Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA NANE
MWAKA WA 2024
MUHULA WA III

School




To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.











Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI_ZA_UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
7

Jaribio la knec

8 1
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
Aina za UzungumzajiUzungumzaji waPapo kwa Papo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO,

kueleza maana ya uzungumzaji wa papo kwa papoili kuupambanua

kutambua vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa papo kwa papo

kutoauzungumzaji wa papo kwa papo kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uzungumzaji

kuchangamkia kutoauzungumzaji wa papo kwa papoili kufanikisha mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:

kuelezamaana ya mazungumzoya papo kwa papo akiwa peke yake au katika kikundi

kubainishavipengele vya kuzingatia katika uzungumzajiwa papo kwa papo (k.v ukakamavu, ujumbe unaolenga hadhira husika,ubanifu, upangajihoja, utumiaji wa lugha ya kawaida, utumiaji wa ishara, utumiaji wa sauti ifaayo) akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi

kusikilizauzungumzaji wa papo kwa papo kuhusu suala lengwa yakitolewana mwalimu, wenzake, mgeni mwalimu au kutoka kwenye vifaa vya kidijitali na kutathmini vipengele vya uwasilishaji vilivyotumika

kushiriki katika uzungumzaji wa papo kwa papoakizingatia vipengele vifaavyo

kubuni uzungumzaji mwepesi wa papo kwa papokuhusu suala lengwa akizingatia vipengele vifaavyona kuwawasilishiawenzake katika kikundi ili wautathmini
Unazingatia mambogani ili kufanikisha uzungumzaji wa papo kwa papo?
?Chati ?Michoro na picha
?Mgeni mwalikwa ?Vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi/vipakatalishi, kinasasauti, rununu, projekta, video) ?Mti maneno
?Kapu maneno
?Vitabu mbalimbali
OUP,Kiswahili
Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.58
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno na majibu Mijadala g)Mazungumzo Matumizi ya ishara za mwili k.v ishara za uso, za mikono na mabega kuimarisha masimulizi yake Wanafunzi kufanyiana tathmini
8 2
KUSOMA
KUANDIKA
SARUFI
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
Kusoma kwa KinaTamthilia
ViakifishiAlama za Mtajona Mshazari
geli na Upatanisho wa Kisarufi
Kusikiliza kwa Kina
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO,
kutambua mandhari na ploti katika tamthilia
kueleza umuhimu wa mandhari na ploti ili kuubanishac)kujadili mandhari na ploti ya tamthilia aliyosomad)kuchangamkia nafasi ya mandhari na ploti katika tamthilia

kutambua matumizi ya alama za mtajo na mshazari katika matini

kutumia ipasavyo alama za mtajo namshazari katika matini

kufurahia matumizi yafaayo yaalama za mtajo na mshazarikatika matini
kutambua nomino za ngeli ya I-ZI naI-I katika matini
kutambua upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya I-ZI naI-I katika sentensi
kutumia nomino za ngeli yaI-ZI na I-I katika matini kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi
kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-ZI na I-I ipasavyo katika sentensi na vifungu ili kuimarisha mawasiliano
kutambua sauti /k/na/gh/ katika silabi na maneno
kutamka sauti /k/ na /gh/ipasavyo katika silabi na maneno
kutumia maneno yenye sauti /k/na/gh/ ipasavyo katika matiniili kuyatofautisha kimatamshi
kuchangamkia matamshi bora ya sauti /k/na /gh/ katika mazungumzo ya kawaida ili kufanikisha mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:

kutambua mandhari mbalimbali katika tamthilia akiwa peke yake au katika kikundi
kueleza umuhimu wa mandhari katika katika tamthilia akiwa peke yake au katika kikundi

kuandika kwa ufupi kuhusu mandhari katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu

kuwawasilishia wenzake darasani uchambuzi wake kuhusu mandhari

kusoma chapisho la tamthilia au kutoka mtandaoni na kutambua mandhari yake

kutambua ploti ya tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu akiwa peke yake aukwa kushirikiana na wenzake

kujadili umuhimu wa ploti ya tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu akiwa peke yake au na wenzake

kuandaa muhtasari kuhusu ploti ya tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu

kuwawasilishia wenzake darasani uchambuzi wake kuhusu ploti ya tamthiliaaliyosoma

