If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI_ZA_UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | 1 |
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
|
Aina za UzungumzajiUzungumzaji waPapo kwa Papo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO, kueleza maana ya uzungumzaji wa papo kwa papoili kuupambanua kutambua vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa papo kwa papo kutoauzungumzaji wa papo kwa papo kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uzungumzaji kuchangamkia kutoauzungumzaji wa papo kwa papoili kufanikisha mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
kuelezamaana ya mazungumzoya papo kwa papo akiwa peke yake au katika kikundi kubainishavipengele vya kuzingatia katika uzungumzajiwa papo kwa papo (k.v ukakamavu, ujumbe unaolenga hadhira husika,ubanifu, upangajihoja, utumiaji wa lugha ya kawaida, utumiaji wa ishara, utumiaji wa sauti ifaayo) akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi kusikilizauzungumzaji wa papo kwa papo kuhusu suala lengwa yakitolewana mwalimu, wenzake, mgeni mwalimu au kutoka kwenye vifaa vya kidijitali na kutathmini vipengele vya uwasilishaji vilivyotumika kushiriki katika uzungumzaji wa papo kwa papoakizingatia vipengele vifaavyo kubuni uzungumzaji mwepesi wa papo kwa papokuhusu suala lengwa akizingatia vipengele vifaavyona kuwawasilishiawenzake katika kikundi ili wautathmini |
Unazingatia mambogani ili kufanikisha uzungumzaji wa papo kwa papo?
|
?Chati ?Michoro na picha
?Mgeni mwalikwa ?Vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi/vipakatalishi, kinasasauti, rununu, projekta, video) ?Mti maneno ?Kapu maneno ?Vitabu mbalimbali OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.58 |
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno na majibu
Mijadala g)Mazungumzo Matumizi ya ishara za mwili k.v ishara za uso, za mikono na mabega kuimarisha masimulizi yake
Wanafunzi kufanyiana tathmini
|
|
1 | 2 |
KUSOMA
|
Kusoma kwa KinaTamthilia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO, kutambua mandhari na ploti katika tamthilia kueleza umuhimu wa mandhari na ploti ili kuubanishac)kujadili mandhari na ploti ya tamthilia aliyosomad)kuchangamkia nafasi ya mandhari na ploti katika tamthilia |
Mwanafunzi aelekezwe:
kutambua mandhari mbalimbali katika tamthilia akiwa peke yake au katika kikundi kueleza umuhimu wa mandhari katika katika tamthilia akiwa peke yake au katika kikundi kuandika kwa ufupi kuhusu mandhari katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu kuwawasilishia wenzake darasani uchambuzi wake kuhusu mandhari kusoma chapisho la tamthilia au kutoka mtandaoni na kutambua mandhari yake kutambua ploti ya tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu akiwa peke yake aukwa kushirikiana na wenzake kujadili umuhimu wa ploti ya tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu akiwa peke yake au na wenzake kuandaa muhtasari kuhusu ploti ya tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu kuwawasilishia wenzake darasani uchambuzi wake kuhusu ploti ya tamthiliaaliyosoma kumweleza mzazi au mlezi kuhusu mandhari na ploti katika tamthilia aliyosoma. |
Ni mandhari gani unayokumbuka yaliyo katika tamthilia ulizowahi kusoma?
Ploti ina umuhimu gani katika tamthilia ulizowahi kusoma?
|
Tarakilishi/vipakatalish
Kinasasauti Rununu Projekta Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti Rununu Kamusi mbalimbali OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.59 |
Kutunga sentensi k.m. kwa
kutumia msamiati lengwa Kujibu maswali k.m. katika ufahamu Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa Kusoma kwa sauti Wanafunzi kufanyiana tathmini
Potfolio
Shajara
|
|
1 | 3 |

1 | 4 |
KUANDIKA
|
ViakifishiAlama za Mtajona Mshazari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO, kutambua matumizi ya alama za mtajo na mshazari katika matini kutumia ipasavyo alama za mtajo namshazari katika matini kufurahia matumizi yafaayo yaalama za mtajo na mshazarikatika matini |
Mwanafunzi aelekezwe:
kutambua matumizi ya alama za mtajo na mshazari kwenye matini andishi au za kidijitali (k.v. kutumia alama za nukuu mwanzoni na mwishoni mwa usemi halisi) kutumia mshazari (k.vkutenga maneno katika sentensi, kuchukua nafasi ya |
Je, alama za mtajo hutumiwa vipi katika maandishi?
