensi katika hali timilifu. Kutathmini umuhimu wa Ukanushaji. |
Wanafunzi kukanusha sentensi ziwe katika hali timilifu.
Wanafunzi kutunga sentensi katika hali timilifu. |
Je, unapotaka kukanusha sentensi unazingatia nini?
|
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi
Kamusi Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
5 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Hadithi- Matumizi ya lugha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusikiliza hadithi ikisimuliwa na mwalimu au iliyonaswa kwenye kifaa cha kidijitali. Kutunga hadithi inayohusiana na kuweka akiba. Zingatia matumizi ya tashbihi, methali, nahau na urudiaji wa maneno ya bidhaa. Kutathmini umuhimu wa hadithi. |
Wanafunzi waweze kutaja vipengele vya lugha vinavyotumika katika hadithi.
Wanafunzi kusikiliza hadithi ikisimuliwa na mwalimu au iliyonaswa kwenye kifaa cha kidijitali. Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kutunga hadithi inayohusiana na kuweka akiba. Zingatia matumizi ya tashbihi, methali, nahau na urudiaji wa maneno ya bidhaa. |
Unajua mbinu gani za lugha zinazotumika katika matumizi ya hadithi?
|
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
5 | 2 |

5 | 3 |
Kusoma
|
Ufahamu wa kifungu cha mjadala
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusoma mjadala katika kitabu cha mwanafunzi. Kueleza habari za kifungu cha mjadala kwa ufupi. Kuchangamkia kusoma mijadala mbalimbali. |
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kusoma mjadala katika kitabu cha mwanafunzi Uk. 152
Wanafunzi kutambua msamiati mpya katika kifungu cha mjadala. Kueleza habari za kifungu cha mjadala kwa ufupi. Wanafunzi waweze kueleza habari za kifungu cha mjadala kwa ufupi. |
Je, wewe huzingatiwa nini unaposoma kifungu cha ufahamu?
|
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
5 | 4 |
Kuandika
|
Insha ya maelekezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusoma maelekezo katika kitabu cha mwanafunzi. Kutaja sifa za maelekezo kuhusu jinsi ya kuandika insha ya maelekezo. Kutathmini umuhimu wa insha ya maelekezo. |
Mwanafunzi aweze kusoma maelekezo katika kitabu cha mwanafunzi Uk. 153
Mwanafunzi aweze kutaja sifa za maelekezo kuhusu jinsi ya kuandika insha ya maelekezo. Mwanafunzi aweze kuandika insha ya maelekezo. |
Je, unaweza kumwelekeza mtu kufanya nini?
|
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
6 | 1 |
Sarufi
|
Udogo wa nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kuambatanisha nomino za hali ya wastani na hali ya ukubwa. Kutunga sentensi akitumia nomino alizoandika katika hali ya ukubwa. Kuchangamkia kutumia nomino katika hali ya ukubwa. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya udogo wa nomino.
Mwanafunzi kuambatanisha nomino za hali ya wastani na hali ya ukubwa. Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia nomino alizoandika katika hali ya ukubwa. |
Utatambuaje nomino katika hali ya udogo?
|
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
6 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Usikilizaji husishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusikiliza mazungumzo atakayosomewa. Kueleza maana za msamiati wa suala lengwa kama ilivyotumiwa katika mazungumzo. Kutathmini umuhimu wa kusikiliza. |
Wanafunzi waweze kusikiliza mazungumzo atakayosomewa na mwalimu.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kutabiri yatakayotokea kutokana na vidokezo katika mazungumzo. Mwanafunzi kueleza maana za msamiati wa suala lengwa kama ilivyotumiwa katika mazungumzo. |
Je, ni miktadha gani rasmi na isiyo rasmi ambapo usikilizaji husishi hutokea?
Je, unazingatia mambo gani ili uweze kufanikisha kusikiliza husishi katika mazungumzo?
|
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
6 | 3 |
Kusoma
|
Ufupisho
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusoma matini katika kitabu cha mwanafunzi. Kueleza kwa sentensi mojamoja ujumbe wa kila aya. Kutathmini umuhimu wa ufupisho. |
Mwanafunzi kusoma matini katika kitabu cha mwanafunzi Uk. 162
Mwanafunzi kueleza kwa sentensi mojamoja ujumbe wa kila aya. Mwanafunzi kuandika kwa ufupi bila kutoa ufafanuzi au mifano. |
Je, ni kwa nini watu hufupisha habari?
|
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
6 | 4 |
Kuandika
|
Baruapepe ya kiofisi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya baruapepe. Kuandika baruapepe ya kiofisi Kutathmini umuhimu wa baruapepe. |
Wanafunzi kueleza maana ya baruapepe.
Wanafunzi kueleza vipengele vya kimuundo vya baruapepe ya kiofisi. Mwanafunzi akiwa pekee yake kuandika baruapepe ya kiofisi. |
Je, ulizingatia vipengele gani katika baruapepe uliyowahi kuandika?
|
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi
KamusiMajarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
7 |
Knec assessment |
||||||||
8 | 1 |
Sarufi
|
Usemi halisi na usemi wa taarifa.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya usemi halisi. Kubadilisha sentensi kutoka usemi wa taarifa hadi usemi halisi. Kutunga sentensi katika usemi halisi. Kuchangamkia kutumia sentensi katika usemi halisi. |
Mwanafunzi kueleza maana ya usemi halisi.
Mwanafunzi waweze kubadilisha sentensi kutoka usemi wa taarifa hadi usemi halisi. Mwanafunzi kutunga sentensi katika usemi halisi. |
Usemi halisi unatofautianaje na usemi wa taarifa?
|
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
8 | 2 |

8 | 3 |
Sarufi
|
Sarufi; Usemi halisi na usemi wa taarifa.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya usemi wa taarifa. Kubadilisha sentensi kutoka usemi halisi hadi usemi wa taarifa. Kutunga sentensi katika usemi wa taarifa. Kuchangamkia kutumia sentensi katika usemi wa taarifa. |
Mwanafunzi kueleza maana ya usemi wa taarifa.
Mwanafunzi waweze kubadilisha sentensi kutoka usemi halisi hadi usemi wa taarifa. Mwanafunzi kutunga sentensi katika usemi wa taarifa. |
Je, unazingatia nini unapobadilisha usemi?
|
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
8 | 4 |
Sarufi
|
Sarufi; Usemi halisi na usemi wa taarifa.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Sarufi: Usemi halisi na usemi wa taarifa |
Mwanafunzi kueleza maana ya usemi wa taarifa. Mwanafunzi waweze kubadilisha sentensi kutoka usemi halisi hadi usemi wa taarifa. Mwanafunzi kutunga sentensi katika usemi wa taarifa. |
Je,
unazingatia nini unapobadilisha usemi?
|
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga
sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
9 |
Jaribio la mwisho wa muhula |
Your Name Comes Here