kumweleza mzazi au mlezi kuhusu mandhari na ploti katika tamthilia aliyosoma.
kutambua matumizi ya alama za mtajo na mshazari kwenye matini andishi au za kidijitali (k.v. kutumia alama za nukuu mwanzoni na mwishoni mwa usemi halisi) kutumia mshazari (k.vkutenga maneno katika sentensi, kuchukua nafasi ya
kuchopoa nomino za ngeli ya I-ZI (k.v. ndizi, ndoo, ngozi, kamba, njia n.k), na I-I (k.v chumvi, sukari, simanzi, n.k.) kwenye chati, kadi maneno,kapu maneno au tarakilishi
kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya I-ZI na I-I katika sentensi na mafungu ya maneno akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi
kutaja majina katika mazingira ya shuleni yaliyo katika ngeli ya I-ZI (k.v. ngazi, bendera,) na I-I (kv mvua, sukari, n.k.)akiwa na wenzake katika kikundi
kutenga nomino za ngeli ya I-ZI na I-I katika orodha ya nomino, sentensi au vifungu kwenye vitabu, tarakilishi, chati kwa kuzikolezea winoau kuzipigia mstari?kutunga sentensi au vifungu vyenye upatanisho ufaao wa kisarufi kuhususuala lengwakwa kutumia nomino za ngeli ya I-ZI na I-I akiwa peke yake, wawiliwawili aukatikakikundi?kumtajia mzaziau mlezi majina ya vifaa yaliyo katika ngeliya I-ZI (k.v ndoo, sahani, kamba, sabuni, nyanya, karoti,ngozi n.k) naI-I(k.v chai, kahawa, n.k.)katika mazingira ya nyumbani.
kutambua sauti /k/na/gh/katika maneno na silabi (k.v. kali/ghali; karama/gharama n.k) akiwa peke yake au wawiliwawili
kutambua maneno yenye sauti / k/na/gh/ katika matini andishi auza kidijitali na kuyatamka ipasavyo akiwa na wenzake
kutunga vitanzandimi vinavyotumia sauti /k/ na /gh/ na kujirekodi kwa kutumia kifaa cha kidijitali (k.v simu, tabuleti, redio na kanda za sauti)
kusikiliza akiwa na wenzake vitanzandimi alivyovirekodi ili kuvitathmini
kumwasilishiamzaziau mlezi mazungumzo kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia matamshi bora ya sauti /k/na/gh/.
Ni mandhari gani unayokumbuka yaliyo katika tamthilia ulizowahi kusoma? Ploti ina umuhimu gani katika tamthilia ulizowahi kusoma?
Tarakilishi/vipakatalish
Kinasasauti
Rununu Projekta Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti
Rununu Kamusi mbalimbali

OUP,Kiswahili
Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.59
Kielelezo cha insha ya masimuliziKielelezo cha insha ya maelezoKielelezo cha insha ya wasifuNakala ya barua ya kirafikiNakala ya barua rasmi
OUP,Kiswahili
Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.60
Tarakilishi/vipakatalishiKinasasauti
RununuProjektaKapu manenoMti maneno
Kadi maneno
Picha za vitu mbalimbaliMichoroChatiMabango
SanamuNyenzo halisi
OUP,Kiswahili
Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.61
?Chati ?Michoro na picha
?Mgeni mwalikwa ?Vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi/vipakatalishi, kinasasauti, rununu, projekta, video) ?Mti maneno
?Kapu maneno
?Vitabu mbalimbali
Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.62
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa Kujibu maswali k.m. katika ufahamu Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa Kusoma kwa sauti Wanafunzi kufanyiana tathmini Potfolio Shajara
8 3
KUSOMA
KUANDIKA
SARUFI
Ufahamu wa Kifungu cha Kushawishi
Insha za KubuniMasimulizi
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO,

kutambua habari mahususi katika kifungu cha ufahamu

kutabiri matukio katika kifungu cha ufahamu

kueleza maana ya msamiati na vifungu vya maneno katika kifungu cha ufahamu

kujadili ushawishi katika kifungu cha ufahamu

kuchangamkia usomaji wa ufahamu shawishi ili kukuzahamu ya ujifunzaji
kutambua vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo katika insha ya masimulizi
kujadili vipengele vinavyojenga wazo katika aya kuhusu insha ya masimulizi
kuandika insha ya masimulizi akikuza wazo katika aya ipasavyo
kufurahiautunzi wa insha za masimulizi zenye mpangilio mzuri wa wazo
kutambua nomino katika ngeli ya U -U na U -YA katika matini
kutambua upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U -U na U -YA katika sentensi
kutumia nomino katika ngeli ya U -U na U -YA kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi
kuchangamkia kutumia nomino katika ngeli ya U-U na U -YA ipasavyo ili kuimarisha umilisi wa lugha
Mwanafunzi aelekezwe:

kusoma ufahamu wa kifungu cha kushawishi kutoka kwa vitabu au vifaa vya kidijitali na kudondoa habari mahususi (k.v. nani, nini, wapi, lini, n.k.)