Je, alama ya mshazari hutumiwa vipi katika maandishi?
|
Kielelezo cha insha ya masimulizi Kielelezo cha insha ya maelezo Kielelezo cha insha ya wasifu Nakala ya barua ya kirafiki Nakala ya barua rasmi
OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.60 |
Kuandika tungo mbalimbali Wanafunzi kufanyiana tathmini
Potfolio
Shajara
Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
|
|
2 | 1 |
SARUFI
|
geli na Upatanisho wa Kisarufi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua nomino za ngeli ya I-ZI naI-I katika matini kutambua upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya I-ZI naI-I katika sentensi kutumia nomino za ngeli ya I-ZI na I-I katika matini kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-ZI na I-I ipasavyo katika sentensi na vifungu ili kuimarisha mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
kuchopoa nomino za ngeli ya I-ZI (k.v. ndizi, ndoo, ngozi, kamba, njia n.k), na I-I (k.v chumvi, sukari, simanzi, n.k.) kwenye chati, kadi maneno,kapu maneno au tarakilishi kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya I-ZI na I-I katika sentensi na mafungu ya maneno akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi kutaja majina katika mazingira ya shuleni yaliyo katika ngeli ya I-ZI (k.v. ngazi, bendera,) na I-I (kv mvua, sukari, n.k.)akiwa na wenzake katika kikundi kutenga nomino za ngeli ya I-ZI na I-I katika orodha ya nomino, sentensi au vifungu kwenye vitabu, tarakilishi, chati kwa kuzikolezea winoau kuzipigia mstari?kutunga sentensi au vifungu vyenye upatanisho ufaao wa kisarufi kuhususuala lengwakwa kutumia nomino za ngeli ya I-ZI na I-I akiwa peke yake, wawiliwawili aukatikakikundi?kumtajia mzaziau mlezi majina ya vifaa yaliyo katika ngeliya I-ZI (k.v ndoo, sahani, kamba, sabuni, nyanya, karoti,ngozi n.k) naI-I(k.v chai, kahawa, n.k.)katika mazingira ya nyumbani. |
Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya I-ZI?2.Ni majina yapi unayojua ya ngeli ya I-I?
|
Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti
Rununu Projekta Kapu maneno Mti maneno Kadi maneno Picha za vitu mbalimbali Michoro Chati Mabango Sanamu Nyenzo halisi OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.61 |
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kutunga sentensi
Kazi mradi
|
|
2 | 2 |
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
|
Kusikiliza kwa Kina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO, kutambua sauti /k/na/gh/ katika silabi na maneno kutamka sauti /k/ na /gh/ipasavyo katika silabi na maneno kutumia maneno yenye sauti /k/na/gh/ ipasavyo katika matiniili kuyatofautisha kimatamshi kuchangamkia matamshi bora ya sauti /k/na /gh/ katika mazungumzo ya kawaida ili kufanikisha mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
kutambua sauti /k/na/gh/katika maneno na silabi (k.v. kali/ghali; karama/gharama n.k) akiwa peke yake au wawiliwawili kutambua maneno yenye sauti / k/na/gh/ katika matini andishi auza kidijitali na kuyatamka ipasavyo akiwa na wenzake kutunga vitanzandimi vinavyotumia sauti /k/ na /gh/ na kujirekodi kwa kutumia kifaa cha kidijitali (k.v simu, tabuleti, redio na kanda za sauti) kusikiliza akiwa na wenzake vitanzandimi alivyovirekodi ili kuvitathmini kumwasilishiamzaziau mlezi mazungumzo kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia matamshi bora ya sauti /k/na/gh/. |
Ni maneno yapi unayoyajua yaliyona sauti /k/na/gh/?
|
?Chati ?Michoro na picha
?Mgeni mwalikwa ?Vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi/vipakatalishi, kinasasauti, rununu, projekta, video) ?Mti maneno ?Kapu maneno ?Vitabu mbalimbali OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.62 |
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno na majibu
Mijadala Mazungumzo Matumizi ya ishara za mwili k.v ishara za uso, za mikono na mabega kuimarisha masimulizi yake
|
|
2 | 3 |
KUSOMA
|
Ufahamu wa Kifungu cha Kushawishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO, kutambua habari mahususi katika kifungu cha ufahamu kutabiri matukio katika kifungu cha ufahamu kueleza maana ya msamiati na vifungu vya maneno katika kifungu cha ufahamu kujadili ushawishi katika kifungu cha ufahamu kuchangamkia usomaji wa ufahamu shawishi ili kukuzahamu ya ujifunzaji |
Mwanafunzi aelekezwe:
kusoma ufahamu wa kifungu cha kushawishi kutoka kwa vitabu au vifaa vya kidijitali na kudondoa habari mahususi (k.v. nani, nini, wapi, lini, n.k.) kutabiri matukio katika kifungu cha ufahamucha kushawishi akishirikiana na wenzake katika kikundi kueleza maana ya msamiati kuhusu suala lengwa (k.v. maneno na nahau) katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi na kuueleza kwa kutumia kamusi akiwa peke yakeau katika kikundi kujadili ushawishi katika kifungu cha ufahamu akishirikiana na wenzake katika kikundi kuwawasilishia wenzake kazi yake ili wamtolee maoni |
Ni kwa njia gani tunaweza kutambua ujumbe wenye lengo la kushawishi katika habari?
