Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA NANE
MWAKA WA 2024
MUHULA WA III

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI_ZA_UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 1
SARUFI
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO,

kutambua nomino katika ngeli ya U -U na U -YA katika matini

kutambua upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U -U na U -YA katika sentensi

kutumia nomino katika ngeli ya U -U na U -YA kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi

kuchangamkia kutumia nomino katika ngeli ya U-U na U -YA ipasavyo ili kuimarisha umilisi wa lugha
Mwanafunzi aelekezwe:

kuchopoa nomino za ngeli ya U -U (k.v uji, ugoro, umaskini urafiki, n.k) naU-YA (k.v. ugonjwa -magonjwa, uovu: maovu, ulezi-malezi,n.k.)kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au tarakilishi akiwa peke yake au katika kikundi

kutenga nomino za ngeli ya U -U na U -YA katika orodha ya nomino, sentensi au vifungu kwenye vitabu, vifaa vya kidijitali, chati kwa kuzikolezea wino au kuzipigia mstari akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi

kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli yaU -U na U -YA katika sentensi na vifungu akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi

kutunga sentensi au vifungu vyenye upatanisho ufaao wa kisarufi kuhusu suala lengwa kwa kutumia nomino zangeli ya U-U na U -YA akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi
Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya U -U? Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya U-YA?
Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti

Rununu Projekta Kapu maneno Mti maneno
Kadi maneno
Picha za vitu mbalimbali Michoro Chati Mabango
Sanamu Nyenzo halisi

OUP,Kiswahili
Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.65
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kutunga sentensi Kazi mradi
1 2
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
Hadithi Hurafa naHekaya
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO,

kueleza maana ya hurafa na hekaya ili kuzibainisha

kueleza ujumbe katika hurafa na hekaya

kujadili vipengele vya uwasilishaji wa hurafa na hekayad)kusimuliahurafa na hekaya kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji
kufurahia hurafa na hekaya kama vipera vya fasihi simulizi
Mwanafunzi aelekezwe:

kusikiliza kielelezo cha hadithi ya hurafa na hekaya kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au kifaa cha kidijitali(k.v. redio, rununu, kipakatalishi na runinga).

kueleza maanaya hurafa na hekaya ili kuzibainisha akiwa peke yake au katika kikundi

kueleza ujumbe katika hurafa na hekaya akiwa na wenzake katika kikundi

kujadili akiwa na mwenzake vipengele vya uwasilishaji wa hurafa na hekaya

kuwasilisha hurafa na hekaya kuzingatia vipengele vya uwasilishaji (kiini cha hadithi, kiwango cha lugha, mpangilio wa matukio, sauti, ishara za mwili)

kujirekodi akitamba hurafa na hekaya kwa kutumia vifaa vya kidijitali na kusikiliza akiwa na wenzake

kushirikiana na mzazi au mlezi kutambua hurafa na hekaya kutoka kwa jamii yake nakujadili ujumbe unaojitokeza katika hadithi hizo.
Je, hadithi ambayo umewahi kusikiliza ilihusu wanyama gani? Je, hurafa na hekaya hutofautianaje?
?Chati ?Michoro na picha
?Mgeni mwalikwa ?Vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi/vipakatalishi, kinasasauti, rununu, projekta, video) ?Mti maneno
?Kapu maneno
?Vitabu mbalimbali
OUP,Kiswahili
Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.66
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno na majibu Mijadala Mazungumzo hMatumizi ya ishara za mwili k.v ishara za uso, za mikono na mabega kuimarisha masimulizi yake Wanafunzi kufanyiana tathmini
1 3
KUSOMA
Kusoma kwa KinaTamthilia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO,

kutambua wahusika katika tamthiliaaliyosoma

kujadili sifa za wahusika katika tamthilia

kujadili mafunzo yanayotokana na wahusika katika tamthilia

kujenga mazoea ya usomaji wa kazi za kifasihi ili kukuza hamu ya ujifunzaji.
Mwanafunzi aelekezwe:

kutambua wahusikakatika tamthilia aliyoisoma akiwa peke

kujadili sifa za wahusika katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu (k.v. usiri, uovu, ukali, udadisi, n.k.)akiwa na wenzake katika kikundi