kutabiri matukio katika kifungu cha ufahamucha kushawishi akishirikiana na wenzake katika kikundi

kueleza maana ya msamiati kuhusu suala lengwa (k.v. maneno na nahau) katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi na kuueleza kwa kutumia kamusi akiwa peke yakeau katika kikundi

kujadili ushawishi katika kifungu cha ufahamu akishirikiana na wenzake katika kikundi

kuwawasilishia wenzake kazi yake ili wamtolee maoni
kutambua vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo (k.v. mada, utangulizi, kati, hitimisho,n.k.)katika insha ya masimulizi katikamatini za kimaandishi na za kidijitali akiwa peke yake au katika kikundi
kutambua ukuzaji wa wazo katika kila aya ya insha ya masimulizi katika matini za kimaandishi au za kidijitali akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi
kushirikiana na wenzake kueleza jinsi wazo lilivyokuzwa katika kila aya ya insha ya masimulizi (k.v. kila wazo kuu kuwa katika aya yake, kutoa maelezo toshelevu kwa kila hoja kuu katika aya yake, kuepuka urudiaji au uchanganyaji wa hoja katika aya, n.k.)
kushirikiana na wenzake kujadili vipengele vinavyojenga mawazo
kuandika vidokezo vya insha vinavyozingatia ukuzaji wa wazo katika kila aya akishirikiana na wenzake
kuandika insha ya masimulizi akizingatiaukuzaji wa wazo katika kila ayana vipengele vinavyojenga mawazo hayo
kuwasomea wenzake katika kikundi insha aliyoandika au awasambazie kwenye vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni
kushirikiana na wenzake kusahihisha insha ya maelezo aliyoandika kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia ukuzaji wa wazo katika kila aya
kuchopoa nomino za ngeli ya U -U (k.v uji, ugoro, umaskini urafiki, n.k) naU-YA (k.v. ugonjwa -magonjwa, uovu: maovu, ulezi-malezi,n.k.)kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au tarakilishi akiwa peke yake au katika kikundi
kutenga nomino za ngeli ya U -U na U -YA katika orodha ya nomino, sentensi au vifungu kwenye vitabu, vifaa vya kidijitali, chati kwa kuzikolezea wino au kuzipigia mstari akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi
kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli yaU -U na U -YA katika sentensi na vifungu akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi
kutunga sentensi au vifungu vyenye upatanisho ufaao wa kisarufi kuhusu suala lengwa kwa kutumia nomino zangeli ya U-U na U -YA akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi
Ni kwa njia gani tunaweza kutambua ujumbe wenye lengo la kushawishi katika habari?
Tarakilishi/vipakatalish
Kinasasauti
Rununu Projekta Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti
Rununu Kamusi mbalimbali

OUP,Kiswahili
Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.63
Kielelezo cha insha ya masimuliziKielelezo cha insha ya maelezoKielelezo cha insha ya wasifuNakala ya barua ya kirafikiNakala ya barua rasmi
OUP,Kiswahili
Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.64
Tarakilishi/vipakatalishiKinasasauti
RununuProjektaKapu manenoMti maneno
Kadi maneno
Picha za vitu mbalimbaliMichoroChatiMabango
SanamuNyenzo halisi
OUP,Kiswahili
Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.65
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa Kujibu maswali k.m. katika ufahamu Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa d)Kusoma kwa sauti Wanafunzi kufanyiana tathmini Potfolio Shajara
8 4
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
KUSOMA
KUANDIKA
SARUFI
Hadithi Hurafa naHekaya
Kusoma kwa KinaTamthilia
Barua ya Kuomba Msaada
Vinyume vya Vitenzi na Vielez
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO,

kueleza maana ya hurafa na hekaya ili kuzibainisha

kueleza ujumbe katika hurafa na hekaya

kujadili vipengele vya uwasilishaji wa hurafa na hekayad)kusimuliahurafa na hekaya kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji
kufurahia hurafa na hekaya kama vipera vya fasihi simulizi
kutambua wahusika katika tamthiliaaliyosoma
kujadili sifa za wahusika katika tamthilia
kujadili mafunzo yanayotokana na wahusika katika tamthilia
kujenga mazoea ya usomaji wa kazi za kifasihi ili kukuza hamu ya ujifunzaji.
kutambua vipengele vya kimuundo vya barua rasmi ya kuomba msaada
kutambua ujumbe katika barua rasmi ya kuomba msaada
kuandika barua rasmi ya kuomba msaada kwa kuzingatia ujumbe,muundo na lugha ifaayo
kufurahia kujieleza ifaavyo kwanjia yabarua
kueleza maana ya kinyume cha maneno ili kuibainisha
kutambua vinyume vya vitenzi na vielezi katika matini
kutumia ipasavyo vinyume vya vitenzi na vielezi katika matini
kuchangamkia kutumia vinyume vya vitenzi na vielezi katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:

kusikiliza kielelezo cha hadithi ya hurafa na hekaya kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au kifaa cha kidijitali(k.v. redio, rununu, kipakatalishi na runinga).