|
Tarakilishi/vipakatalish
Kinasasauti Rununu Projekta Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti Rununu Kamusi mbalimbali OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.63 |
Kutunga sentensi k.m. kwa
kutumia msamiati lengwa Kujibu maswali k.m. katika ufahamu Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa d)Kusoma kwa sauti Wanafunzi kufanyiana tathmini
Potfolio
Shajara
|
|
2 | 4 |

3 | 1 |
KUANDIKA
|
Insha za KubuniMasimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo katika insha ya masimulizi kujadili vipengele vinavyojenga wazo katika aya kuhusu insha ya masimulizi kuandika insha ya masimulizi akikuza wazo katika aya ipasavyo kufurahiautunzi wa insha za masimulizi zenye mpangilio mzuri wa wazo |
Mwanafunzi aelekezwe:
kutambua vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo (k.v. mada, utangulizi, kati, hitimisho,n.k.)katika insha ya masimulizi katikamatini za kimaandishi na za kidijitali akiwa peke yake au katika kikundi kutambua ukuzaji wa wazo katika kila aya ya insha ya masimulizi katika matini za kimaandishi au za kidijitali akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi kushirikiana na wenzake kueleza jinsi wazo lilivyokuzwa katika kila aya ya insha ya masimulizi (k.v. kila wazo kuu kuwa katika aya yake, kutoa maelezo toshelevu kwa kila hoja kuu katika aya yake, kuepuka urudiaji au uchanganyaji wa hoja katika aya, n.k.) kushirikiana na wenzake kujadili vipengele vinavyojenga mawazo kuandika vidokezo vya insha vinavyozingatia ukuzaji wa wazo katika kila aya akishirikiana na wenzake kuandika insha ya masimulizi akizingatiaukuzaji wa wazo katika kila ayana vipengele vinavyojenga mawazo hayo kuwasomea wenzake katika kikundi insha aliyoandika au awasambazie kwenye vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni kushirikiana na wenzake kusahihisha insha ya maelezo aliyoandika kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia ukuzaji wa wazo katika kila aya |
Je, unawezaje kulikuzawazo vizuri katika insha ya masimulizi?
|
Kielelezo cha insha ya masimulizi Kielelezo cha insha ya maelezo Kielelezo cha insha ya wasifu Nakala ya barua ya kirafiki Nakala ya barua rasmi
OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.64 |
Kuandika tungo mbalimbali Wanafunzi kufanyiana tathmini
Potfolio
Shajara
Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
|
|
3 | 2 |
SARUFI
|
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO, kutambua nomino katika ngeli ya U -U na U -YA katika matini kutambua upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U -U na U -YA katika sentensi kutumia nomino katika ngeli ya U -U na U -YA kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi kuchangamkia kutumia nomino katika ngeli ya U-U na U -YA ipasavyo ili kuimarisha umilisi wa lugha |
Mwanafunzi aelekezwe:
kuchopoa nomino za ngeli ya U -U (k.v uji, ugoro, umaskini urafiki, n.k) naU-YA (k.v. ugonjwa -magonjwa, uovu: maovu, ulezi-malezi,n.k.)kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au tarakilishi akiwa peke yake au katika kikundi kutenga nomino za ngeli ya U -U na U -YA katika orodha ya nomino, sentensi au vifungu kwenye vitabu, vifaa vya kidijitali, chati kwa kuzikolezea wino au kuzipigia mstari akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli yaU -U na U -YA katika sentensi na vifungu akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi kutunga sentensi au vifungu vyenye upatanisho ufaao wa kisarufi kuhusu suala lengwa kwa kutumia nomino zangeli ya U-U na U -YA akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi |
Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya U -U?
Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya U-YA?
|
Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti
Rununu Projekta Kapu maneno Mti maneno Kadi maneno Picha za vitu mbalimbali Michoro Chati Mabango Sanamu Nyenzo halisi OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.65 |
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kutunga sentensi
Kazi mradi
|
|
3 | 3 |
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
|
Hadithi Hurafa naHekaya
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO, kueleza maana ya hurafa na hekaya ili kuzibainisha kueleza ujumbe katika hurafa na hekaya kujadili vipengele vya uwasilishaji wa hurafa na hekayad)kusimuliahurafa na hekaya kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji kufurahia hurafa na hekaya kama vipera vya fasihi simulizi |
Mwanafunzi aelekezwe:
kusikiliza kielelezo cha hadithi ya hurafa na hekaya kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au kifaa cha kidijitali(k.v. redio, rununu, kipakatalishi na runinga). kueleza maanaya hurafa na hekaya ili kuzibainisha akiwa peke yake au katika kikundi kueleza ujumbe katika hurafa na hekaya akiwa na wenzake katika kikundi kujadili akiwa na mwenzake vipengele vya uwasilishaji wa hurafa na hekaya kuwasilisha hurafa na hekaya kuzingatia vipengele vya uwasilishaji (kiini cha hadithi, kiwango cha lugha, mpangilio wa matukio, sauti, ishara za mwili) kujirekodi akitamba hurafa na hekaya kwa kutumia vifaa vya kidijitali na kusikiliza akiwa na wenzake kushirikiana na mzazi au mlezi kutambua hurafa na hekaya kutoka kwa jamii yake nakujadili ujumbe unaojitokeza katika hadithi hizo. |
Je, hadithi ambayo umewahi kusikiliza ilihusu wanyama gani?