kuigiza wahusika katika tamthilia akiwa na wenzake katika kikundi ili kukuza uelewa wa sifa zao

kueleza uhusiano kati ya wahusika katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu wakiwa wawiliwawili kutazama video kuhusu wahusika katika tamthilia aliyosoma akiwa na wenzake

kuandaa muhtasari kuhusu sifa za wahusika katika video aliyotazama

kujadili mafunzo yanayotokana namatendo ya wahusika akiwa na wenzake katika kikundi
Ni mambo yapi yanayokuelekeza kuwaelewa wahusika katika tamthilia? Je, ni mambo gani tunayoweza kujifunza kutokana na wahusika wa tamthilia?
Tarakilishi/vipakatalish
Kinasasauti
Rununu Projekta Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti
Rununu Kamusi mbalimbali

OUP,Kiswahili
Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.67
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa Kujibu maswali k.m. katika ufahamu Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa Kusoma kwa sauti Wanafunzi kufanyiana tathmini Potfolio Shajara
1 4

2 1
KUANDIKA
Barua ya Kuomba Msaada
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO,

kutambua vipengele vya kimuundo vya barua rasmi ya kuomba msaada

kutambua ujumbe katika barua rasmi ya kuomba msaada

kuandika barua rasmi ya kuomba msaada kwa kuzingatia ujumbe,muundo na lugha ifaayo

kufurahia kujieleza ifaavyo kwanjia yabarua
Mwanafunzi aelekezwe:

kujadili katika kikundi vipengele vya kimuundo vya barua rasmi ya kuomba msaada (k.v. anwani, suala linaloshughulikiwa, sahihi n.k.)

kutambua ujumbe unaoafiki barua rasmi ya kuomba msaada kwa kujadiliana na mwenzake

kujadili na wenzake kuhusu lugha inayofaa katika uandishi wa barua rasmi ya kuomba msaada

kuandika barua rasmi ya kuomba msaada kuhusu masuala mbalimbali na kuwasomea wenzake darasani ili waitolee maoni

kuandika barua ya kuomba msaada katika kifaa cha kidijitali na kuwasambazia wenzake kupitia mtandao ili waitolee maoni
Je ni mambo gani yanayoweza kukufanya kuomba msaada? Je, ni vipengele vipi unazingatia wakati unapoandika barua ya kuomba msaada?
Kielelezo cha insha ya masimulizi Kielelezo cha insha ya maelezo Kielelezo cha insha ya wasifu Nakala ya barua ya kirafiki Nakala ya barua rasmi

OUP,Kiswahili
Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.68
Kuandika tungo mbalimbali Wanafunzi kufanyiana tathmini Potfolio Shajara Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
2 2
SARUFI
Vinyume vya Vitenzi na Vielez
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO,

kueleza maana ya kinyume cha maneno ili kuibainisha

kutambua vinyume vya vitenzi na vielezi katika matini

kutumia ipasavyo vinyume vya vitenzi na vielezi katika matini

kuchangamkia kutumia vinyume vya vitenzi na vielezi katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:

kujadili maana ya kinyume cha maneno akiwa na mwenzake au katika kikundi

kutambua vinyume vya vitenzi (k.v. simama-keti, cheka-lia, vaa-vua, n.k.) na vielezi (k.v.haraka haraka-polepole,asubuhi-jioni)kwa kutumia kadi maneno, mti maneno, kapu maneno akiwa na mwenzake

kutambua vinyume vya vitenzi na vielezi katika matini(k.v orodha ya maneno, sentensi na vifungu vya maneno) akiwa peke yake

kuchagua sentensi zinazoashiria matumizi ya vinyume vya vitenzi na vielezi kutoka kwa sentensi mbalimbali kwenye vitabu, tarakilishi au chati akiwa na mwenzake

kutunga sentensi sahihi akitumia vinyume vya vitenzi na vielezi kusakura mtandaoni au kutafiti katika vitabu vya ziada ili kupata vinyume zaidi vya vitenzi na vielezi

kumsomea mzazi au mlezi sentensi alizotunga kuhusu vinyume vya vitenzi na vielezi.
Je, ni vinyume gani vya vitenzi unavyojua? .Je, unajua vinyume gani vya vielezi?
Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti

Rununu Projekta Kapu maneno Mti maneno
Kadi maneno
Picha za vitu mbalimbali Michoro Chati Mabango
Sanamu Nyenzo halisi

OUP,Kiswahili
Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.69
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kutunga sentensi Kazi mradi
2 3
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
Kuzungumza kwa Kutumia Vidokezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO,

kueleza maana ya kuzungumza kwakutumia vidokezo

kutambua umuhimu wa kuzungumza kwa kutumia vidokezo

kutambua miktadha katika jamii ambapokuzungumza kwakutumia vidokezo hufanywa

kujadilivipengele vya kuzingatia katika kuzungumza kwakutumia vidokezo

kutoamazungumzo kwa kutumia vidokezo ifaavyo

kujenga mazoea yakutumia vidokezo katika mazungumzo ili kufanikisha mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:

kueleza maana ya kuzungumza kwa kutumia vidokezo akiwa peke yake au katika kikundi

kujadili na wenzake umuhimu wa kuzungumza kwa kutumia vidokezo

kutambua miktadha katika jamii yake ambamo anahitajikuzungumza kwa kutumia vidokezo(k.v. anapowazungumzia wenzake shuleni kuhusu haki za watoto, akiwa mzungumzaji maalum katikakongamano, katika semina, anapomtambulisha mgeni wa heshima katika hafla fulanin.k.)

kujadilivipengele vya kuzingatiakatika kuzungumza kwakutumia vidokezo (k.vkubainisha kiini cha mazungumzo, (je, ni ya kupasha habari? Ni ya kushawishi? Ili kuteua lugha mwafaka),mpangilio wa mawazokimantiki, kutosoma vidokezo; kuvitazama kwaufupi tu, kufanya mazoezi kabla ya kuzungumza, kuviweka juu ya meza wakati wa kuzungumza, n.k) akiwa na wenzakekatika kikundi

kusikiliza au kutazama aina mbalimbali za mazungumzo kutoka kwenye vifaa vya kidijitali, mgeni mwalikwa au wenzakena kubainishavipengele vilivyozingatiwa

kuandaa vidokezo kuhusu suala lengwa akiwa peke yake

kuwawasilishia wenzake mazungumzo kuhusu suala lengwa kwa kutumia vidokezo alivyoandaa ili wayatolee maoni

kumwasilishia mzaziau mlezi vidokezo vya mazungumzo kuhusu suala lengwa ili atoe maoni yake
Kwa nini ni muhimu kuandaa vidokezo unapozungumza?
?Chati ?Michoro na picha
?Mgeni mwalikwa ?Vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi/vipakatalishi, kinasasauti, rununu, projekta, video) ?Mti maneno
?Kapu maneno
?Vitabu mbalimbali
OUP,Kiswahili
Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.70
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno na majibu Mijadala MazungumzoMatumizi ya ishara za mwili k.v ishara za uso, za mikono na mabega kuimarisha masimulizi yake Wanafunzi kufanyiana tathmini
2 4
KUSOMA
Kusoma kwa MapanaMatini za Kujichagulia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO,

kuteua matini ifaayo ya kujisomea

kueleza ujumbe katika matini ya kujichagulia

kutambua maana za msamiati na matumizi mengine ya lugha katika matini ya kujichagulia

kujenga mazoea yakusoma matini mbalimbali katika maisha ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe:

kuteua matini ifaayo ya kujisomea

kueleza ujumbe wa matini ya kujichagulia aliyosoma

kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia (k.v ya kisayansi, kisiasa, kihistoria, kifasihi, michezo, n.k.) akiwa peke yake

kutumia kamusi kutafuta maana za maneno asiyoyajua

kujenga rekodi ya msamiati aliojifunza katika kitabu

kumtungia mwenzake sentensi akitumia msamiati katika matini aliyoisoma

kutoa muhtasari wa matini ya kujichagulia aliyosoma na kuwasilisha kwa wenzake ili waitolee maoni

kusakura mtandaoni na kujichagulia matini ya ziada kisha aisome
Unavutiwa zaidi na nini unaposoma makala ya kujichagulia? Unazingatia mambo gani wakati wa kusoma makala ya kujichagulia?
Tarakilishi/vipakatalish
Kinasasauti
Rununu Projekta Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti
Rununu Kamusi mbalimbali