kueleza maanaya hurafa na hekaya ili kuzibainisha akiwa peke yake au katika kikundi

kueleza ujumbe katika hurafa na hekaya akiwa na wenzake katika kikundi

kujadili akiwa na mwenzake vipengele vya uwasilishaji wa hurafa na hekaya

kuwasilisha hurafa na hekaya kuzingatia vipengele vya uwasilishaji (kiini cha hadithi, kiwango cha lugha, mpangilio wa matukio, sauti, ishara za mwili)

kujirekodi akitamba hurafa na hekaya kwa kutumia vifaa vya kidijitali na kusikiliza akiwa na wenzake

kushirikiana na mzazi au mlezi kutambua hurafa na hekaya kutoka kwa jamii yake nakujadili ujumbe unaojitokeza katika hadithi hizo.
kutambua wahusikakatika tamthilia aliyoisoma akiwa peke
kujadili sifa za wahusika katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu (k.v. usiri, uovu, ukali, udadisi, n.k.)akiwa na wenzake katika kikundi
kuigiza wahusika katika tamthilia akiwa na wenzake katika kikundi ili kukuza uelewa wa sifa zao
kueleza uhusiano kati ya wahusika katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu wakiwa wawiliwawilikutazama video kuhusu wahusika katika tamthilia aliyosoma akiwa na wenzake
kuandaa muhtasari kuhusu sifa za wahusika katika video aliyotazama
kujadili mafunzo yanayotokana namatendo ya wahusika akiwa na wenzake katika kikundi
kujadili katika kikundi vipengele vya kimuundo vya barua rasmi ya kuomba msaada (k.v. anwani, suala linaloshughulikiwa, sahihi n.k.)
kutambua ujumbe unaoafiki barua rasmi ya kuomba msaada kwa kujadiliana na mwenzake
kujadili na wenzake kuhusu lugha inayofaa katika uandishi wa barua rasmi ya kuomba msaada
kuandika barua rasmi ya kuomba msaada kuhusu masuala mbalimbali na kuwasomea wenzake darasani ili waitolee maoni
kuandika barua ya kuomba msaada katika kifaa cha kidijitali na kuwasambazia wenzake kupitia mtandao ili waitolee maoni
kujadili maana ya kinyume cha maneno akiwa na mwenzake au katika kikundi
kutambua vinyume vya vitenzi (k.v. simama-keti, cheka-lia, vaa-vua, n.k.) na vielezi (k.v.haraka haraka-polepole,asubuhi-jioni)kwa kutumia kadi maneno, mti maneno, kapu maneno akiwa na mwenzake
kutambua vinyume vya vitenzi na vielezi katika matini(k.v orodha ya maneno, sentensi na vifungu vya maneno) akiwa peke yake
kuchagua sentensi zinazoashiria matumizi ya vinyume vya vitenzi na vielezi kutoka kwa sentensi mbalimbali kwenye vitabu, tarakilishi au chati akiwa na mwenzake
kutunga sentensi sahihi akitumia vinyume vya vitenzi na vielezikusakura mtandaoni au kutafiti katika vitabu vya ziada ili kupata vinyume zaidi vya vitenzi na vielezi
kumsomea mzazi au mlezi sentensi alizotunga kuhusu vinyume vya vitenzi na vielezi.
Je, hadithi ambayo umewahi kusikiliza ilihusu wanyama gani? Je, hurafa na hekaya hutofautianaje?
?Chati ?Michoro na picha
?Mgeni mwalikwa ?Vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi/vipakatalishi, kinasasauti, rununu, projekta, video) ?Mti maneno
?Kapu maneno
?Vitabu mbalimbali
OUP,Kiswahili
Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.66
Tarakilishi/vipakatalish
Kinasasauti
Rununu Projekta Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti
Rununu Kamusi mbalimbali

Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.67
Kielelezo cha insha ya masimuliziKielelezo cha insha ya maelezoKielelezo cha insha ya wasifuNakala ya barua ya kirafikiNakala ya barua rasmi
Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.68
Tarakilishi/vipakatalishiKinasasauti
RununuProjektaKapu manenoMti maneno
Kadi maneno
Picha za vitu mbalimbaliMichoroChatiMabango
SanamuNyenzo halisi
Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.69
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno na majibu Mijadala Mazungumzo hMatumizi ya ishara za mwili k.v ishara za uso, za mikono na mabega kuimarisha masimulizi yake Wanafunzi kufanyiana tathmini
9 1
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
KUSOMA
KUANDIKA
Kuzungumza kwa Kutumia Vidokezo
Kusoma kwa MapanaMatini za Kujichagulia
Inshaza Kubuni Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO,

kueleza maana ya kuzungumza kwakutumia vidokezo

kutambua umuhimu wa kuzungumza kwa kutumia vidokezo

kutambua miktadha katika jamii ambapokuzungumza kwakutumia vidokezo hufanywa

kujadilivipengele vya kuzingatia katika kuzungumza kwakutumia vidokezo

kutoamazungumzo kwa kutumia vidokezo ifaavyo

kujenga mazoea yakutumia vidokezo katika mazungumzo ili kufanikisha mawasiliano
kuteua matini ifaayo ya kujisomea
kueleza ujumbe katika matini ya kujichagulia
kutambua maana za msamiati na matumizi mengine ya lugha katika matini ya kujichagulia
kujenga mazoea yakusoma matini mbalimbali katika maisha ya kila siku
kujadili vipengele vya insha ya maelezo
kuandika insha ya maelezo ipasavyo kwa kuzingatiavipengele vyake
kufurahia kuandika insha zamaelezo katika maisha ya kilasiku
Mwanafunzi aelekezwe:

kueleza maana ya kuzungumza kwa kutumia vidokezo akiwa peke yake au katika kikundi

kujadili na wenzake umuhimu wa kuzungumza kwa kutumia vidokezo

kutambua miktadha katika jamii yake ambamo anahitajikuzungumza kwa kutumia vidokezo(k.v. anapowazungumzia wenzake shuleni kuhusu haki za watoto, akiwa mzungumzaji maalum katikakongamano, katika semina, anapomtambulisha mgeni wa heshima katika hafla fulanin.k.)

kujadilivipengele vya kuzingatiakatika kuzungumza kwakutumia vidokezo (k.vkubainisha kiini cha mazungumzo, (je, ni ya kupasha habari? Ni ya kushawishi? Ili kuteua lugha mwafaka),mpangilio wa mawazokimantiki, kutosoma vidokezo; kuvitazama kwaufupi tu, kufanya mazoezi kabla ya kuzungumza, kuviweka juu ya meza wakati wa kuzungumza, n.k) akiwa na wenzakekatika kikundi

kusikiliza au kutazama aina mbalimbali za mazungumzo kutoka kwenye vifaa vya kidijitali, mgeni mwalikwa au wenzakena kubainishavipengele vilivyozingatiwa

kuandaa vidokezo kuhusu suala lengwa akiwa peke yake

kuwawasilishia wenzake mazungumzo kuhusu suala lengwa kwa kutumia vidokezo alivyoandaa ili wayatolee maoni

kumwasilishia mzaziau mlezi vidokezo vya mazungumzo kuhusu suala lengwa ili atoe maoni yake
kuteua matini ifaayo ya kujisomea
kueleza ujumbe wa matini ya kujichagulia aliyosoma
kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia (k.v ya kisayansi, kisiasa, kihistoria, kifasihi, michezo, n.k.) akiwa peke yake
kutumia kamusi kutafuta maana za maneno asiyoyajua
kujenga rekodi ya msamiati aliojifunza katika kitabu
kumtungia mwenzake sentensi akitumia msamiati katika matini aliyoisoma
kutoa muhtasari wa matini ya kujichagulia aliyosoma na kuwasilisha kwa wenzake ili waitolee maoni
kusakura mtandaoni na kujichagulia matini ya ziada kisha aisome
kueleza maana ya insha ya maelezo kwa kurejelea matini mbalimbalikutafiti maktabani au mtandaoni vipengele vya insha ya maelezo
kujadili na wenzake vipengele vya insha ya maelezo alivyotafiti mtandaoni
kuandika insha ya maelezo kwa kuzingatia vipengele vifaavyo
kuwasomea wenzake katika kikundi insha aliyoandika au kuwasambazia kwenye vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni
kushirikiana na wenzake kusahihisha insha walizoandika na kutoleana maoni kwa amani na upendo
Kwa nini ni muhimu kuandaa vidokezo unapozungumza?
?Chati ?Michoro na picha
?Mgeni mwalikwa ?Vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi/vipakatalishi, kinasasauti, rununu, projekta, video) ?Mti maneno
?Kapu maneno
?Vitabu mbalimbali
OUP,Kiswahili
Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.70
Tarakilishi/vipakatalish
Kinasasauti
Rununu Projekta Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti
Rununu Kamusi mbalimbali