Je, hurafa na hekaya hutofautianaje?
|
?Chati ?Michoro na picha
?Mgeni mwalikwa ?Vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi/vipakatalishi, kinasasauti, rununu, projekta, video) ?Mti maneno ?Kapu maneno ?Vitabu mbalimbali OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.66 |
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
Kujibu maswali
Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno na majibu
Mijadala Mazungumzo hMatumizi ya ishara za mwili k.v ishara za uso, za mikono na mabega kuimarisha masimulizi yake
Wanafunzi kufanyiana tathmini
|
|
3 | 4 |

4 | 1 |
KUSOMA
|
Kusoma kwa KinaTamthilia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO, kutambua wahusika katika tamthiliaaliyosoma kujadili sifa za wahusika katika tamthilia kujadili mafunzo yanayotokana na wahusika katika tamthilia kujenga mazoea ya usomaji wa kazi za kifasihi ili kukuza hamu ya ujifunzaji. |
Mwanafunzi aelekezwe:
kutambua wahusikakatika tamthilia aliyoisoma akiwa peke kujadili sifa za wahusika katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu (k.v. usiri, uovu, ukali, udadisi, n.k.)akiwa na wenzake katika kikundi kuigiza wahusika katika tamthilia akiwa na wenzake katika kikundi ili kukuza uelewa wa sifa zao kueleza uhusiano kati ya wahusika katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu wakiwa wawiliwawili kutazama video kuhusu wahusika katika tamthilia aliyosoma akiwa na wenzake kuandaa muhtasari kuhusu sifa za wahusika katika video aliyotazama kujadili mafunzo yanayotokana namatendo ya wahusika akiwa na wenzake katika kikundi |
Ni mambo yapi yanayokuelekeza kuwaelewa wahusika katika tamthilia?
Je, ni mambo gani tunayoweza kujifunza kutokana na wahusika wa tamthilia?
|
Tarakilishi/vipakatalish
Kinasasauti Rununu Projekta Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti Rununu Kamusi mbalimbali OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.67 |
Kutunga sentensi k.m. kwa
kutumia msamiati lengwa Kujibu maswali k.m. katika ufahamu Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa Kusoma kwa sauti Wanafunzi kufanyiana tathmini
Potfolio
Shajara
|
|
4 | 2 |
KUANDIKA
|
Barua ya Kuomba Msaada
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO, kutambua vipengele vya kimuundo vya barua rasmi ya kuomba msaada kutambua ujumbe katika barua rasmi ya kuomba msaada kuandika barua rasmi ya kuomba msaada kwa kuzingatia ujumbe,muundo na lugha ifaayo kufurahia kujieleza ifaavyo kwanjia yabarua |
Mwanafunzi aelekezwe:
kujadili katika kikundi vipengele vya kimuundo vya barua rasmi ya kuomba msaada (k.v. anwani, suala linaloshughulikiwa, sahihi n.k.) kutambua ujumbe unaoafiki barua rasmi ya kuomba msaada kwa kujadiliana na mwenzake kujadili na wenzake kuhusu lugha inayofaa katika uandishi wa barua rasmi ya kuomba msaada kuandika barua rasmi ya kuomba msaada kuhusu masuala mbalimbali na kuwasomea wenzake darasani ili waitolee maoni kuandika barua ya kuomba msaada katika kifaa cha kidijitali na kuwasambazia wenzake kupitia mtandao ili waitolee maoni |
Je ni mambo gani yanayoweza kukufanya kuomba msaada?
Je, ni vipengele vipi unazingatia wakati unapoandika barua ya kuomba msaada?
|
Kielelezo cha insha ya masimulizi Kielelezo cha insha ya maelezo Kielelezo cha insha ya wasifu Nakala ya barua ya kirafiki Nakala ya barua rasmi
OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.68 |
Kuandika tungo mbalimbali Wanafunzi kufanyiana tathmini
Potfolio
Shajara
Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
|
|
4 | 3 |
SARUFI
|
Vinyume vya Vitenzi na Vielez
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO, kueleza maana ya kinyume cha maneno ili kuibainisha kutambua vinyume vya vitenzi na vielezi katika matini kutumia ipasavyo vinyume vya vitenzi na vielezi katika matini kuchangamkia kutumia vinyume vya vitenzi na vielezi katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
kujadili maana ya kinyume cha maneno akiwa na mwenzake au katika kikundi kutambua vinyume vya vitenzi (k.v. simama-keti, cheka-lia, vaa-vua, n.k.) na vielezi (k.v.haraka haraka-polepole,asubuhi-jioni)kwa kutumia kadi maneno, mti maneno, kapu maneno akiwa na mwenzake kutambua vinyume vya vitenzi na vielezi katika matini(k.v orodha ya maneno, sentensi na vifungu vya maneno) akiwa peke yake kuchagua sentensi zinazoashiria matumizi ya vinyume vya vitenzi na vielezi kutoka kwa sentensi mbalimbali kwenye vitabu, tarakilishi au chati akiwa na mwenzake kutunga sentensi sahihi akitumia vinyume vya vitenzi na vielezi kusakura mtandaoni au kutafiti katika vitabu vya ziada ili kupata vinyume zaidi vya vitenzi na vielezi kumsomea mzazi au mlezi sentensi alizotunga kuhusu vinyume vya vitenzi na vielezi. |
Je, ni vinyume gani vya vitenzi unavyojua?