OUP,Kiswahili
Gredi Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.71
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa Kujibu maswali k.m. katika ufahamu Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwaKusoma kwa sauti Wanafunzi kufanyiana tathmini Potfolio Shajara
3 1
KUANDIKA
Inshaza Kubuni Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO,

kujadili vipengele vya insha ya maelezo

kuandika insha ya maelezo ipasavyo kwa kuzingatiavipengele vyake

kufurahia kuandika insha zamaelezo katika maisha ya kilasiku
Mwanafunzi aelekezwe:

kueleza maana ya insha ya maelezo kwa kurejelea matini mbalimbali kutafiti maktabani au mtandaoni vipengele vya insha ya maelezo

kujadili na wenzake vipengele vya insha ya maelezo alivyotafiti mtandaoni

kuandika insha ya maelezo kwa kuzingatia vipengele vifaavyo

kuwasomea wenzake katika kikundi insha aliyoandika au kuwasambazia kwenye vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni

kushirikiana na wenzake kusahihisha insha walizoandika na kutoleana maoni kwa amani na upendo
Je, ni vipengele gani vya kuzingatia katika kuandika insha ya maelezo?
Kielelezo cha insha ya masimulizi Kielelezo cha insha ya maelezo Kielelezo cha insha ya wasifu Nakala ya barua ya kirafiki Nakala ya barua rasmi

OUP,Kiswahili
Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.72
Kuandika tungo mbalimbali Wanafunzi kufanyiana tathmini Potfolio Shajara Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
3 2

3 3
SARUF
Mnyambuliko wa Vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO,

kutambua kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda katika vitenzi

kutumia ipasavyo vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda katika matini

kuchangamkia kutumia ipasavyo vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda ili kuimarisha mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:

kutambua vitenzikatika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda (kv. eleweka, tembelewa, chezacheza n.k)mtawalia akiwa peke yake

kuteua vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda (k.v. limika, bebewa, sukasuka n.k) mtawalia, kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno autarakilishi akiwa na mwenzake

kutenga vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda katika sentensi na vifungu kwenye vitabu, tarakilishi,chati kwa kuvikolezeawino au kuvipigia mstari

kugeuza vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda akiwa na wenzake katika kikundi

kutunga sentensi au vifungu kuhusu suala lengwa kwa kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa nakutendatenda akiwa peke na mwenzake

kujaza mapengo kwa kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda akiwa peke yake au wawiliwawili
Kwa nini ni muhimu kujifunza kauli za vitenzi
Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti

Rununu Projekta Kapu maneno Mti maneno
Kadi maneno
Picha za vitu mbalimbali Michoro Chati Mabango
Sanamu Nyenzo halisi

OUP,Kiswahili
Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.73
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kutunga sentensi Kazi mradi
3 4
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
Kusikiliza kwa Makini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO,

kueleza habari katika matini ya kusikiliza

kukadiria maana ya msamiatimahususi na vifungu katika matini ya kusikiliza

kuziwasilisha hoja muhimu katika habari aliyosikilizakwa kufuata mpangilio ufaao

kujenga mazoea ya kufurahia kusikiliza vifungu vya kusikiliza ili kuimarisha uwezo wa kusikiliza
Mwanafunzi aelekezwe:

kutambua hoja muhimu katika habari aliyosikiliza kuhusu suala lengwa kutoka kwa mwalimu, kifaa cha kidijitali, mgeni mwalikwa au wenzake akiwa peke yake

kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini aliyosikiliza

kuelezea mwenzakemaana ya msamiati katika matini ya kusikiliza

kueleza hoja muhimualiyotambua kutoka matini aliyosikilizakwa maneno machache

kuwawasilishia wenzake hoja muhimu katika habari aliyosikilizakwa kufuata mpangilio ufaao
Je, kwa nini ni muhimu kuwa na mpangilio ufaao wa hojakutoka habari uliyosikiliza?
?Chati ?Michoro na picha
?Mgeni mwalikwa ?Vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi/vipakatalishi, kinasasauti, rununu, projekta, video) ?Mti maneno
?Kapu maneno
?Vitabu mbalimbali
OUP,Kiswahili
Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.74
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno na majibu Mijadala Mazungumzo Matumizi ya ishara za mwili k.v ishara za uso, za mikono na mabega kuimarisha masimulizi yake Wanafunzi kufanyiana tathmini
4 1
KUSOMA
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO,

kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora

kusoma kifungu kwa kasi ifaayo

kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo

kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo

kuridhia kusoma makala kwa kuzingatia vipengele vinavyofanikisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:

kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha (matamshi bora, kasi ifaayo, sauti ifaayo, ishara zifaazo)

kutazama vielelezo vya video za watu wanaosoma kwa ufasaha makala (k.v hotuba, taarifa ya habari, n.k.) akiwana wenzake

kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali akizingatia matamshi bora kusoma kifungu cha habari kwa kasi ifaayo kuhusu suala lengwa

kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo (k.v kiwango cha sauti na kiimbo)akiwa katika kikundi kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa (k.v ishara za uso na mikono) akiwa na wenzake katika kikundi

kusoma mbele ya wenzake kazi yake ili wamtolee maoni
Je, unaposoma kifungu unazingatia mambo gani ili kufanikisha usomaji?
Tarakilishi/vipakatalish
Kinasasauti
Rununu Projekta Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti
Rununu Kamusi mbalimbali

OUP,Kiswahili
Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.75
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa Kujibu maswali k.m. katika ufahamu Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa Kusoma kwa sauti
4 2
KUSOMA
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
4 3
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa ufasaha
Insha ya Kiukamilifu - Hotuba
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,

Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora, kasi ifaayo, sauti ipasavyo kisha kuambatanisha ishara zifaazo.
Kujadiliana kuhusu usomaji wao wa kifungu kuhusu
Kutaja watu ambao wamewahii kusikia au kuona wakizungumzia watu katika mikutano.
Kutambua hotuba ya kupasha habari katika matini.
Kusoma kifungu.
Kutathmini umuhimu wa hotuba.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora, kasi ifaayo, sauti ipasavyo kisha kuambatanisha ishara zifaazo.

Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kujadiliana kuhusu usomaji wao wa kifungu kuhusu
Mwanafunzi aweze kutaja watu ambao wamewahii kusikia au kuona wakizungumzia watu katika mikutano.
Mwanafunzi aweze kutambua hotuba ya kupasha habari katika matini.
Mwanafunzi aweze Kusoma kifungu, Uk. 137
Unazingatia nini ili kusoma Makala kwa ufasaha?
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,

Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
4 4
Kuandika
Insha ya Kiukamilifu - Hotuba
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,

Kutambua vigezo atakavyozingatia wakati wa kuandika hotuba.
Kuandika insha ya hotuba ya kupasha habari.
Kuchangamkia kuandika hotuba.
Mwanafunzi aweze kutambua vigezo atakavyozingatia wakati wa kuandika hotuba.

Mwanafunzi aweze kuandika insha ya hotuba ya kupasha habari
Kwa nini hotuba hutolewa?
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,

Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
5

MID TERM ASSESMENT

6 1
Sarufi
Kusikiliza na kuzungumza
Aina za sentensi; Sentensi changamano
Wahusika katika hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,

Kueleza maana ya sentensi changamano.
Kutambua sentensi changamano kutoka kwenye orodha iliyo katika kitabu cha mwanafunzi.
Kuchangamkia matumizi ya sentensi changamano.
Kusikiliza hadithi itakayosimuliwa na mwalimu au iliyorekodiwa.
Kueleza sifa za wahusika kutokana na matendo na tabia zao.
Kufurahi kusikiliza hadithi.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya sentensi changamano.

Mwanafunzi aweze kutambua sentensi changamano kutoka kwenye orodha iliyo katika kitabu cha mwanafunzi.

Mwanafunzi aweze kutunga sentensi changamano kuhusu magonjwa yasiyoambukizwa.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kuimba wimbo,
Ni aina gani za sentensi unazojua? Sentensi changamano ni gani?
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,

Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
6 2
Kusoma kwa kina
Mbinu za lugha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,

Kueleza maana ya mbinu za lugha katika fasihi.
Kutambua umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika tamthilia.
Kutathmini umuhimu wa mbinu za lugha.
Wanafunzi kueleza maana ya mbinu za lugha katika fasihi.