Gredi Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.71
Kielelezo cha insha ya masimuliziKielelezo cha insha ya maelezoKielelezo cha insha ya wasifuNakala ya barua ya kirafikiNakala ya barua rasmi
Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.72
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno na majibu Mijadala MazungumzoMatumizi ya ishara za mwili k.v ishara za uso, za mikono na mabega kuimarisha masimulizi yake Wanafunzi kufanyiana tathmini
9 2
SARUF
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
KUSOMA
KUSOMA
Kusoma
Mnyambuliko wa Vitenzi
Kusikiliza kwa Makini
Kusoma kwa Ufasaha
Kusoma kwa Ufasaha
Kusoma kwa ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO,

kutambua kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda katika vitenzi

kutumia ipasavyo vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda katika matini

kuchangamkia kutumia ipasavyo vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda ili kuimarisha mawasiliano
FUNZO,
kueleza habari katika matini ya kusikiliza
kukadiria maana ya msamiatimahususi na vifungu katika matini ya kusikiliza
kuziwasilisha hoja muhimu katika habari aliyosikilizakwa kufuata mpangilio ufaao
kujenga mazoea ya kufurahia kusikiliza vifungu vya kusikiliza ili kuimarisha uwezo wa kusikiliza
FUNZO,
kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora
kusoma kifungu kwa kasi ifaayo
kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo
kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo
kuridhia kusoma makala kwa kuzingatia vipengele vinavyofanikisha mawasiliano.
kipindi,

Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora, kasi ifaayo, sauti ipasavyo kisha kuambatanisha ishara zifaazo.
Kujadiliana kuhusu usomaji wao wa kifungu kuhusu
Mwanafunzi aelekezwe:

kutambua vitenzikatika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda (kv. eleweka, tembelewa, chezacheza n.k)mtawalia akiwa peke yake

kuteua vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda (k.v. limika, bebewa, sukasuka n.k) mtawalia, kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno autarakilishi akiwa na mwenzake

kutenga vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda katika sentensi na vifungu kwenye vitabu, tarakilishi,chati kwa kuvikolezeawino au kuvipigia mstari

kugeuza vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda akiwa na wenzake katika kikundi

kutunga sentensi au vifungu kuhusu suala lengwa kwa kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa nakutendatenda akiwa peke na mwenzake

kujaza mapengo kwa kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda akiwa peke yake au wawiliwawili
kutambua hoja muhimu katika habari aliyosikiliza kuhusu suala lengwa kutoka kwa mwalimu, kifaa cha kidijitali, mgeni mwalikwa au wenzake akiwa peke yake
kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini aliyosikiliza
kuelezea mwenzakemaana ya msamiati katika matini ya kusikiliza
kueleza hoja muhimualiyotambua kutoka matini aliyosikilizakwa maneno machache
kuwawasilishia wenzake hoja muhimu katika habari aliyosikilizakwa kufuata mpangilio ufaao
kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha (matamshi bora, kasi ifaayo, sauti ifaayo, ishara zifaazo)
kutazama vielelezo vya video za watu wanaosoma kwa ufasaha makala (k.v hotuba, taarifa ya habari, n.k.) akiwana wenzake
kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali akizingatia matamshi borakusoma kifungu cha habari kwa kasi ifaayo kuhusu suala lengwa
kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo (k.v kiwango cha sauti na kiimbo)akiwa katika kikundikusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa (k.v ishara za uso na mikono) akiwa na wenzake katika kikundi
kusoma mbele ya wenzake kazi yake ili wamtolee maoni
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora, kasi ifaayo, sauti ipasavyo kisha kuambatanisha ishara zifaazo.

Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kujadiliana kuhusu usomaji wao wa kifungu kuhusu
Kwa nini ni muhimu kujifunza kauli za vitenzi
Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti

Rununu Projekta Kapu maneno Mti maneno
Kadi maneno
Picha za vitu mbalimbali Michoro Chati Mabango
Sanamu Nyenzo halisi

OUP,Kiswahili
Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.73
?Chati ?Michoro na picha
?Mgeni mwalikwa ?Vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi/vipakatalishi, kinasasauti, rununu, projekta, video) ?Mti maneno
?Kapu maneno
?Vitabu mbalimbali
Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.74
Tarakilishi/vipakatalish
Kinasasauti
RununuProjektaTarakilishi/vipakatalishiKinasasauti
Rununu Kamusi mbalimbali
OUP,Kiswahili
Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.75
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,

Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kutunga sentensi Kazi mradi
9 3
Kuandika
Sarufi
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa kina
Kuandika;
Sarufi
Insha ya Kiukamilifu - Hotuba
Insha ya Kiukamilifu - Hotuba
Aina za sentensi; Sentensi changamano
Wahusika katika hadithi
Mbinu za lugha
Insha za kubuni-Maelezo
Ukanushaji kwa kuzingatia hali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,

Kutaja watu ambao wamewahii kusikia au kuona wakizungumzia watu katika mikutano.
Kutambua hotuba ya kupasha habari katika matini.
Kusoma kifungu.
Kutathmini umuhimu wa hotuba.
Kutambua vigezo atakavyozingatia wakati wa kuandika hotuba.
Kuandika insha ya hotuba ya kupasha habari.
Kuchangamkia kuandika hotuba.
Kueleza maana ya sentensi changamano.
Kutambua sentensi changamano kutoka kwenye orodha iliyo katika kitabu cha mwanafunzi.
Kuchangamkia matumizi ya sentensi changamano.
Kusikiliza hadithi itakayosimuliwa na mwalimu au iliyorekodiwa.
Kueleza sifa za wahusika kutokana na matendo na tabia zao.
Kufurahi kusikiliza hadithi.
Kueleza maana ya mbinu za lugha katika fasihi.
Kutambua umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika tamthilia.
Kutathmini umuhimu wa mbinu za lugha.
Kueleza maana ya insha ya maelezo.
Kuandika insha ya maelezo.
Kuchangamkia kuandika insha ya maelezo.
Kueleza maana ya ukanushaji.
Kuorodhesha maneno ambayo yanaonyesha hali tofauti katika kifungu alichokisoma.
Kutathmini umuhimu wa ukanushaji.
Mwanafunzi aweze kutaja watu ambao wamewahii kusikia au kuona wakizungumzia watu katika mikutano.

Mwanafunzi aweze kutambua hotuba ya kupasha habari katika matini.

Mwanafunzi aweze Kusoma kifungu, Uk. 137
Mwanafunzi aweze kutambua vigezo atakavyozingatia wakati wa kuandika hotuba.
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya hotuba ya kupasha habari
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya sentensi changamano.
Mwanafunzi aweze kutambua sentensi changamano kutoka kwenye orodha iliyo katika kitabu cha mwanafunzi.
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi changamano kuhusu magonjwa yasiyoambukizwa.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kuimba wimbo,
Wanafunzi kueleza maana ya mbinu za lugha katika fasihi.
Wanafunzi waweze kutaja mbinu mbalimbali za lugha katika tamthilia.
Wanafunzi waweze kutambua umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika tamthilia.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kueleza
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze vigezo vinavyotumika katika kuandika insha ya maelezo.
Wanafunzi kuandika insha ya maelezo.
Wanafunzi kueleza maana ya ukanushaji.
Wanafunzi waweze kuorodhesha maneno ambayo yanaonyesha hali tofauti katika kifungu alichokisoma.
Je, hotuba ni nini?
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,

Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
9 4
Sarufi
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma
Kuandika
Sarufi
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma
Kuandika
Sarufi
Sarufi
Sarufi
Ukanushaji kwa kuzingatia nyakati
Hadithi- Matumizi ya lugha
Ufahamu wa kifungu cha mjadala
Insha ya maelekezo
Udogo wa nomino
Usikilizaji husishi
Ufupisho
Baruapepe ya kiofisi
Usemi halisi na usemi wa taarifa.
Sarufi; Usemi halisi na usemi wa taarifa.
Sarufi; Usemi halisi na usemi wa taarifa.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,