.Je, unajua vinyume gani vya vielezi?
|
Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti
Rununu Projekta Kapu maneno Mti maneno Kadi maneno Picha za vitu mbalimbali Michoro Chati Mabango Sanamu Nyenzo halisi OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.69 |
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kutunga sentensi
Kazi mradi
|
|
4 | 4 |
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
|
Kuzungumza kwa Kutumia Vidokezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO, kueleza maana ya kuzungumza kwakutumia vidokezo kutambua umuhimu wa kuzungumza kwa kutumia vidokezo kutambua miktadha katika jamii ambapokuzungumza kwakutumia vidokezo hufanywa kujadilivipengele vya kuzingatia katika kuzungumza kwakutumia vidokezo kutoamazungumzo kwa kutumia vidokezo ifaavyo kujenga mazoea yakutumia vidokezo katika mazungumzo ili kufanikisha mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
kueleza maana ya kuzungumza kwa kutumia vidokezo akiwa peke yake au katika kikundi kujadili na wenzake umuhimu wa kuzungumza kwa kutumia vidokezo kutambua miktadha katika jamii yake ambamo anahitajikuzungumza kwa kutumia vidokezo(k.v. anapowazungumzia wenzake shuleni kuhusu haki za watoto, akiwa mzungumzaji maalum katikakongamano, katika semina, anapomtambulisha mgeni wa heshima katika hafla fulanin.k.) kujadilivipengele vya kuzingatiakatika kuzungumza kwakutumia vidokezo (k.vkubainisha kiini cha mazungumzo, (je, ni ya kupasha habari? Ni ya kushawishi? Ili kuteua lugha mwafaka),mpangilio wa mawazokimantiki, kutosoma vidokezo; kuvitazama kwaufupi tu, kufanya mazoezi kabla ya kuzungumza, kuviweka juu ya meza wakati wa kuzungumza, n.k) akiwa na wenzakekatika kikundi kusikiliza au kutazama aina mbalimbali za mazungumzo kutoka kwenye vifaa vya kidijitali, mgeni mwalikwa au wenzakena kubainishavipengele vilivyozingatiwa kuandaa vidokezo kuhusu suala lengwa akiwa peke yake kuwawasilishia wenzake mazungumzo kuhusu suala lengwa kwa kutumia vidokezo alivyoandaa ili wayatolee maoni kumwasilishia mzaziau mlezi vidokezo vya mazungumzo kuhusu suala lengwa ili atoe maoni yake |
Kwa nini ni muhimu kuandaa vidokezo unapozungumza?
|
?Chati ?Michoro na picha
?Mgeni mwalikwa ?Vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi/vipakatalishi, kinasasauti, rununu, projekta, video) ?Mti maneno ?Kapu maneno ?Vitabu mbalimbali OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.70 |
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno na majibu
Mijadala MazungumzoMatumizi ya ishara za mwili k.v ishara za uso, za mikono na mabega kuimarisha masimulizi yake
Wanafunzi kufanyiana tathmini
|
|
5 | 1 |
KUSOMA
|
Kusoma kwa MapanaMatini za Kujichagulia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO, kuteua matini ifaayo ya kujisomea kueleza ujumbe katika matini ya kujichagulia kutambua maana za msamiati na matumizi mengine ya lugha katika matini ya kujichagulia kujenga mazoea yakusoma matini mbalimbali katika maisha ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
kuteua matini ifaayo ya kujisomea kueleza ujumbe wa matini ya kujichagulia aliyosoma kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia (k.v ya kisayansi, kisiasa, kihistoria, kifasihi, michezo, n.k.) akiwa peke yake kutumia kamusi kutafuta maana za maneno asiyoyajua kujenga rekodi ya msamiati aliojifunza katika kitabu kumtungia mwenzake sentensi akitumia msamiati katika matini aliyoisoma kutoa muhtasari wa matini ya kujichagulia aliyosoma na kuwasilisha kwa wenzake ili waitolee maoni kusakura mtandaoni na kujichagulia matini ya ziada kisha aisome |
Unavutiwa zaidi na nini unaposoma makala ya kujichagulia?
Unazingatia mambo gani wakati wa kusoma makala ya kujichagulia?
|
Tarakilishi/vipakatalish
Kinasasauti Rununu Projekta Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti Rununu Kamusi mbalimbali OUP,Kiswahili Gredi Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.71 |
Kutunga sentensi k.m. kwa
kutumia msamiati lengwa Kujibu maswali k.m. katika ufahamu Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwaKusoma kwa sauti Wanafunzi kufanyiana tathmini
Potfolio
Shajara
|
|
5 | 2 |

5 | 3 |
KUANDIKA
|
Inshaza Kubuni Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO, kujadili vipengele vya insha ya maelezo kuandika insha ya maelezo ipasavyo kwa kuzingatiavipengele vyake kufurahia kuandika insha zamaelezo katika maisha ya kilasiku |
Mwanafunzi aelekezwe:
kueleza maana ya insha ya maelezo kwa kurejelea matini mbalimbali kutafiti maktabani au mtandaoni vipengele vya insha ya maelezo kujadili na wenzake vipengele vya insha ya maelezo alivyotafiti mtandaoni kuandika insha ya maelezo kwa kuzingatia vipengele vifaavyo kuwasomea wenzake katika kikundi insha aliyoandika au kuwasambazia kwenye vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni kushirikiana na wenzake kusahihisha insha walizoandika na kutoleana maoni kwa amani na upendo |
Je, ni vipengele gani vya kuzingatia katika kuandika insha ya maelezo?