Wanafunzi waweze kutaja mbinu mbalimbali za lugha katika tamthilia.

Wanafunzi waweze kutambua umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika tamthilia.
Mbinu za lugha zina umuhimu gani zinapotumiwa katika tamthilia?
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,

Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
6 3
Kuandika;
Sarufi
Insha za kubuni-Maelezo
Ukanushaji kwa kuzingatia hali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,

Kueleza maana ya insha ya maelezo.
Kuandika insha ya maelezo.
Kuchangamkia kuandika insha ya maelezo.
Kueleza maana ya ukanushaji.
Kuorodhesha maneno ambayo yanaonyesha hali tofauti katika kifungu alichokisoma.
Kutathmini umuhimu wa ukanushaji.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kueleza

Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze vigezo vinavyotumika katika kuandika insha ya maelezo.

Wanafunzi kuandika insha ya maelezo.
Wanafunzi kueleza maana ya ukanushaji.
Wanafunzi waweze kuorodhesha maneno ambayo yanaonyesha hali tofauti katika kifungu alichokisoma.
Je, insha ya maelezo inahusu nini? Je, ni vigezo vipi vinavyotumika katika kuandika insha ya maelezo?
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,

Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
6 4
Sarufi
Kusikiliza na kuzungumza
Ukanushaji kwa kuzingatia nyakati
Hadithi- Matumizi ya lugha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,

Kukanusha sentensi ziwe katika hali timilifu.
Kutunga sentensi katika hali timilifu.
Kutathmini umuhimu wa Ukanushaji.
Kusikiliza hadithi ikisimuliwa na mwalimu au iliyonaswa kwenye kifaa cha kidijitali.
Kutunga hadithi inayohusiana na kuweka akiba. Zingatia matumizi ya tashbihi, methali, nahau na urudiaji wa maneno ya bidhaa.
Kutathmini umuhimu wa hadithi.
Wanafunzi kukanusha sentensi ziwe katika hali timilifu.

Wanafunzi kutunga sentensi katika hali timilifu.
Wanafunzi waweze kutaja vipengele vya lugha vinavyotumika katika hadithi.
Wanafunzi kusikiliza hadithi ikisimuliwa na mwalimu au iliyonaswa kwenye kifaa cha kidijitali.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kutunga hadithi inayohusiana na kuweka akiba. Zingatia matumizi ya tashbihi, methali, nahau na urudiaji wa maneno ya bidhaa.
Je, unapotaka kukanusha sentensi unazingatia nini?
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi

Kamusi
Majarida
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
7 1
Kusoma
Ufahamu wa kifungu cha mjadala
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,

Kusoma mjadala katika kitabu cha mwanafunzi.
Kueleza habari za kifungu cha mjadala kwa ufupi.
Kuchangamkia kusoma mijadala mbalimbali.
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kusoma mjadala katika kitabu cha mwanafunzi Uk. 152

Wanafunzi kutambua msamiati mpya katika kifungu cha mjadala.
Kueleza habari za kifungu cha mjadala kwa ufupi.

Wanafunzi waweze kueleza habari za kifungu cha mjadala kwa ufupi.
Je, wewe huzingatiwa nini unaposoma kifungu cha ufahamu?
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,

Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
7 2
Kuandika
Sarufi
Insha ya maelekezo
Udogo wa nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,

Kusoma maelekezo katika kitabu cha mwanafunzi.
Kutaja sifa za maelekezo kuhusu jinsi ya kuandika insha ya maelekezo.
Kutathmini umuhimu wa insha ya maelekezo.
Kuambatanisha nomino za hali ya wastani na hali ya ukubwa.
Kutunga sentensi akitumia nomino alizoandika katika hali ya ukubwa.
Kuchangamkia kutumia nomino katika hali ya ukubwa.
Mwanafunzi aweze kusoma maelekezo katika kitabu cha mwanafunzi Uk. 153

Mwanafunzi aweze kutaja sifa za maelekezo kuhusu jinsi ya kuandika insha ya maelekezo.