Kukanusha sentensi ziwe katika hali timilifu.
Kutunga sentensi katika hali timilifu.
Kutathmini umuhimu wa Ukanushaji.
Kusikiliza hadithi ikisimuliwa na mwalimu au iliyonaswa kwenye kifaa cha kidijitali.
Kutunga hadithi inayohusiana na kuweka akiba. Zingatia matumizi ya tashbihi, methali, nahau na urudiaji wa maneno ya bidhaa.
Kutathmini umuhimu wa hadithi.
Kusoma mjadala katika kitabu cha mwanafunzi.
Kueleza habari za kifungu cha mjadala kwa ufupi.
Kuchangamkia kusoma mijadala mbalimbali.
Kusoma maelekezo katika kitabu cha mwanafunzi.
Kutaja sifa za maelekezo kuhusu jinsi ya kuandika insha ya maelekezo.
Kutathmini umuhimu wa insha ya maelekezo.
Kuambatanisha nomino za hali ya wastani na hali ya ukubwa.
Kutunga sentensi akitumia nomino alizoandika katika hali ya ukubwa.
Kuchangamkia kutumia nomino katika hali ya ukubwa.
Kusikiliza mazungumzo atakayosomewa.
Kueleza maana za msamiati wa suala lengwa kama ilivyotumiwa katika mazungumzo.
Kutathmini umuhimu wa kusikiliza.
Kusoma matini katika kitabu cha mwanafunzi.
Kueleza kwa sentensi mojamoja ujumbe wa kila aya.
Kutathmini umuhimu wa ufupisho.
Kueleza maana ya baruapepe.
Kuandika baruapepe ya kiofisi
Kutathmini umuhimu wa baruapepe.
Kueleza maana ya usemi halisi.
Kubadilisha sentensi kutoka usemi wa taarifa hadi usemi halisi.
Kutunga sentensi katika usemi halisi.
Kuchangamkia kutumia sentensi katika usemi halisi.
Kueleza maana ya usemi wa taarifa.
Kubadilisha sentensi kutoka usemi halisi hadi usemi wa taarifa.
Kutunga sentensi katika usemi wa taarifa.
Kuchangamkia kutumia sentensi katika usemi wa taarifa.
Sarufi:
Usemi halisi na usemi wa taarifa
Wanafunzi kukanusha sentensi ziwe katika hali timilifu.

Wanafunzi kutunga sentensi katika hali timilifu.
Wanafunzi waweze kutaja vipengele vya lugha vinavyotumika katika hadithi.
Wanafunzi kusikiliza hadithi ikisimuliwa na mwalimu au iliyonaswa kwenye kifaa cha kidijitali.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kutunga hadithi inayohusiana na kuweka akiba. Zingatia matumizi ya tashbihi, methali, nahau na urudiaji wa maneno ya bidhaa.
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kusoma mjadala katika kitabu cha mwanafunzi Uk. 152
Wanafunzi kutambua msamiati mpya katika kifungu cha mjadala.
Kueleza habari za kifungu cha mjadala kwa ufupi.
Wanafunzi waweze kueleza habari za kifungu cha mjadala kwa ufupi.
Mwanafunzi aweze kusoma maelekezo katika kitabu cha mwanafunzi Uk. 153
Mwanafunzi aweze kutaja sifa za maelekezo kuhusu jinsi ya kuandika insha ya maelekezo.
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya maelekezo.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya udogo wa nomino.
Mwanafunzi kuambatanisha nomino za hali ya wastani na hali ya ukubwa.
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia nomino alizoandika katika hali ya ukubwa.
Wanafunzi waweze kusikiliza mazungumzo atakayosomewa na mwalimu.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kutabiri yatakayotokea kutokana na vidokezo katika mazungumzo.
Mwanafunzi kueleza maana za msamiati wa suala lengwa kama ilivyotumiwa katika mazungumzo.
Mwanafunzi kusoma matini katika kitabu cha mwanafunzi Uk. 162
Mwanafunzi kueleza kwa sentensi mojamoja ujumbe wa kila aya.
Mwanafunzi kuandika kwa ufupi bila kutoa ufafanuzi au mifano.
Wanafunzi kueleza maana ya baruapepe.
Wanafunzi kueleza vipengele vya kimuundo vya baruapepe ya kiofisi.
Mwanafunzi akiwa pekee yake kuandika baruapepe ya kiofisi.
Mwanafunzi kueleza maana ya usemi halisi.
Mwanafunzi waweze kubadilisha sentensi kutoka usemi wa taarifa hadi usemi halisi.
Mwanafunzi kutunga sentensi katika usemi halisi.
Mwanafunzi kueleza maana ya usemi wa taarifa.
Mwanafunzi waweze kubadilisha sentensi kutoka usemi halisi hadi usemi wa taarifa.
Mwanafunzi kutunga sentensi katika usemi wa taarifa.
Mwanafunzi
kueleza maana ya usemi wa taarifa. 
 
Mwanafunzi waweze kubadilisha sentensi kutoka usemi halisi hadi usemi wa
taarifa. 
 
Mwanafunzi kutunga sentensi katika usemi wa taarifa.
Je, unapotaka kukanusha sentensi unazingatia nini?
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi

Kamusi
Majarida
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,
Kamusi
Majarida
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,
Kamusi
Majarida
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,
Kamusi
Majarida
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,
Kamusi
Majarida
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi
KamusiMajarida
Vifaa vya kidijitali
Kamusi
Majarida
Kamusi
Majarida
  Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi  
 
Kamusi 
Majarida 
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi

Your Name Comes Here


Download

Feedback