|
Kielelezo cha insha ya masimulizi Kielelezo cha insha ya maelezo Kielelezo cha insha ya wasifu Nakala ya barua ya kirafiki Nakala ya barua rasmi
OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.72 |
Kuandika tungo mbalimbali Wanafunzi kufanyiana tathmini
Potfolio
Shajara
Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
|
|
5 | 4 |
SARUF
|
Mnyambuliko wa Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO, kutambua kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda katika vitenzi kutumia ipasavyo vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda katika matini kuchangamkia kutumia ipasavyo vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda ili kuimarisha mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
kutambua vitenzikatika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda (kv. eleweka, tembelewa, chezacheza n.k)mtawalia akiwa peke yake kuteua vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda (k.v. limika, bebewa, sukasuka n.k) mtawalia, kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno autarakilishi akiwa na mwenzake kutenga vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda katika sentensi na vifungu kwenye vitabu, tarakilishi,chati kwa kuvikolezeawino au kuvipigia mstari kugeuza vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda akiwa na wenzake katika kikundi kutunga sentensi au vifungu kuhusu suala lengwa kwa kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa nakutendatenda akiwa peke na mwenzake kujaza mapengo kwa kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda akiwa peke yake au wawiliwawili |
Kwa nini ni muhimu kujifunza kauli za vitenzi
|
Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti
Rununu Projekta Kapu maneno Mti maneno Kadi maneno Picha za vitu mbalimbali Michoro Chati Mabango Sanamu Nyenzo halisi OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.73 |
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kutunga sentensi
Kazi mradi
|
|
6 | 1 |
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
|
Kusikiliza kwa Makini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO, kueleza habari katika matini ya kusikiliza kukadiria maana ya msamiatimahususi na vifungu katika matini ya kusikiliza kuziwasilisha hoja muhimu katika habari aliyosikilizakwa kufuata mpangilio ufaao kujenga mazoea ya kufurahia kusikiliza vifungu vya kusikiliza ili kuimarisha uwezo wa kusikiliza |
Mwanafunzi aelekezwe:
kutambua hoja muhimu katika habari aliyosikiliza kuhusu suala lengwa kutoka kwa mwalimu, kifaa cha kidijitali, mgeni mwalikwa au wenzake akiwa peke yake kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini aliyosikiliza kuelezea mwenzakemaana ya msamiati katika matini ya kusikiliza kueleza hoja muhimualiyotambua kutoka matini aliyosikilizakwa maneno machache kuwawasilishia wenzake hoja muhimu katika habari aliyosikilizakwa kufuata mpangilio ufaao |
Je, kwa nini ni muhimu kuwa na mpangilio ufaao wa hojakutoka habari uliyosikiliza?
|
?Chati ?Michoro na picha
?Mgeni mwalikwa ?Vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi/vipakatalishi, kinasasauti, rununu, projekta, video) ?Mti maneno ?Kapu maneno ?Vitabu mbalimbali OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.74 |
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno na majibu
Mijadala Mazungumzo Matumizi ya ishara za mwili k.v ishara za uso, za mikono na mabega kuimarisha masimulizi yake
Wanafunzi kufanyiana tathmini
|
|
6 | 2 |

6 | 3 |
KUSOMA
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO, kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora kusoma kifungu kwa kasi ifaayo kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo kuridhia kusoma makala kwa kuzingatia vipengele vinavyofanikisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha (matamshi bora, kasi ifaayo, sauti ifaayo, ishara zifaazo) kutazama vielelezo vya video za watu wanaosoma kwa ufasaha makala (k.v hotuba, taarifa ya habari, n.k.) akiwana wenzake kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali akizingatia matamshi bora kusoma kifungu cha habari kwa kasi ifaayo kuhusu suala lengwa kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo (k.v kiwango cha sauti na kiimbo)akiwa katika kikundi kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa (k.v ishara za uso na mikono) akiwa na wenzake katika kikundi kusoma mbele ya wenzake kazi yake ili wamtolee maoni |
Je, unaposoma kifungu unazingatia mambo gani ili kufanikisha usomaji?
|
Tarakilishi/vipakatalish
Kinasasauti Rununu Projekta Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti Rununu Kamusi mbalimbali OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.75 |
Kutunga sentensi k.m. kwa
kutumia msamiati lengwa Kujibu maswali k.m. katika ufahamu Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa Kusoma kwa sauti
|
|
6 | 4 |
KUSOMA
Kusoma |
Kusoma kwa Ufasaha
Kusoma kwa ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora, kasi ifaayo, sauti ipasavyo kisha kuambatanisha ishara zifaazo. Kujadiliana kuhusu usomaji wao wa kifungu kuhusu |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora, kasi ifaayo, sauti ipasavyo kisha kuambatanisha ishara zifaazo.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kujadiliana kuhusu usomaji wao wa kifungu kuhusu |
|
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
|
|
7 | 1 |
Kuandika
|
Insha ya Kiukamilifu - Hotuba
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutaja watu ambao wamewahii kusikia au kuona wakizungumzia watu katika mikutano. Kutambua hotuba ya kupasha habari katika matini. Kusoma kifungu. Kutathmini umuhimu wa hotuba. |
Mwanafunzi aweze kutaja watu ambao wamewahii kusikia au kuona wakizungumzia watu katika mikutano.
