Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
KIDATO CHA KWANZA
MWAKA WA 2024
MUHULA WA I

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA MBINU VIFAA ASILIA MAONI
1 1
Kusikiliza na kuzungumza
Sauti za Kiswahili; Irabu/ Konsonanti
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya irabu
Kuelezea mahali pa kutamkia
Kutoa mifano na kujibu maswali
Kuonyesha mahali pa kutamkia
Kutoa mifano
Kuelezea vipashio vya lugha
Maana ya silabi
Maana ya neon na kutoa mifano
Kusoma
Maswali na majibu
Majadiliana
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 1-3)
Kamusi ya misemo na nahau(k.w wamithila)
1 2
Sarufi
Maana ya lugha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kufafanua maana ya lugha, Dhima na dhamana ya lugha,
Kueleza maana ya sarufi na kujibu maswali
Majadiliano
Maelezo
Mazungumzo
Maswali na majibu
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 4-5)
1 3

1 4
Ufahamu
Ukeketaji
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kusoma kwa matamshi,
Kutumia msamiati na misemo kwa ufasaha na kujibu maswali kwa usahihi.
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 5-7)
1 5
Kusoma
Tabia ya kusomasoma vitabu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kusoma ufahamu kuhusu tabia ya kusomasoma vitabu
Kuelezea msamiati uliotumika
Kujjibu maswali
Maelezo
Majibu na maswali
Utunzi wa sentensi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 7-9)
2 1
Kuandika
Maana na dhima ya utungaji
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kuelezea maana ya utungaji
Dhima ya utungaji
Kuuliza na kujibu maswali
Maelezo
Majibu na maswali
Utunzi wa sentensi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 9)
2 2
Kusikiliza na kuzungumza
Kiimbo/ Shadda
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya kiimbo na shadda
Kutoa mifano
Kuuliza na kujibu maswali
Majadiliano
Maelezo
Maswali na majibu
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 10-11)
2 3

2 4
Sarufi
Aina ya maneno; Nomino Vitenzi Viwakilishi Aina ya maneno; Vivumishi Vielezi Vihusishi Vihisishi Viunganishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
kueleza maanza ya nomino, vitenzi na viwakilishi
Kutoa mifano na kutunga sentensi
Kuuliza na kujibu maswali
kueleza maanza ya vivumishi, vielezi na vihusishi
Kutoa mifano na kutunga sentensi
Majadiliano
Kuandika
Maswali na majibu
Maelezo
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 11-15)
2 5
Ufahamu
Elimu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kusoma kwa matamshi,
Kutumia msamiati na misemo kwa ufasaha na kujibu maswali kwa usahihi.
Maelezo
Majibu na maswali
kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 15-17)
3 1
Kusoma
Maktaba
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya maktaba
Umuhimu wa maktaba
Aina za maktaba
Kujibu maswali
Majadiliano
Maelezo
Mazungumzo
Maswali na majibu
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 17-18)
3 2

3 3
kuandika
Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kuelezea maana ya ufahamu
Umuhimu wa ufahamu
Mambo ya kuzingatia katika kusoma ufahamu
Kujibu maswali
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 19)
3 4
Kusikiliza na kuzungumza
Ala za matamshi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza ala za matamshi
Utamkaji wa irabu
Utamkaji wa konsonanti
Aina kuu za konsonanti
Vitate na vitanza ndimi
Kusoma
Maswali na majibu
Majadiliana
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 20-23)
3 5
Sarufi
Ngeli za nomino za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana yz ngeli
Maana ya viambishi
Mifano ya maneno katika ngeli mbalimbali
Maana ya kuakifisha
Baadhi ya alama za kuakifisha
Kutunga na kuakifisha sentensi
Majadiliano
Maelezo
Maswali na majibu
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 23-27)
4 1
Ufahamu
Taarifa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kusoma kwa matamshi,
Kutumia msamiati na misemo kwa ufasaha na kujibu maswali kwa usahihi.
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 27-30)
4 2

4 3
Kusoma
Fasihi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya fasihi
Sifa za fasihi
Dhima za fasihi
Kujibu maswali
Maelezo
Majibu na maswali
kuandika
Mazungumzo
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 30-31)
4 4
Kuandika
Hadithi fupi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kuelezea maana ya hadithi fupi
Mambo ya kuzingatia katika uandishi wa hadithi fupi
Kujibu maswali
Maelezo
Majibu na maswali
kuandika
Mazungumzo
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 31-32)
4 5
Kusikiliza na kuzungumza
Sauti mwambatano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza sauti mwambatano
Baadhi ya maneno ya Kiswahili yenye silabi mwambatano
Kujibu maswali
Majadiliano
Maelezo
Maswali na majibu
Kuandika
Utungaji wa sentensi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 33-34)
5 1
Sarufi
Viwakilishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya viwakilishi
Aina za viwakilishi
Kujibu maswali
Kusoma vitate f/v
Kutoa mifano ya maneno yenye sauti f/v
Kutunga vitanzandimi mbalimbali
Majadiliano
Kuandika
Maswali na majibu
Mazungumzo
Maelezo
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 34-38)
5 2