Mwanafunzi aweze kuandika insha ya maelekezo.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya udogo wa nomino.
Mwanafunzi kuambatanisha nomino za hali ya wastani na hali ya ukubwa.
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia nomino alizoandika katika hali ya ukubwa.
Je, unaweza kumwelekeza mtu kufanya nini?
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,

Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kamusi
Majarida
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
7 3
Kusikiliza na kuzungumza
Usikilizaji husishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,

Kusikiliza mazungumzo atakayosomewa.
Kueleza maana za msamiati wa suala lengwa kama ilivyotumiwa katika mazungumzo.
Kutathmini umuhimu wa kusikiliza.
Wanafunzi waweze kusikiliza mazungumzo atakayosomewa na mwalimu.

Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kutabiri yatakayotokea kutokana na vidokezo katika mazungumzo.

Mwanafunzi kueleza maana za msamiati wa suala lengwa kama ilivyotumiwa katika mazungumzo.
Je, ni miktadha gani rasmi na isiyo rasmi ambapo usikilizaji husishi hutokea? Je, unazingatia mambo gani ili uweze kufanikisha kusikiliza husishi katika mazungumzo?
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,

Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
7 4
Kusoma
Kuandika
Ufupisho
Baruapepe ya kiofisi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,

Kusoma matini katika kitabu cha mwanafunzi.
Kueleza kwa sentensi mojamoja ujumbe wa kila aya.
Kutathmini umuhimu wa ufupisho.
Kueleza maana ya baruapepe.
Kuandika baruapepe ya kiofisi
Kutathmini umuhimu wa baruapepe.
Mwanafunzi kusoma matini katika kitabu cha mwanafunzi Uk. 162

Mwanafunzi kueleza kwa sentensi mojamoja ujumbe wa kila aya.

Mwanafunzi kuandika kwa ufupi bila kutoa ufafanuzi au mifano.
Wanafunzi kueleza maana ya baruapepe.
Wanafunzi kueleza vipengele vya kimuundo vya baruapepe ya kiofisi.
Mwanafunzi akiwa pekee yake kuandika baruapepe ya kiofisi.
Je, ni kwa nini watu hufupisha habari?
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8,
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi
KamusiMajarida
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
8 1
Sarufi
Usemi halisi na usemi wa taarifa.
Sarufi; Usemi halisi na usemi wa taarifa.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,

Kueleza maana ya usemi halisi.
Kubadilisha sentensi kutoka usemi wa taarifa hadi usemi halisi.
Kutunga sentensi katika usemi halisi.
Kuchangamkia kutumia sentensi katika usemi halisi.
Kueleza maana ya usemi wa taarifa.
Kubadilisha sentensi kutoka usemi halisi hadi usemi wa taarifa.
Kutunga sentensi katika usemi wa taarifa.
Kuchangamkia kutumia sentensi katika usemi wa taarifa.
Mwanafunzi kueleza maana ya usemi halisi.

Mwanafunzi waweze kubadilisha sentensi kutoka usemi wa taarifa hadi usemi halisi.

Mwanafunzi kutunga sentensi katika usemi halisi.
Mwanafunzi kueleza maana ya usemi wa taarifa.
Mwanafunzi waweze kubadilisha sentensi kutoka usemi halisi hadi usemi wa taarifa.
Mwanafunzi kutunga sentensi katika usemi wa taarifa.
Usemi halisi unatofautianaje na usemi wa taarifa?
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi

Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kamusi
Majarida
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
8 2
Sarufi
Sarufi; Usemi halisi na usemi wa taarifa.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Sarufi:

Usemi halisi na usemi wa taarifa

Mwanafunzi
kueleza maana ya usemi wa taarifa. 

Mwanafunzi waweze kubadilisha sentensi kutoka usemi halisi hadi usemi wa
taarifa. 
 
Mwanafunzi kutunga sentensi katika usemi wa taarifa.
Je, unazingatia nini unapobadilisha usemi?

  Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi  
 
Kamusi 
Majarida 
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi  Kujibu maswali  Kujaza pengo  Kuandika tungo  Kazi mradi

Your Name Comes Here

Download

Feedback