Mwanafunzi aweze kutambua hotuba ya kupasha habari katika matini. Mwanafunzi aweze Kusoma kifungu, Uk. 137 |
Je, hotuba ni nini?
|
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
7 | 2 |
Kuandika
Sarufi |
Insha ya Kiukamilifu - Hotuba
Aina za sentensi; Sentensi changamano |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vigezo atakavyozingatia wakati wa kuandika hotuba. Kuandika insha ya hotuba ya kupasha habari. Kuchangamkia kuandika hotuba. Kueleza maana ya sentensi changamano. Kutambua sentensi changamano kutoka kwenye orodha iliyo katika kitabu cha mwanafunzi. Kuchangamkia matumizi ya sentensi changamano. |
Mwanafunzi aweze kutambua vigezo atakavyozingatia wakati wa kuandika hotuba.
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya hotuba ya kupasha habari Mwanafunzi aweze kueleza maana ya sentensi changamano. Mwanafunzi aweze kutambua sentensi changamano kutoka kwenye orodha iliyo katika kitabu cha mwanafunzi. Mwanafunzi aweze kutunga sentensi changamano kuhusu magonjwa yasiyoambukizwa. |
Kwa nini hotuba hutolewa?
|
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
7 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Wahusika katika hadithi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusikiliza hadithi itakayosimuliwa na mwalimu au iliyorekodiwa. Kueleza sifa za wahusika kutokana na matendo na tabia zao. Kufurahi kusikiliza hadithi. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kuimba wimbo,
|
Umewahi kusimuliwa hadithi?
Je, hadithi hiyo ilikuwa na wahusika gani?
|
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
7 | 4 |
Kusoma kwa kina
Kuandika; |
Mbinu za lugha
Insha za kubuni-Maelezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya mbinu za lugha katika fasihi. Kutambua umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika tamthilia. Kutathmini umuhimu wa mbinu za lugha. Kueleza maana ya insha ya maelezo. Kuandika insha ya maelezo. Kuchangamkia kuandika insha ya maelezo. |
Wanafunzi kueleza maana ya mbinu za lugha katika fasihi.
Wanafunzi waweze kutaja mbinu mbalimbali za lugha katika tamthilia. Wanafunzi waweze kutambua umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika tamthilia. Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kueleza Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze vigezo vinavyotumika katika kuandika insha ya maelezo. Wanafunzi kuandika insha ya maelezo. |
Mbinu za lugha zina umuhimu gani zinapotumiwa katika tamthilia?
|
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
8 | 1 |
Sarufi
|
Ukanushaji kwa kuzingatia hali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya ukanushaji. Kuorodhesha maneno ambayo yanaonyesha hali tofauti katika kifungu alichokisoma. Kutathmini umuhimu wa ukanushaji. |
Wanafunzi kueleza maana ya ukanushaji.
Wanafunzi waweze kuorodhesha maneno ambayo yanaonyesha hali tofauti katika kifungu alichokisoma. |
Kwa nini huwa tunakanusha Kauli?
|
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
8 | 2 |
Sarufi
Kusikiliza na kuzungumza |
Ukanushaji kwa kuzingatia nyakati
Hadithi- Matumizi ya lugha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kukanusha sentensi ziwe katika hali timilifu. Kutunga sentensi katika hali timilifu. Kutathmini umuhimu wa Ukanushaji. Kusikiliza hadithi ikisimuliwa na mwalimu au iliyonaswa kwenye kifaa cha kidijitali. Kutunga hadithi inayohusiana na kuweka akiba. Zingatia matumizi ya tashbihi, methali, nahau na urudiaji wa maneno ya bidhaa. Kutathmini umuhimu wa hadithi. |
Wanafunzi kukanusha sentensi ziwe katika hali timilifu.
Wanafunzi kutunga sentensi katika hali timilifu. Wanafunzi waweze kutaja vipengele vya lugha vinavyotumika katika hadithi. Wanafunzi kusikiliza hadithi ikisimuliwa na mwalimu au iliyonaswa kwenye kifaa cha kidijitali. Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kutunga hadithi inayohusiana na kuweka akiba. Zingatia matumizi ya tashbihi, methali, nahau na urudiaji wa maneno ya bidhaa. |
Je, unapotaka kukanusha sentensi unazingatia nini?