5 3
Ufahamu
Taarifa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kusoma kwa matamshi,
Kutumia msamiati na misemo kwa ufasaha na kujibu maswali kwa usahihi.
Majadiliano
Kuandika
Maswali na majibu
Maelezo
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 38-41)
5 4
Kusoma
Kamusi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya kamusi
Umuhimu wa kutumia kamusi
Kutambua mambo ya kuzingatia kujia ubora wa kamusi
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 41-42)
5 5
Kuandika
Insha ya picha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza insha ya picha
Kuandika insha ya picha
Kusoma
Maswali na majibu
Majadiliana
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 42-43)
6 1
Kusikiliza na kuzungumza
Mjadala
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kusoma mjadala kwa utaratibu na kuzingatia maneno muhimu yaliyotumika
Kujibu maswali
Maelezo
Majibu na maswali
kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 43-45)
6 2

6 3
Sarufi
Vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya vitenzi
Kutoa mifano ya vitenzi
Kutunga sentensi kwa kutumia vitenzi
Kutumia herufi kubwa na herufi ndogo
Kutumia herufi nzito,herufi ya mlazo
Kutunga sentensi mbalimbali na kuakifisha kwa usahihi
Majadiliano
Maelezo
Maswali na majibu
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 45-47)
6 4
Ufahamu
Taarifa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kusoma kwa matamshi,
Kutumia msamiati na misemo kwa ufasaha na kujibu maswali kwa usahihi.
Majadiliano
Kuandika
Maswali na majibu
Maelezo
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 47-49)
6 5

7 1
Kusoma
Magazeti
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kusoma kifungu kwa usahihi
Kueleza msamiati uliotimika
Kujibu maswali
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 49-50)
7 2
Kuandika
Uchambuzi wa maandishi mbalimbali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya uchambuzi
Kujibu maswali
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 51)
7 3
Kusikiliza na kuzungumza
Rehema na Kombo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kusoma mazungumzo
Kueleza maneno mapya yaliyotumika katika mazungumzo
Kujibu maswali
Kusoma
Maswali na majibu
Majadiliana
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 52-53)
7 4
Sarufi
Vielezi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya vielezi
Mifano ya vielezi
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Majadiliano
Maelezo
Maswali na majibu
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 53-54)
7 5

8 1
Ufahamu
Taarifa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kusoma kwa matamshi,
Kutumia msamiati na misemo kwa ufasaha na kujibu maswali kwa usahihi.
Majadiliano
Kuandika
Maswali na majibu
Maelezo
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 54-56)
8 2
Kusoma
Riwaya
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana riwaya
Mfano wa riwaya
kujibu maswali
Maswali dodoso
Maelezo
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 56-57)
8 3
Kuandika
Insha ya mdokezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza kuhusu insha ya mdokezo
Kufafanua utaratibu wa kuandika insha ya mdokezo
Kuandika insha
Kusoma
Maswali na majibu
Majadiliana
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 58)
8 4

8 5
Kusikiliza na kuzungumza
Sokoni
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kusoma mazungumzo ya sokoni kwa ufasaha
Kueleza msamiati uliotumika
Kujibu maswali
Majadiliano
Maelezo
Maswali na majibu
Kuandika
Utunzi wa sentensi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 59-60)
9 1
Sarufi
Ngeli ya LI-YA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza ngeli ya LI-YA
Kutoa mifano katika ngeli ya LI-YA
Kutunga sentensi
Kueleza matumzi ya alama ya mkato, nukta pacha
Kutunga mifano kwa kuzingatia alama za uakifishi
Majadiliano
Kuandika
Maswali na majibu
Mazungumzo
Maelezo
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 60-63)
9 2
Ufahamu
Mji wa faraja
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kusoma kwa matamshi,
Kutumia msamiati na misemo kwa ufasaha na kujibu maswali kwa usahihi.
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 63-65)
9 3
Kusoma
Ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya ushairi kuelezamwelekeo mwafaka wa utunzi wa ushairi
Kuelezea sehemu mbalimbali za ushairi
Kujibu maswali
Maelezo
Majibu na maswali
kuandika
Mazungumzo
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 65-66)
9 4

9 5
Kuandika
Masharti mepesi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kuandika shairi
Majadiliano
Maelezo
Mazungumzo
Maswali na majibu
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 65-67)

Your Name Comes Here

Download

Feedback