|
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi
Kamusi Majarida Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8, Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
8 | 3 |
Kusoma
|
Ufahamu wa kifungu cha mjadala
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusoma mjadala katika kitabu cha mwanafunzi. Kueleza habari za kifungu cha mjadala kwa ufupi. Kuchangamkia kusoma mijadala mbalimbali. |
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kusoma mjadala katika kitabu cha mwanafunzi Uk. 152
Wanafunzi kutambua msamiati mpya katika kifungu cha mjadala. Kueleza habari za kifungu cha mjadala kwa ufupi. Wanafunzi waweze kueleza habari za kifungu cha mjadala kwa ufupi. |
Je, wewe huzingatiwa nini unaposoma kifungu cha ufahamu?
|
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
8 | 4 |
Kuandika
Sarufi |
Insha ya maelekezo
Udogo wa nomino |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusoma maelekezo katika kitabu cha mwanafunzi. Kutaja sifa za maelekezo kuhusu jinsi ya kuandika insha ya maelekezo. Kutathmini umuhimu wa insha ya maelekezo. Kuambatanisha nomino za hali ya wastani na hali ya ukubwa. Kutunga sentensi akitumia nomino alizoandika katika hali ya ukubwa. Kuchangamkia kutumia nomino katika hali ya ukubwa. |
Mwanafunzi aweze kusoma maelekezo katika kitabu cha mwanafunzi Uk. 153
Mwanafunzi aweze kutaja sifa za maelekezo kuhusu jinsi ya kuandika insha ya maelekezo. Mwanafunzi aweze kuandika insha ya maelekezo. Mwanafunzi aweze kueleza maana ya udogo wa nomino. Mwanafunzi kuambatanisha nomino za hali ya wastani na hali ya ukubwa. Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia nomino alizoandika katika hali ya ukubwa. |
Je, unaweza kumwelekeza mtu kufanya nini?
|
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali Kamusi Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
9 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma |
Usikilizaji husishi
Ufupisho |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusikiliza mazungumzo atakayosomewa. Kueleza maana za msamiati wa suala lengwa kama ilivyotumiwa katika mazungumzo. Kutathmini umuhimu wa kusikiliza. Kusoma matini katika kitabu cha mwanafunzi. Kueleza kwa sentensi mojamoja ujumbe wa kila aya. Kutathmini umuhimu wa ufupisho. |
Wanafunzi waweze kusikiliza mazungumzo atakayosomewa na mwalimu.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kutabiri yatakayotokea kutokana na vidokezo katika mazungumzo. Mwanafunzi kueleza maana za msamiati wa suala lengwa kama ilivyotumiwa katika mazungumzo. Mwanafunzi kusoma matini katika kitabu cha mwanafunzi Uk. 162 Mwanafunzi kueleza kwa sentensi mojamoja ujumbe wa kila aya. Mwanafunzi kuandika kwa ufupi bila kutoa ufafanuzi au mifano. |
Je, ni miktadha gani rasmi na isiyo rasmi ambapo usikilizaji husishi hutokea?
Je, unazingatia mambo gani ili uweze kufanikisha kusikiliza husishi katika mazungumzo?
|
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
9 | 2 |
Kuandika
|
Baruapepe ya kiofisi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya baruapepe. Kuandika baruapepe ya kiofisi Kutathmini umuhimu wa baruapepe. |
Wanafunzi kueleza maana ya baruapepe.
Wanafunzi kueleza vipengele vya kimuundo vya baruapepe ya kiofisi. Mwanafunzi akiwa pekee yake kuandika baruapepe ya kiofisi. |
Je, ulizingatia vipengele gani katika baruapepe uliyowahi kuandika?
|
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi
KamusiMajarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
9 | 3 |
Sarufi
|
Usemi halisi na usemi wa taarifa.
Sarufi; Usemi halisi na usemi wa taarifa. |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya usemi halisi. Kubadilisha sentensi kutoka usemi wa taarifa hadi usemi halisi. Kutunga sentensi katika usemi halisi. Kuchangamkia kutumia sentensi katika usemi halisi. Kueleza maana ya usemi wa taarifa. Kubadilisha sentensi kutoka usemi halisi hadi usemi wa taarifa. Kutunga sentensi katika usemi wa taarifa. Kuchangamkia kutumia sentensi katika usemi wa taarifa. |
Mwanafunzi kueleza maana ya usemi halisi.
Mwanafunzi waweze kubadilisha sentensi kutoka usemi wa taarifa hadi usemi halisi. Mwanafunzi kutunga sentensi katika usemi halisi. Mwanafunzi kueleza maana ya usemi wa taarifa. Mwanafunzi waweze kubadilisha sentensi kutoka usemi halisi hadi usemi wa taarifa. Mwanafunzi kutunga sentensi katika usemi wa taarifa. |
Usemi halisi unatofautianaje na usemi wa taarifa?
|
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali Kamusi Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
9 | 4 |
Sarufi
|
Sarufi; Usemi halisi na usemi wa taarifa.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Sarufi: Usemi halisi na usemi wa taarifa |
Mwanafunzi kueleza maana ya usemi wa taarifa. Mwanafunzi waweze kubadilisha sentensi kutoka usemi halisi hadi usemi wa taarifa. Mwanafunzi kutunga sentensi katika usemi wa taarifa. |
Je,
unazingatia nini unapobadilisha usemi?
|
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga
sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
Your Name Comes Here